Ndege waliyopanda "Boyz II Men" 1995 ni Ya Rostam

kuweka rekodi sawa:JK hakuwahi kuwa waziri wa mambo ya nje katika serikali ya mwinyi.
tuje kwenye mada:ile ndege walikodi wenyewe kwa pesa yao.

Nani aliosema wakati wa mwinyi? una nini wewe?
 
Nani aliosema wakati wa mwinyi? una nini wewe?
.

Sasa kwanini unaamua kuwa mkali? Kipindi ulichosema alikuwa waziri wa mambo ya nje kilikuwa ni wakati wa mwinyi hadi uchaguzi ulipofanyika oktoba 1995 hapa unachomaka nini hata kama hukutaja mwinyi lakini kipindi ulichosema kilikuwa cha mwinyi. Halafu jamaa kasema kistaarabu kabisa "masahihisho" lakini weye umekuja blazing fire like a dragon.
 
..nakumbuka kusoma wasifu wa Rostam Azizi ktk gazeti la Rai wakati Mzee Mwinyi yuko madarakani.

..hivi Rostam hakuingia bungeni kwa kuchukua nafasi iliyoachwa wazi baada ya kifo cha Waziri Kabeho?

NB:

..nadhani rushwa ya wanamtandao ya kununua vyombo vya habari kuanzia mwaka 1995.

..mapesa waliyochukua toka Irani ku-finance kampeni yao.

..na mapesa mengine waliyochukua BOT kwa ajili ya uchaguzi.

..ripoti ya ukiukwaji maadili iliyotayarishwa na Katibu Mkuu wa CCM ikiwatuhumu wanamtandao.

..vyote hivyo ukivichanganya kuna uwezekano mkubwa ukapata IMPEACHEABLE OFFENCES.
 
Back
Top Bottom