Karibu Gamba. . .
Hhhmmm kwingine hua nasoma na kupita tu, siunajua tena.
pls niite G... Au Kiranga alinipa nick name ya Gchokest...
Najua nini tena,au kuna suala la kumaintain PR? Jambo ambalo umelimaintain na gain credibility uliyonayo ndani ya JF? Is that what you mean?
Syndeke basi fanya mpango huyo anaekunyima mapenzi apate copy. . she/he night learn a thing or two and apply it.dada lizzy umenigusa kabisa it iz a gud topic much respect it relate with my post NAKOSA MAPENZI hayo ndo mapenzi sasa we need to be like that good gooder goodest
Hahahaha. . . wala. .mi hua nachangia popote ila wakati mwingine naangalia kule ambapo naona ni muhimu zaidi.
Hhmm nikikuita G kuna mtu ntakua nafhani ndio nnaongea nae. . how about GeeCee?!
Maybe you are not flexible. Try to learn how to be flexible, I am sure that you will discover that your ideas are wrong..!I don't think so!Kwa umri ambao ninao nina uzoefu wa kutosha sana na sio ninapoishi tu bali hata tofauti na hapa!
Basi ndio ishakua official.
Hehehehe nilikua mapumzikoni kidogo GeeCee. . .wapi sasa tuelekee?
Ndio ushanipata hivyo!!
Hahahahaembu jaza hizo . . . . . kwanza alafu ntakwambia kitu.
Ohhh that is sooo sweet.Thank you GeeCee.
Hehehe you don't have to worry though. . .it was just a prank.