Ndege mpya ya pressicion yaungua engine!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,137
Kweli usitukane wakunga wakati uzazi ungalipo!!!!habari hii inanikumbusha siku precission air wameleta ndege majuzi mpya kabisa ,kukawa na kashfa nyingi mbalimbali ,,,habari kamili zilizotufikia nege ile mpya ilioonyehswa kwa mbwembwe kwenye TV na kushabikiwa kwa heshima imeungua engine baada ya kuletwa bila kufanyiwa checks na hivyo wakailazimisha kuruka ,,,matokeo yake wameamua kuunguza baadhi ya vitu na hivyo kupaki nje!!!pale uwanja wa kimataifa wa nyerere!!!!
precission tunaomba mtusaidie sisi abiria kujua ukweli wa hili,,,ndege nzuri viile milaza kama kopo jamani????????
 
Kitu cha Mchina wewe unategemea kinge dumu?
Hapo kwisha kazi Mchina anatengeneza ndege!duh wasije wakatumwagia wapendwa wetu angani huko.
 
Mmmh uwanja wenu wa nyerere mshampa mchina

kampuni ya ndege ya taifa mshampa mchina

bado ikulu
 
Jamani, mbona nimetembelea pale JNIA sikuweza kupta taarifa hizi? Imeungulia wapi hiyo ndege?
 
Mchina hana tatizo mbona vifaa vingi vya umeme original vinatoka china?? tatizo mnapotaka kitu cha bei rahisi mchina anaweza kukutengenezea ila hakito last na anakwambia mpk mda wake ila sisi tukija huku hatusemi ukweli...
 
Mchina hana tatizo mbona vifaa vingi vya umeme original vinatoka china?? tatizo mnapotaka kitu cha bei rahisi mchina anaweza kukutengenezea ila hakito last na anakwambia mpk mda wake ila sisi tukija huku hatusemi ukweli...

Kwanini nchi kubwa kama ile ikubali kutengeneza bidhaa za feki namna hiyo, hawaoni impact yake sasa, watu wameanza kutoziamini bidhaa zao zote?
 
Kwanini nchi kubwa kama ile ikubali kutengeneza bidhaa za feki namna hiyo,

Wachina hawakatai pesa.
Hii ndio siri ya mafanikio yao, ndio sababu wana bidhaa kwa ajili ya kila mtu, ndio maana unakutana hata na maziwa yenye melamin kila kona.
They simply give you what want with the amount of money you have.
Nadhani tuko pamoja!
 
Idimi tuko pamoja anakupa kutokana na pesa yako na hana ubaguzi wala mipaka ya huduma hiyo ni wewe tu ukishajikomit
 
Jamani hilo sio la kweli,hio ndege haijaungua engine,ilipata shida kidoogo kwenye propelar zake,mwewe aliingia,na kwa taarifa yako tu imeanza kuruka mchana huu wa leo, ni mie mdau precision air
 
Wachina hawakatai pesa.
Hii ndio siri ya mafanikio yao, ndio sababu wana bidhaa kwa ajili ya kila mtu, ndio maana unakutana hata na maziwa yenye melamin kila kona.
They simply give you what want with the amount of money you have.
Nadhani tuko pamoja!

Kwa mtindo huo hiyo success yao itakuwa short lived mkubwa!
 
Jamani tue positive wakatimwingine,hio ndege sio kimeo kabisaaaaa!ni brand new kweli!na defect yake nikama nilivyoeleza hapo juu,ikumbukwe ile sio jet ingened,ni propelar
 
Pia sio ndege ya kichina,ni ya kifaransa, aina ya atr 72-500,maalum kwa mazingira yetu ya kibongo
 
Sasa mbona kila siku in amatatizo kwa mwezi hii shirika hilo limelaza watu hapo dar es salaam zaidi ya mara 3
 
Matatizo ktk biashara ya ndege ni kitu cha kawaida,kuna hali ya hewa,na mengineyo meengi,sasa kwa precision kulaza mara 3,mwezi uliopita sio kweli,pili ililaza mara moja,na ni abiria wa mombasa,sababu ilikua hali ya hewa mbaya,na wasingeweza kurisk maisha ya abiria,
 
Hivi Mchina na Mhindi yupi afadhari jamani naombeni msaada hapo.....yupi ni bora tumkumbatie?
 
Back
Top Bottom