Ndege la EMIRATES lajaza dhahabu kufa mtu

Hivi hii dhahabu:

"The letter provides background information on gold mining to Tanzania, saying in 2010, Tanzania produced some 44 tonnes of gold, almost two thirds of the total produced from the region and 1.7 per cent of global gold production."

Source: allAfrica.com: Tanzania: Miners Say Gold Production Well Regulated

Mlitaka isafirishwe na ngarawa? au mtainunua nyie hapa mtengeze mikufu na pete za ndoa? Mnanshangaza!

U must be Sick.....!!!

• Thanks
Reactions: LAT

Wewe ndio umepotea kabisaa kama ni darasani utakua ulikua unapata sifuri,sina haja ya kukuelewesha kwa kirefu maana naona hutanielewa,kitu kinachokera hapo ni kuwa tunajua mikataba ya uchimbaji wa madini nchini kwetu ni mibovu,asilimia 97 inachukuliwa,asilimia 3 tu ndio tunabaki nayo.sina haja ya kukuelezea mengi we tafuta more information ya mikataba yetu ya madini ndio utajua kwanini watu wanasikitika

Pdidy, umeshanusanusa ukajua huo mzigo wa dhahabu uliobebwa na ndege ya Emirates ulikuwa ni wa nani? Ni wa mafisadi au ni mali ya wachimbaji (Barric Gold au Anglo Gold)?

Ukifika Loliondo kwa Mwarabu ndio utafahamu kumbe nchi ilishauzwa yaani ni kisehemu cha nchi ndani ya nchi yetu.

AISEE UNTAKA KUNSAIDIA MAMA DIDY NINI WAKINIONDOA??

KWA MWAARAAABUU EEEHHHH???UNAONA MWARABUUU???SASA AMEANZISHA KAMPUNI YAKE YA NDEGE SAFARI SIJUI NDIO TUTASEMAJE DAR JRO KAMA CHOONI
KAZIKWAKOMPWA

AISEE UNTAKA KUNSAIDIA MAMA DIDY NINI WAKINIONDOA??

Ninapenda uendelee kuishi uijenge nchi yetu, na hivyo sitapenda kusikia ati wameku-kolimba kutokana na kuvujisha habari kuhusu ulaji wao, na uwe na amani Pdidy wetu.

Hivi hii dhahabu:

"The letter provides background information on gold mining to Tanzania, saying in 2010, Tanzania produced some 44 tonnes of gold, almost two thirds of the total produced from the region and 1.7 per cent of global gold production."
Source: allAfrica.com: Tanzania: Miners Say Gold Production Well Regulated

Mlitaka isafirishwe na ngarawa? au mtainunua nyie hapa mtengeze mikufu na pete za ndoa? Mnanshangaza!

It is very sad that in this day and era there are citizens of my beloved Tanzania thinking this way. why should you or any other person for that matter justify the unjustfiable. let us think and act for the sake of this nation and our kids. Ask your self what kind of life would you want you children to live. Am sure it is not the kind that pushes you back 10 steps after making one step ahead. There are people who work very hard but they just cant make it because the conditions are not condusive. no elec, no tax holiday, competion from unscrupulous investors under the protection of the mafisadis we have for leaders. tunahitaji viongozi wenye uchungu na hili taifa viongozi wenye integrity la sivyo we are in hot soup

The natural resources given to this country by the Almighty God are meant for the people of this country and the surplus be used for the rest of the world. Jiulize hii inayopelekwa nje kwa kwa wingi hivi ni kwa manufaa ya watanzania au hili taifa ndio linapata makombo?

PTP .... I am very sad too .... i doubt if this person is fellow Tanzanian

Hivi hii dhahabu:

"The letter provides background information on gold mining to Tanzania, saying in 2010, Tanzania produced some 44 tonnes of gold, almost two thirds of the total produced from the region and 1.7 per cent of global gold production."
Source: allAfrica.com: Tanzania: Miners Say Gold Production Well Regulated

Mlitaka isafirishwe na ngarawa? au mtainunua nyie hapa mtengeze mikufu na pete za ndoa? Mnanshangaza!
bora tuuze Pete za dhahabu Sio dhahabu

mara nyingi hapa nchini watu hulalama kuhusu hili na lile, mara wanaochimba migodi wanatunyonya au mwana siasa flani ni fisadi au mwizi. Swali la msingi ni je kwa kiasi gani hizi 'hear say' ni za kweli? Una proof? Unaweza kuthibithisha kuwa makumpuni ya madini yanacheat?? Au ni kutokuelewa kwetu tu?? Je kusafirisha dhahabu airport ni kitu cha ajabu?? Kuna wafanyabiashara wengi wa madini nje na ndani ya nchi je hawapaswi kusafirisha kwa ndege?? Mara nyingine tunatakiwa kudadisi ikiwa kinachofanyika sio sahihi na pia kuwa na ushahidi (kisheria) kuwa sio sahihi kabla ya kulalama.
haya maneno yako unaweza kuyasema tena leo? watanzania tunajua kila kitu ila hatuna pa kusemea

Similar Discussions

Back
Top Bottom