Nchukia mafua!

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Tangu nimeacha kuugua malaria zaidi ya miaka kumi iliyopita ugonjwa wangu mkubwa kabisa kwa siku za hivi karibuni umekuwa ni mafua. Nayachukia mafua coz yakinipata napata homa, kichwa kinauma Khaaa yaani nakuwa hovyo hovyo kama leo.
 
Basi jitahi usiyachukie, maana unavoyachukia nayo ndio yanakuchukua mara mbili zaidi...
 
Tangu nimeacha kuugua malaria zaidi ya miaka kumi iliyopita ugonjwa wangu mkubwa kabisa kwa siku za hivi karibuni umekuwa ni mafua. Nayachukia mafua coz yakinipata napata homa, kichwa kinauma Khaaa yaani nakuwa hovyo hovyo kama leo.
Kuna jamaa hapa alisema hayana dawa kwa kuwa ukitumia dawa yanaisha baada ya week 2 na usipotumia dawa pia ni week 2....
So inabidi ukubaliane na hali....
 
Ni kweli hayana dawa kwasababu bado wanasayansi hawajapata dawa ya kutibu virus, ila dawa zilizopo zinafast track zile stages za mafua na kukutoa kwenye ile stage ya awali ambayo kimsingi ndiyo inatesa zaidi.
 
Hivi ni kweli hii kitu haina dawa?
Tangu juzi inaninyayasa aisee, hadi nakosa pozi..
 
Ni kweli hayana dawa kwasababu bado wanasayansi hawajapata dawa ya kutibu virus, ila dawa zilizopo zinafast track zile stages za mafua na kukutoa kwenye ile stage ya awali ambayo kimsingi ndiyo inatesa zaidi.
Dah poleni sana wapendwa
 
mie mwenyewe yameisha juzi tu..pasaka yote mafua..raia wakawa wanahisi namlilia supa star wa movie..kumbe mafua
 
Hahahahaaa huu ugonjwa ni kama janga la kitaifa hivi, tabu yake ni kwamba unatesa sana bhana dah!
 
mie ..liambiwa kunywa dawa ya vichenga hola...kunywa konyagi hola...nikaona huu sasa sio ugonjwa
 
Hahahahaa zamani nakumbuka nilipokuwa mtoto kulikuwa na dawa inaitwa MKOJO WA PUNDA maana mafua na kikohozi vilikuwa vinaenda pamoja so tulikuwa tunapewa hiyo khaaa ilikuwa na ladha mbaya kinoma
 
Tangu nimeacha kuugua malaria zaidi ya miaka kumi iliyopita ugonjwa wangu mkubwa kabisa kwa siku za hivi karibuni umekuwa ni mafua. Nayachukia mafua coz yakinipata napata homa, kichwa kinauma Khaaa yaani nakuwa hovyo hovyo kama leo.

Mkuu umenigusa maana hapa nipo hoi bin taaban.
 
Back
Top Bottom