Ndani ya daladala

Mtanzanika

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
2,389
1,131
Jamaa mmoja alijamba ndani ya daladala,pyuuu!!
Pyuu,pwuaaah!!!
Watu wote
wakamwangalia..ili kuzuga akatoa simu akajidai
"Hallo"
Watu wakacheka wakasema "kumbe ni
ringtone ya simu tu!"
Konda hakuvumilia akasema "ebwana mkuu we mkali
hiyo ringtone yako ni noma,ina mpaka na
harufu ya mayai ya kuchemsha!!"
 
kuna jamaa yangu enzi hizo alikuwa na uwezo wa kuita jina la mtu kama rose, edward, neema, nyayula kwa kutumia mdomo wa nyuma(kujamba).
Ama kweli watu wana talents
 
sisi tu huku bongo ndiyo tunaona kujamba jambo la ajabu. India watu wakiwa nao si wachoyo hawaubanii unatoka kama ulivyo, kama wa mshindo kiwambo kinalegezwa ili usikike vizuri. Muulizeni patel kama hamjafika huko!
 
kuna jamaa yangu enzi hizo alikuwa na uwezo wa kuita jina la mtu kama rose, edward, neema, nyayula kwa kutumia mdomo wa nyuma(kujamba).
Ama kweli watu wana talents

Dah, hiyo kali....Hebu jaribu na wewe basi ili kuthibitisha hayo uliyoyasema.
 
Back
Top Bottom