Nchimbi kweli kama unahasira na wahamiaji haramu anza na wakenya walioletwa kwako.

LENGIO

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
1,096
508
Nimesoma gazeti la mwananchi kichwa habari nchimbi anasema wanaotoa vibali kwa wageni bila kufuata utaratibu ni sawa na shetani.

Nashangaa kauli yake kwani kuna wakenya ambao Nahodha akiwa waziri wa mambo ya ndani aliagiza wachukuliwe hatua kali baada ya kuchunguzwa na kukutwa sio raia halali wa Tanzania kwani sehemu zote wanazo sema wamezaliwa wamewakana hawatambui.

Cha kushangaza mtoto wa mzindakaya wakike anaefanyakazi uhamiaji amewapeleka kwa Nchimbi nakumdanganya wakenya hao wanapigwa vita kwa sababu za kibiashara wakati kuna ushaidi wakukutwa na pass mbili moja ya tanzania na nyingine ya kenya.Na tarehe 2/6/2012 amesafiri kwenda uingereza kupeleka madini kwa pass ya kenya.

Isitoshe kuna tetesi wamepelekwa mpka kwa waziri mkuu kwa madai wanaonewa wao ni wazaliwa wa kahe toloha wakati sio kweli ni wazaliwa wa UNDALI TAVETA KENYA.

NCHIMBI mapenzi na mtoto wa Mzindakaya pembeni nchi kwanza pamoja na ahadi ulizopewa na Wakenya,
 
kweli mwana wa mzindakaya aliwaingiza chaka .Hizo kwenye red ni sehemu mbili tofauti. Toloha ipo mpakani mwa kenya na Tanzania wilaya ya mwanga na Kahe ipo Moshi V. vitambulisho vya raia na vije tu sijui hawa mabazazi watakula wapi
 
Back
Top Bottom