Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,608
- 5,269
na kwenye mbuzi katoliki pazuri,nataka fika
ok usijali kwenye mbuzi katoliki tutaenda pale shooters karibu na villa park pembeni kidogo na the kiss.
na kwenye mbuzi katoliki pazuri,nataka fika
Unachafua thread yako..watu wa mwanza hawatumii hiyo kitu!
Unachafua thread yako..watu wa mwanza hawatumii hiyo kitu!
Na mimi nipo Mwanza! Nipo Lakairo but kwa sasa nipoa hapa Villa Park resort! Karibu
ok usijali kwenye mbuzi katoliki tutaenda pale shooters karibu na villa park pembeni kidogo na the kiss.
REJAO ! Unafikaje Mwz kimyakimya ? Mimi nipo Rock City nipe Roadmap kesho nikuoneje ? Kwa Seniority yako Jf, wewe ni Afande wangu, so nashawishika tufahamiane eachother !
Usijali mkuu...nitakuPM contacts zangu. Nitajitahidi tuonane!REJAO ! Unafikaje Mwz kimyakimya ? Mimi nipo Rock City nipe Roadmap kesho nikuoneje ? Kwa Seniority yako Jf, wewe ni Afande wangu, so nashawishika tufahamiane eachother !
Karibu sana hapa..ngoja nikuPM!makubwaaa,nakuja vilapark niPM your no.
Karibu huku boko bunju ule matikiti maji na matango kwa wingi. Na imekuwaje umeenda mwanza bila kukaguliwa na babu? Ukipata mimba usinitafute.
Watu wengine bwana... any opportunity is good to promote their agenda! dah!Karibu huku boko bunju ule matikiti maji na matango kwa wingi. Na imekuwaje umeenda mwanza bila kukaguliwa na babu? Ukipata mimba usinitafute.
Owk mkuu wa chuo..but hiyo kitu siyo nzuri kwa afya. Nafikiri unafahamu kuwa vitabu vyote vya dini vimekataza matumizi ya huyo mduduhapana sio Mwanza ni Zanzibar!
Karibu sana hapa..ngoja nikuPM!
Ukipata muda mzuri tembelea mitaa ya MAKOROBOI pale kuna yale mambo yetu ya bei poa yaani mpaka buku 1 unapewa huduma, tena unaweza hata ukala pande zote, (front & back).
Watu wengine bwana... any opportunity is good to promote their agenda! dah!
wewe ni muuuzaji au?Fika Mwaloni ( soko la samaki na dagaa nikupatie mboga).
Owk mkuu wa chuo..but hiyo kitu siyo nzuri kwa afya. Nafikiri unafahamu kuwa vitabu vyote vya dini vimekataza matumizi ya huyo mdudu