Nchimbi wizara yake imemshinda

LENGIO

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
1,096
508
Waziri nchimbi ni mmoja wa mawaziri kati ya viongozi Mh Tundu lissu aliowataja wamepewa vyeo kwa kwa kubebwa.Amekuwa dhaifu kutoa maamuzi hata yalio wazi kuna wakenya anatony ngoo na mwanaye davisi ngoo sio rai wa tanzania. Na waziri aliyemtangulia Mh Nahodha alishatoa amri wachukuliwe hatua kali za kisheria. lakini ameshawishiwa na mtoto wa mzindakaya anyeitwa vailelet mzindakaya kuhalalisha kuwapo hapa nchini sensa inakuja itakuwaje?
 
Siyo Nchimbi tu bali Serikali yote imeshindwa katika utendaji wake wa kuiongoza nchi na ushahidi wa hili ni kila wizara (Afya, Elimu, Mambo ya Nje, Nishati, Mawasiliano n.k.) iko shakala baghala.
 
Kweli Nchimbi hafai kabisaaaaa!!!. Wiki chache kabla hajapewa wizara ya ndani aliikwta pale New habari ku-officiate bahati nasibu ya Mchongo Promo iliyokuwa inaendeshwa na media House hiyo. Ilikuwa aokote kuponi moja ili mshindi wa gari aina ya Vitz apatikane.

Cha ajabu jamaa huyu alivyokuwa siyo makini hivyo mbumbumbu wa hali ya juu -- alilifanya zoezi hilo bila ya kuwepo mtu wa kutoka Gaming Board, sharti ambalo ni la lazima kabla ya kufanya bahati nasibu inayosimamiwa na gaming Board.

Hebu fikiria - Waziri ambaye baadaye alipewa wizara ya mambo ya ndani hajui sheria za nchi na kanuni zake zinasema nini.

Kilichotokea? Kulizuka mkanganyiko kuhusu mshindi na watu wawili walijitokeza kudai zawadi hiyo.
 
Back
Top Bottom