Ndanda kossovo atimuliwa nchini

kivipi, kwani hizo cheque nazo si ni hela tu, unaenda kuzibadili maisha yanaendelea kama kawa
Cheque zotee zinakuwa address to Mkurugenzi wa uhamiaji na ziienda kwenye accounts moja so no kuchakachuliwa
 
Wamewaonea tu! mbona wahindi na wazenji wanaishi Tanganyika bila vibari?
 
mbona wanamsumbua namna hii???

Njama tu hizo, umaarufu wake unatishia baadhi ya bendi, kama ni wageni wanaoishi bila taratibu za sheria ni wengi na wanajulikana ila uhamiaji hawawagusi, dunia tambara bovu. Pole Kosovo.
 
Wamewaonea tu! mbona wahindi na wazenji wanaishi Tanganyika bila vibari?

Jamani, kama wahindi na wengine hawana vibali hiyo haina maana Ndanda asikamatwe!

he has lived in Tanzania long enough to know the rule of the game....... ! I will be suprised if he will be travelled to DRC as they have claimed...
 
Kamata wageni wote na kurudisha makwao


Kwa hiyo mzalendo na sisi tunaoishi nchi za watu tufukuzwe?? Kama mtu anaishi kwa uhalali kuna shida gani? ukifuatilia sana, utakuta ni ushindani kwenye industry ya muziki iliyofanya yote haya. Tanzania haiaminiki kwa lolote.
 
Tujiulize kama ni kweli ana kibali halali iweje afukuzwe? Na kama sio halali je hicho feki alikipataje? hapa ndiko kuna tatizo wala tatizo si Mzaire au Mhindi au Mzungu.
 
Most probably Ndanda Kosovo ni Muha tu wa Kasulu au Kibondo, ila kwa kujipa ujiko anasema ni m Congo ili kupapatikiwa na wapenzi wa muziki,hasa mademu wa ku TZ. Sasa ndiyo tutajua ukweli kama kweli anaijua Kunshasa au Lubumbashi au Kivu
 
mnaoshabikia uhuni wa immigration mngekuwa mmekaa nchi za watu mngesema wanachofanya si sahihi
 
Wamewaonea tu! mbona wahindi na wazenji wanaishi Tanganyika bila vibari?


Ni mpango wa ****** huo kumnusuru kabila hali ni tete walitakiwa waondoke mapema. Wakapige kura kwao waka puuza sasa inawagharimu
 
@mzalendo very true nakwambia nchi imekua kama yakwao wanajazana hapa kudadadekiii if yu think ni uongo go and visit viwanda vyote vilivyopo nyerere road of which vyote ni vya hao wahindi washapewa bure longtime wamejaa wahindi fun enough angalia work permit zao sasa mara butcher manager,sales expert,operation manager yani ol the way from india kuwa butcher manager hata hapa bongo kunawasomi wangapi wanaoweza kua ma-butcher manager hahahaha........i hate you uhamiaji na wizara ya viwanda na biashara,RUSHWA tu mwanzo mwisho hawa jamaa wanalala 10 kwenye chumba kimoja mama na baba wakitaka kunahii watoto wanaenda kula mihogo coco beach ........
 
Back
Top Bottom