Ndege mpya za atc hizooo!!!!!!!!!!

mabomu

Member
Feb 17, 2011
43
7
Jamaa wanaingza ndege mpya leo kama hii
 

Attachments

  • NDEGE MPYA 1.JPG
    NDEGE MPYA 1.JPG
    190.1 KB · Views: 247
  • NDEGE MPYA 2.JPG
    NDEGE MPYA 2.JPG
    292.2 KB · Views: 203
Mbona nimesikia kama wamekopa? wameopa ndege mpya? je wamekopa walipe baadae au wameazima kama ile ya Air Malawi? Hivi ile chenji ya rada ingetosha kununua ndege kufufua shirika letu?
 
Hii ndo inabeba watu 180...wapanda ndege za atc nawatakia r.i.p mapemaaaaaaaa alfajiri ili mkidondoka muwe mlishazipokeakabla ya tukio...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom