chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,961
- Thread starter
- #61
huu mkopo wangeupotezea tu,Sijui kama makubaliano ya mkopo wa elimu ya juu yalikuwa kwamba serikali ikupe mkopo usome, kisha ikupe ajira ili ulipe huo mkopo. Mkopo unatolewa ili uweze kupata maarifa ambayo yanatakiwa kutumika kuajiriwa/kujiajiri ili mkopo urudi wengine waweze kufaidika nao