Ndalichako abanwa kujitengea bilioni 8 kwa ajili ya kukarabati ofisi

Unazungumzia ofisi gani binti.Kama ni makao makuu ya Wizara 'it might' be realistic,inategemea liko katika hali gani,ingawa naona makisio yanatia wasi wasi kidogo.Kama ni office yake binafsi ni very unrealistic.
Waziri wa elimu Joyce Ndalichako amebanwa kuhusu kujitengea bilioni 8 kwa ajili ya kujikarabatia tu ofisi yake huku kukiwa na upungufu mkubwa wa miundombinu ya kufundishia na fedha ya kufidia elimu bure zikiwa hazitoshi
Mbunge huyo amedai bilioni 8 zikigawanywa kwa madarasa ni madarasa mengi yatajengwa

Nilikwambia Mama Ndalichako ukianza kufatilia vyeti feki bungeni hautokaa hiyo nafasi hata miezi 6,haya Mambo kuchele.
 
Mungu hamfichi mnafiki....haya tunayoyaona kwa huyu mama tuliekuwa tukimwamini kuwa pengine anaweza kuivusha elimu yetu kutoka gizani....ndiyo taswira halisi za wapiga domo waliokuwa nje ya ulaji...ni kuwa ulalamishi wao hausukumwi kwa uzalendo bali kwa wivu kwa wale anaowajua wanaiba....na ndio maana hata wao wakizipata hizo nafasi tunastaajabu madudu yao mengi tu......

Kwa akili ya kawaida waziri unayesimamia wizara yenye matatizo na malalamiko kibao..yakiwemo na madai ya fedha za watumishi wako....unawezaje kutenga kiasi kikubwa kama hicho kwa ajili ya kukarabati ofisi yako tu......
Ina maana ofisi yako wewe ni muhimu sana kuliko madai ya walimu wanaovumilia kufanya kazi katika mazingira magumu....???
Ina maana ofisi yako ni muhimu kuliko hata vitendea kazi huko mashuleni.....??!!!!

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni.....
 
Ndio wale wale ule msimamo wote nilidhania ni kweli kumbe geresha tu! Bil 8 hapo anajua chake kipo kingi tu!! Nae kumbe msaka tonge!
 
mama ndalichako ana maadui wengi, na nchi yetu ukiwa na maadui wanaanza kukutafuta kwa mambo ya uongo. akili ya kawaida haikubali hilo jambo kuwa kweli. akili ya siasa na akili ya chuki ndio pekee inayoweza kukubali. uongo umekua mwingi sana kwenye siasa na kwenye media siku hizi.
 
Uhuru wa mtanzania unaweza ukapatikana soon after elimination of nyinyiem
 
mama ndalichako ana maadui wengi, na nchi yetu ukiwa na maadui wanaanza kukutafuta kwa mambo ya uongo. akili ya kawaida haikubali hilo jambo kuwa kweli. akili ya siasa na akili ya chuki ndio pekee inayoweza kukubali. uongo umekua mwingi sana kwenye siasa na kwenye media siku hizi.
Maaadui kvp mkubwa embu tuwe wawazi 8000000000 kwa ajili ya ukarabati wa office daaaah watakaomtetea wakapimwe akili. Mm naupenda utendaji wa ndalichako lkn kwahil cmuungi mkono
 
Back
Top Bottom