Nchimbi

Observer2010

Senior Member
Oct 29, 2010
195
44
Kuna mambo kadhaa yamenisukuma kuweza kutafuta profile ya huyu mheshimiwa especially ile title yake ya Dr ilivyopatikana, maana binafsi nilikuwa sijajua mh ni Dr wa kutibu, wa PHD au wa kupewa. Nikacheki kwenye hii link hapa chini. Hakika inanichanganya, sasa sijui ni typing error ya huyo administrator wa bunge au ndio uhalisia ?


Parliament of Tanzania



Ukicheki kati ya mwaka 2001 mpk 2003, Mh. alisoma masters mzumbe university halafu at the same time akawa amesoma PHD hicho chuo kingine. Hiyo haitoshi, katika kipindi hicho hicho alikuwa anafanya kazi NEMC kama administrative officer. Achilia mbali hivyo vyeo vya kichama.


Hivi hii inaweza kuwa ndio sababu ya huyu mheshimiwa kutoendana kabisa na hiyo title ya Dr ?

Kiukweli mtu kuwa na Dr. ya Phd, hapa sizungumzi Dr wa mifugo, hata the way anavyopresent issue yoyote unapick kwamba jamaa amepitia makablasha ya kutosha. :A S-confused1:
 
Cc magamba mbona hizo ni nyingi tu.
Ukiona mtu anafoji umri ujue huyo hakuna kitu haramu kwake kufoji.
 
Unajua hii nchi ndugu yangu tumezoea kuchakachua kila kitu na ukifanya hivyo unaonekana mjanja,...ona hii ukienda hospital ukachachua foleni na kutibiwa kabla ya wengine uliowakuta_mjanja,ukachakachua foleni bank_mjanja,ukaiba hela za kampuni/shirika au umma na kuwa tajiri_mjanja,ukiwa na wanawake wengi/mhuni _mjanja,......nk
 
Dr Nchimbi (PhD).Huyu jamaa inaonekana ni genius.Maana Cv yake inatisha.Kalamba vitu dabo dabo duh.
 
Back
Top Bottom