Nchimbi asema Big Brother ni kero

Endelea kuelimisha watu kama huyu, kwani akikosa Big Brother atakufa?
Kweli aendelee kuelimisha, lakini nafikiria nchi yangu Tanzania ni kubwa kuliko ninavyojua. Mtu aliyekulia Tanzania, kwa mazingira haya ninayoyajua, hata siku moja hawezi akashabikia BBA tena kwa kiwango cha asilimia mia moja. I need a break.

Kaka, nakuheshimu sana kwa hoja zako ambazo nimekuwa nikizisoma kwenye magazeti,
huyu jamaa unayesumbuka kujibishana nae tayari amekwishalishwa kasumba ambayo
hata umweleze vipi hamuwezi kuelewana

Nitazingatia ushauri wako mkuu, thanx a lot.

Akihitimisha hoja za bajeti ya Wizara yake 12/08/11 Dr. Nchimbi amesema kuwa kipindi cha Big Brother ni kero na serikali haikuingi mkono. Wakati akisema hayo wabunge wengi walionekana kupiga madawati yao ikimaanisha kuwa wanaunga mkono. Kwangu mimi nimejiuliza:

1. Waziri Nchimbi na hao wabunge waliolalamika kuhusu Big Brother walikijuaje? Ina maana wamekuwa wanakiangalia siyo?

2. Mambo mengi yaliyo kwenye big brother yana tofauti gani na mambo tunayoona huku mitaani hususani watoto wa vigogo?

asipenda awe anabadili channel maana wewe si mlengwa, na ikibidi wakati wa big brother usilipie kabisa bill ya DSTV, period

• Thanks
Reactions: FJM
Duh kweli jamaa hawana hoja bora angetetea bei za dstv zishushwe na kuacha kutozwa kwa dola ili kutuwezesha wengi wa kipato cha chini kuona mipoira na kujifunza na pia kupigia debe dstv kununua haki ya kuonyesha mechi badala yake analeta upuuzi bin upuuzi cjui ni kivipi alikuwa dokta au ndo wale wa Mzumbe waliochakachua phd!!!

kwan mkuu kipind kile yule msela alipowakomalia akisema phd yake,(nchimb) makongoro mahanga na wengineo kuwa ni za kughush mbona hawakubisha? Au kwenda mahakaman! Nafkir jibu umelipata, usiumize kichwa ndo maana anatoa makib ya kuungaunga!

Mazingira unayoishi wewe si kila mtu anayaishi, na mimi naongea si kwa ajili ya wanangu bali namuangalia

Mtanzania wa kawaida ambaye hawezi hata kuwa na housegirl lakini ana seti ya television. Tusipende

kushabikia mambo kwa kuwa tu sisi hayatuathiri

mkuu hilo lisikupe shida coz wanao hawataona hivyo vipind coz utakuwa kwenye mgao wa giza 20hrs, umeme ukirud saa tisa usiku na kukatika saa 12 asb wanao hawawez angalia tv

• Thanks
Reactions: FJM
Kwa kusema ukweli si kila kitu kitakacho shabikiwa na vijana kitakuwa na faida kwa watu wa lika zote kwa sababu ujana mara nyingi huwa ni kama ulevi
fulani na mtu yoyote akikwambia usifanye hivi au vile basi unamuona kuwa aningilia uhuru wako mfano biG brother na mengineyo mengi kwa kifupi HATA NAMI SIPENDI BIG BROTHEL(r).Mimi nadhani Program nzima ya BB Ingekuwa AULA zaidi kama ITAFUTWA.

Hao Vigogo why they want to limit other peoples happiness? It is is Media World... Sasa wanataka kuwa wanaangalia jinsi hao Mafisadi wanavyogawana Makampuni ya Serikali kwenye TV?

Au waangalia Serengeti Fiesta Just to please Clouds - JK Birthday Party Investors?

Tuliza huyo Nchimbo, kwanza na huyu anye sema eti watoto wa vigogo , koma kabisa watoto wa vigogo, ungesema humo humo Bungeni kumejaa watu wazima walio na maadili ya uzinzi na wezi kila kona .

Shule mitihani wanafanyia nje wa primary std 7

Watiti wanaachishwa shule kwa kutochangia pesa kulisha walimu siku ya exams etc

Unaongelea big brother wewe kweki ufisadi huu umekuaribu nyie wote

Na udogo wako badala ya kubadili mambo yaupuuzi wanayofanya wakubwa wako wazee mvi unaowaabudu ccm unakuja leta pumba

Fb amefungua profile ana mtu anairun yeye hata hajui ikoje

Waiache tuwe tunapunguza stress mana tunajadili ufisadi, rushwa na makolokocho kibao ya tz 24/7/365.

Wana JF,

Kinachofanywa na Nchimbi ni hadaa na hii inadhihirisha ulehelege wa Serikali iliyopo madarakani na ambayo imekosa mwelekea kwa kutojua inatoka wapi na inaelekea wapi. Kwa kumbukumbu zangu, miaka michache iliyopita, chini ya raisi huyuhuyu, na Wizara hiyohiyo, waziri wa wizara hiyo Mohd Seif Hatib, kama sikosei, alijitokeza pale uwanja wa JNIA katika kumlaki na kumpokea Richard ambaye aliibuka mshindi wakati wa shindano hilo miaka michache iliyopita. Na katika maneno yake, alisema kuwa ushindi alioupata Richard ni matokea ya sera safi ya michezo na utamaduni inayofanyiwa kazi na kutekelezwa na serikali iliyoko madarakani. Leo serikali ileile, Wizara ileile inatoa tamko lingine kulaani uwepo wa BBA. Kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Haya tunayoyaona leo kutoka kwenye serikali hii ni ya firauni kwa hakika. Yaleyale ya bei za mafuta kushushwa in not more than a week the relevant authority (EWURA) inapandisha bei, sasa hapa mtumiaji na mtanzania wa kawaida amesaidiwaje. Ndiyo haya Mwl Nyerere aliwahi kutahadharisha huko nyumba,serikali ikiwa imekamatwa na wafanyabiasha, basi haiwezi kuamua jambo zuri kwa interest za wananchi. Poor Tanzania,poor leaders

Yani kachemka kweli kweli WAZIRI wetu jamani! hiyo TBC yenyewe haina Kipindi hata kimoja ambacho kinaelimisha mbona! My self TBC naangaliaga Taarifa ya Habari na Ze Komedi basi. Ujue yeye ni mzee So BBA hawezi ona Fleva yake! ya ngoswe muachie ngoswe! Kama hataki twende BBA basi atuletee kwenye TBC michezo kama Who wants to be Milionea, Deal or No Deal maana BBA twaenda tafuta Mitaji, Ipi Bora kukaba watu mitaani kutafuta Mitaji au mtu aende BBA akae auze Sura mwisho wasiku anapata 200,000USD? Tafakari ...... Chukua Hatua.

Wana JF,

Kinachofanywa na Nchimbi ni hadaa na hii inadhihirisha ulehelege wa Serikali iliyopo madarakani na ambayo imekosa mwelekea kwa kutojua inatoka wapi na inaelekea wapi. Kwa kumbukumbu zangu, miaka michache iliyopita, chini ya raisi huyuhuyu, na Wizara hiyohiyo, waziri wa wizara hiyo Mohd Seif Hatib, kama sikosei, alijitokeza pale uwanja wa JNIA katika kumlaki na kumpokea Richard ambaye aliibuka mshindi wakati wa shindano hilo miaka michache iliyopita. Na katika maneno yake, alisema kuwa ushindi alioupata Richard ni matokea ya sera safi ya michezo na utamaduni inayofanyiwa kazi na kutekelezwa na serikali iliyoko madarakani. Leo serikali ileile, Wizara ileile inatoa tamko lingine kulaani uwepo wa BBA. Kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Haya tunayoyaona leo kutoka kwenye serikali hii ni ya firauni kwa hakika. Yaleyale ya bei za mafuta kushushwa in not more than a week the relevant authority (EWURA) inapandisha bei, sasa hapa mtumiaji na mtanzania wa kawaida amesaidiwaje. Ndiyo haya Mwl Nyerere aliwahi kutahadharisha huko nyumba,serikali ikiwa imekamatwa na wafanyabiasha, basi haiwezi kuamua jambo zuri kwa interest za wananchi. Poor Tanzania,poor leaders

WANA WEWESEKAGA hawa jamaa...... Tatizo hawana kumbukumbu! I Guess they are Intel pentium 386 processor with 2MB Memory! kitu full Dos hakiwezi beba windows! humo MS Office for Dos na Lotus ya Dos! teh teh teh teh teh, Sasa mambo ni Keyboard na Commands Kibao kwa ajili ya ku operate so ukisahau command tu unaweza shindwa hata ku bold, Si mnakumbuka enzi za Dos? Ndio haya sasa tunayo yaona, watu Full Vimeo!! Tafakari........ Chukua Hatua

Mimi naona big brother ndio sehemu pekee ya kuitangaza nchi yetu kwa sababu nyanja nyingine tumeshindwa kabisa.......................!

Mimi naona big brother ndio sehemu pekee ya kuitangaza nchi yetu kwa sababu nyanja nyingine tumeshindwa kabisa.......................!

ni kweli lakini tatizo ni uchafu unaofanyika ndani ya jumba hilo. Kuna sector nyingine kama utalii..TZ ipo katika seven wonders of the world..just imagine we are so lucky.. Pia kwa upande mwingine kujitangaza sio tija, tunaweza kuwa maarufu lakini hamna kitu kinachowanufaisha waTz kwa hizo sifa.

wanaume wakibatua poa tu akibatuliwa mdada nongwa
Akihitimisha hoja za bajeti ya Wizara yake 12/08/11 Dr. Nchimbi amesema kuwa kipindi cha Big Brother ni kero na serikali haikuingi mkono. Wakati akisema hayo wabunge wengi walionekana kupiga madawati yao ikimaanisha kuwa wanaunga mkono. Kwangu mimi nimejiuliza:

1. Waziri Nchimbi na hao wabunge waliolalamika kuhusu Big Brother walikijuaje? Ina maana wamekuwa wanakiangalia siyo?

2. Mambo mengi yaliyo kwenye big brother yana tofauti gani na mambo tunayoona huku mitaani hususani watoto wa vigogo?

Akihitimisha hoja za bajeti ya Wizara yake 12/08/11 Dr. Nchimbi amesema kuwa kipindi cha Big Brother ni kero na serikali haikuingi mkono. Wakati akisema hayo wabunge wengi walionekana kupiga madawati yao ikimaanisha kuwa wanaunga mkono. Kwangu mimi nimejiuliza:

1. Waziri Nchimbi na hao wabunge waliolalamika kuhusu Big Brother walikijuaje? Ina maana wamekuwa wanakiangalia siyo?

2. Mambo mengi yaliyo kwenye big brother yana tofauti gani na mambo tunayoona huku mitaani hususani watoto wa vigogo?

Hapa la msingi nikuwa yaliyoko kwenye big brother ni ushetani, no matter nani anaufanya. Hivyo watoto wa vigogo (kama wapo kweli) isiwe reference.

Back
Top Bottom