Nchimbi: Tupo tayari serikali kukaa pamoja na vikundi/taasisi za kidini

Naunga mkono hoja ya mazungumzo. Hatua ya mwanzo ya mazungumzo ni kuvunjwa kwa bakwata, hawa ndiyo tatizo nambari 1.
 
Amesema kama serikali hatupo tayari kusubiri watu wauwane ndipo tuseme tukae chini,inatosha na wapo tayari kukaa kimazungumzo na taasisi za kidini.
My take: kauli kama hii ilitakiwa mapema mnoo na sio mpaka watu walaluwane, na isiwe kwenye dini hata siasa na mambo mengine.
Source Channel Ten Habari saa moja.
Nawakilisha

Nawahi kwenye pombe haramu,ngoja nikapombeke labda hasira zitapungua.Huyu Waziri simuelewi,yupo full tabasamu.Ntarudi nikishalewa
 
Huyu m???ng()%%% nae anaongea nini?
 
watawala waache kusema haya yasiyo maana wazungumze kitu gani hapo?
wazungumze kuhusu uvamia kiwanja, hilo linahitaji mazungumzo!!!!!!!! ebo!!

watu wanfanya uchochezi, mnataka tuwalee, hao ni kuwadhibiti Ndg. yangu Nchimbi.
usipofanya hivyo watafanya kama wake Boko haram kule nigeria.
hao ni watu shari wakabiliwe kishari.

kama unadhani nadanganya subiri mtafanya mazungumzo leo, kesho utasikia
redio yao ya immaaaan pale moro itakavyokushambulia tena si ajabu huenda
hata sasa waeanza kukushambulia, maana ndiyo kipaza sauti chao, dawa ni
kamata weka ndani wakutanishe na hakimu haki itendeke huko,hakuna kuzungumza
na mhalifu in the name of religion.

huo ni uhalifu serikali kazi yake happo kamata weka ndani, peleka mahakama
ni kabidhi kwa hakimu sheria nachukua line yake kwisa
 
Amesema kama serikali hatupo tayari kusubiri watu wauwane ndipo tuseme tukae chini,inatosha na wapo tayari kukaa kimazungumzo na taasisi za kidini.
My take: kauli kama hii ilitakiwa mapema mnoo na sio mpaka watu walaluwane, na isiwe kwenye dini hata siasa na mambo mengine.
Source Channel Ten Habari saa moja.
Nawakilisha

watu wauwane.? Watu gani inamaana anajitoa kwenye watanzania....anaongea kama sio mtanzania,labda haishi tz.!
 
Nchimbi alikuwa likizo? Where was he? Compare his reaction hii meltdown iliyotea Dar na Zanzibar na jitihada zake za kujiweka karibu na wanaandishi wa habari wakati wa mauaji ya Mwangosi? Photo opporunity?

Na anaamini suluhisho la hii hali ya sasa wanalo viongozi wa dini? Kabla ya kuwa waziri wa mambo ya ndani alikuwa waziri wa habari, je, aliridhika na contents za radio Imaan? au gazeti la Al-Nuur?

Na inakuwaje waziri wa mambo ya ndani anajitokeza so late?
Umeona redio Iman na Al-nuur tu? Chuki ya waziwazi. Kajipange upya
 
watawala waache kusema haya yasiyo maana wazungumze kitu gani hapo?
wazungumze kuhusu uvamia kiwanja, hilo linahitaji mazungumzo!!!!!!!! ebo!!

watu wanfanya uchochezi, mnataka tuwalee, hao ni kuwadhibiti Ndg. yangu Nchimbi.
usipofanya hivyo watafanya kama wake Boko haram kule nigeria.
hao ni watu shari wakabiliwe kishari.

kama unadhani nadanganya subiri mtafanya mazungumzo leo, kesho utasikia
redio yao ya immaaaan pale moro itakavyokushambulia tena si ajabu huenda
hata sasa waeanza kukushambulia, maana ndiyo kipaza sauti chao, dawa ni
kamata weka ndani wakutanishe na hakimu haki itendeke huko,hakuna kuzungumza
na mhalifu in the name of religion.

huo ni uhalifu serikali kazi yake happo kamata weka ndani, peleka mahakama
ni kabidhi kwa hakimu sheria nachukua line yake kwisa
Shari unaijua na kuiweza wewe?? Unaclick simu yako tu unadhan maisha rahis hivyo!! Na isitoshe hata nchini haupo hapa kazi kuchochea tu ili mpewe ukimbizi huko! Nimegundua wengi wa watoa porojo humu hawapo nchini na wanaombea kinuke wapate hifadhi ya kudumu huko,njoo ulingoni hapa
 
Nawahi kwenye pombe haramu,ngoja nikapombeke labda hasira zitapungua.Huyu Waziri simuelewi,yupo full tabasamu.Ntarudi nikishalewa
Utamuelewa vipi wakati anataka kuwapa nafasi waislamu ya kutoa dukuduku lao. Utaelewa kesho kule mnapokutana!
 
Kweli mkuu wangu, wangelivunjilia mbali, au kuacha mabaraza mengine yasiyofungamana na Bakwata yaanzishwe.

Hivi nikuulize, linalowasimamia Baraza moja tu linalowasimamia Wakatoliki, Waanglikana, Walutherani, Wasabato, Walokole n.k.kwa pamoja?? Linaitwaje??

Uislam na vurugu huwezi watenganisha .Kila siku Duniani wao wana hoja za kuonewa .Nakueleza wakiachiwa wakawa na mabaraza asubuhi watauana maana hakuna busara miongoni mwao na shule imewapicha chenga ustaraabu hafifu .Sasa wana shida na Bakwata wanavunja na kuiba makanisani na kuiba kwenye bar ? Au wana ugomvi na Bakwata wanaukataa Muungano? Hii ni akili gani ?
 
watawala waache kusema haya yasiyo maana wazungumze kitu gani hapo?
wazungumze kuhusu uvamia kiwanja, hilo linahitaji mazungumzo!!!!!!!! ebo!!

watu wanfanya uchochezi, mnataka tuwalee, hao ni kuwadhibiti Ndg. yangu Nchimbi.
usipofanya hivyo watafanya kama wake Boko haram kule nigeria.
hao ni watu shari wakabiliwe kishari.

kama unadhani nadanganya subiri mtafanya mazungumzo leo, kesho utasikia
redio yao ya immaaaan pale moro itakavyokushambulia tena si ajabu huenda
hata sasa waeanza kukushambulia, maana ndiyo kipaza sauti chao, dawa ni
kamata weka ndani wakutanishe na hakimu haki itendeke huko,hakuna kuzungumza
na mhalifu in the name of religion.

huo ni uhalifu serikali kazi yake happo kamata weka ndani, peleka mahakama
ni kabidhi kwa hakimu sheria nachukua line yake kwisa

mkuu umenena sina cha kuongeza..unalike yangu ila nipo kwa simu.!
 
....
....
....
....
Sasa wana shida na Bakwata wanavunja na kuiba makanisani na kuiba kwenye bar ? Au wana ugomvi na Bakwata wanaukataa Muungano? Hii ni akili gani ?
Simple,
Unaweza ukawa na matatizo na mzee wako kutokukulipia Ada wala kukuhudumia kisha ukaenda kutafuta hela nyingine kwa njia zisizo za halali.
 
Kweli mkuu wangu, wangelivunjilia mbali, au kuacha mabaraza mengine yasiyofungamana na Bakwata yaanzishwe.

Hivi nikuulize, linalowasimamia Baraza moja tu linalowasimamia Wakatoliki, Waanglikana, Walutherani, Wasabato, Walokole n.k.kwa pamoja?? Linaitwaje??

Sina hakika kama Islam imegawika kama ilivyo kwa Christin. Kwa wakristo kila denominationa ina muundo wake na organisationa yake kwa sababu hizi denominations are foundamentally different from one another although wote wanatumia kitabu kimoja - biblia.

Nijuavyo mimi under Islam kuna Shia na Suni. Hata hivyo ni kitu gani hasa kinachofanya waislam wasiunde organisation yao kulingana na kundi walimo? Kuwe na chombo cha Shia na kingine kiwe cha Sunni? Shida iko wapi?
Au watu wanataka mfani Sunni wawe na mabaraza zaidi ya moja?
 
Mchimbi namfahamu hata kujenga hoja hajui....yupo hapo kwa nguvu ya mtandao ndio maana analopoka tu.!
 
waongee nini na vikundi vya kidini.? Haoni kama ni kuhalalisha udini.?....akianza kusikiliza vikundi vya kidini vya kiislamu sawa na kuhalalisha makundi ya kidini tanzania na ndio mwisho wa tanzania moja.!

Mkuu acha jazba za kidini; aliposema serikali ipo tayari kuongea na vikundi vya kidini; hakumaanisha waislamu peke yao; ni taasisi za dini zote.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Sina hakika kama Islam imegawika kama ilivyo kwa Christin. Kwa wakristo kila denominationa ina muundo wake na organisationa yake kwa sababu hizi denominations are foundamentally different from one another although wote wanatumia kitabu kimoja - biblia.

Nijuavyo mimi under Islam kuna Shia na Suni. Hata hivyo ni kitu gani hasa kinachofanya waislam wasiunde organisation yao kulingana na kundi walimo? Kuwe na chombo cha Shia na kingine kiwe cha Sunni? Shida iko wapi?
Au watu wanataka mfani Sunni wawe na mabaraza zaidi ya moja?
Unajitahidi kuandika ila inaonekana sio mfatiliaji? ponda na wenzake tunaomuunga mkono tumeomba taasisi yetu isajiliwe lakini serikali inakataa jaribu kufatilia hilo utaugundua ukweli.
 
Umeona redio Iman na Al-nuur tu? Chuki ya waziwazi. Kajipange upya

Uko sahihi, nachukia mtu/kikundi chochote kinachochea jamii igawanyike. Si jambo la busara hata kidogo na naamini uislam unahimiza watu washirikiane na waheshimiane. Na ningependa kukumbusha kwa kila dini kuna waamini na wahuni. There is nothing more dispecable zaidi ya mhuni kujificha kwenye kivuli cha udini.
 
Nchimbi haiwezi hii wizara.
Anatakiwa ajiuzulu awe mwanakamati wa miss tanzania ndo size yake.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mkuu acha jazba za kidini; aliposema serikali ipo tayari kuongea na vikundi vya kidini; hakumaanisha waislamu peke yao; ni taasisi za dini zote.

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu chama ni vikundi gani vya kidini zaidi ya Uamusho na Shekhe ponda&co vilivyoleta vurugu Tanzania.?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom