Ndege wa rangi moja huruka pamoja; Zitto Kabwe achana na Mnyika, njoo CCM!!

Jun 20, 2012
59
7
Ushauri wangu kwa ZZK baada ya kauli ya kifedhuli ya Mnyika dhidi ya rais wa JMT mh.Jakaya Mrisho Kikwete, Chadema kimpe onyo kali na kama akikaidi na kubebwa na viongozi wenzake basi Zitto aitose CDM baharini, ahamie CCM full stop!!!

CHADEMA bila Zitto ni dhaifu mara elfu na ushee !!!
 
Umelaaniwa, hata njia unayoikanyaga nayo imelaaniwa pia. Nenda kaburi moja na aliyeitwa dhaifu, nawe ni dhaifu kwa kumuunga mkono dhaifu.
 
Mkuu wangu, ZZK keshatangaza hatokuwa kwenye uongozi wowote wa chama, kwa sasa kuna mchakato wa kumshawishi kiongozi mmoja nae kujiondoa katika uongozi wa chama. Hii itasaidia sana kuikosoa chama maana hawa hawatakuwa kwenye maamuzi ya vikao vyao.

Wait and see........................
 
Ushauri wangu kwa ZZK baada ya kauli ya kifedhuli ya Mnyika dhidi ya rais wa JMT mh.Jakaya Mrisho Kikwete, Chadema kimpe onyo kali na kama akikaidi na kubebwa na viongozi wenzake basi Zitto aitose CDM baharini, ahamie CCM full stop!!!

CHADEMA bila Zitto ni dhaifu mara elfu na ushee !!!

Sielewi na CCM hawajaeleza defination ya neno tusi (au hata ufedhuli), na whether hiyo defination ina-apply kwa maneno ya Lucinde!
 
Kama vile ndege wafafanavyo huruka pamoja vivyohivyo nawe Mdhaifu Unaruka pamoja na wadhaifu wenzako CCM,mawazo yako yamesadifu neno udhaifu
 
Mkuu wangu, ZZK keshatangaza hatokuwa kwenye uongozi wowote wa chama, kwa sasa kuna mchakato wa kumshawishi kiongozi mmoja nae kujiondoa katika uongozi wa chama. Hii itasaidia sana kuikosoa chama maana hawa hawatakuwa kwenye maamuzi ya vikao vyao.

Wait and see........................

Kama katangaza hilo basi ni kukomaa kama kiongozi maana Chadema ina watu wengi sana na wanaweza kuongoza sawa na Zitto mie nampa hongera kwa kujua hilo na kuwapa wenzake nao waongoze .Hakuna ubaya so msianze majungu .
 
Ushauri wangu kwa ZZK baada ya kauli ya kifedhuli ya Mnyika dhidi ya rais wa JMT mh.Jakaya Mrisho Kikwete, Chadema kimpe onyo kali na kama akikaidi na kubebwa na viongozi wenzake basi Zitto aitose CDM baharini, ahamie CCM full stop!!!

CHADEMA bila Zitto ni dhaifu mara elfu na ushee !!!
Title yako inajieleza yenyewe kwamba ndege wa rangi moja huruka pamoja, kwa hiyo si ajabu wewe kuwa na mitizamo finyu kama wanaCCM wenzako, maana wote mna rangi zinazofanana! Umeambiwa na Zitto kwamba haungi mkono kauli ya Mnyika? Na kwanini umtake Zitto ndo ahamie CCM na usimtake Shibuda ambaye ni mwanaCCM mwenzako? CCM wote akili zenu zinafanya kazi sawasawa no wonder nchi inazidi kuzidiwa na mzigo wa madeni huku hali ya maisha ya watanzania ikiendelea kudidimia.
 
Ushauri wangu kwa ZZK baada ya kauli ya kifedhuli ya Mnyika dhidi ya rais wa JMT mh.Jakaya Mrisho Kikwete, Chadema kimpe onyo kali na kama akikaidi na kubebwa na viongozi wenzake basi Zitto aitose CDM baharini, ahamie CCM full stop!!!

CHADEMA bila Zitto ni dhaifu mara elfu na ushee !!!

Sio mbaya kama unaamini zito ni mzito but chadema sio zito ukae ukijua even mnyika jina lenyewe linakuutisha sema mmMNYIIIKAA alafu sema kiikweete jina lipi dhaifu jaribu kumuliza mwanao wa darasa la 1 atakuambia jina lipi dhaifu
 
Ushauri wangu kwa ZZK baada ya kauli ya kifedhuli ya Mnyika dhidi ya rais wa JMT mh.Jakaya Mrisho Kikwete, Chadema kimpe onyo kali na kama akikaidi na kubebwa na viongozi wenzake basi Zitto aitose CDM baharini, ahamie CCM full stop!!!

CHADEMA bila Zitto ni dhaifu mara elfu na ushee !!!
Hivi Nape amekosa watendaji mpaka akakuajili wewe kuja hapa kumuaibisha kiasi hiki?
 
Mbona CCM wanatatapa hivi? tehe!! tehe!! hehe!!

M
282223_336227283119272_90601204_n.jpg
 
Namshauri Nape awe anawapa usaili hawa vibarua wake kabla hajawaajiri humu, maana wanamuaibisha sana.
 
Mkuu wangu, ZZK keshatangaza hatokuwa kwenye uongozi wowote wa chama, kwa sasa kuna mchakato wa kumshawishi kiongozi mmoja nae kujiondoa katika uongozi wa chama. Hii itasaidia sana kuikosoa chama maana hawa hawatakuwa kwenye maamuzi ya vikao vyao.

Wait and see........................
nawe unaona hiyo ni akili, kwanini usiwe kwenye maamuzi ili kuweka mambo sawa, badala yake unataka uwe nje ukosoe? afu unataka uingie kwa serikali...noooooooo, hapana, baki nje forever uwe mkosoaji
 
Ushauri wangu kwa ZZK baada ya kauli ya kifedhuli ya Mnyika dhidi ya rais wa JMT mh.Jakaya Mrisho Kikwete, Chadema kimpe onyo kali na kama akikaidi na kubebwa na viongozi wenzake basi Zitto aitose CDM baharini, ahamie CCM full stop!!!

CHADEMA bila Zitto ni dhaifu mara elfu na ushee !!!

Sikiliza Mchemba anawatukana CHADEMA na wabunge wote wa CCM wanashangilia, sasa

kwanini kwanza asipewe karipio kwanza na Spika? bali walimpa pesa za kushangilia

Na hayo Matusi aliyokuwa anayatoa ni kupinga hoja za Zitto Kabwe bungeni na pia

kusema kuwa Mtu yoyote kabla ya kuwa mbunge anapaswa kuchunguzwa akili yake,

hapo akimaanisha Zitto Kabwe kumbuka hawa walikuwa ni Wanafunzi pamoja pale

Mlimani. Sasa kwa Demokrasia ya ukweli una haki ya kusema utakavyo as long as

hautukani Mnyika alisema na ana sababu zake na alizieleze, sasa ni wajibu wa CCM

au Rais kama ni Mdemokrasia kumpinga kwa Vitendo; wenzetu wanasema Actions

Speaks louder than words... na sio kutishana;
 
Ushauri wangu kwa ZZK baada ya kauli ya kifedhuli ya Mnyika dhidi ya rais wa JMT mh.Jakaya Mrisho Kikwete, Chadema kimpe onyo kali na kama akikaidi na kubebwa na viongozi wenzake basi Zitto aitose CDM baharini, ahamie CCM full stop!!!

CHADEMA bila Zitto ni dhaifu mara elfu na ushee !!!

kamuulize Shibuda, CHADEMA ni taasisi na sio ZITO kama unavyotaka umma uelewe. Kama mnampenda mumchukue. watanzania wasasa ni critical thinkers...pole naona masaburi yanakuwasha.
 
Ama kweli ukiwa mwanasiasa unakuwa kama jalala. Watu watakuletea matatizo yao wakitaka utatuzi, wengine watakutukana, wengine watakupa ushauri wa kujinga, wote hao inabidi uwasikilize tu. Mhhhh, ama kweli, kua mwanangu uyaone.
 
Back
Top Bottom