Tuwe tunapeleka wanaume tu nini? Watenda kazi na wala siyo watendewa kazi.
Kwani mtu analizimishwa kukiangalia? Its the matter of choice!
Rich alivyorudi na USD 200,000, mbona kila mtu alimpongeza! Kwa hili napingana na serikali yangu kwa 100%
tuwe tunapeleka wanaume tu nini? Watenda kazi na wala siyo watendewa kazi.
tuwe tunapeleka wanaume tu nini? Watenda kazi na wala siyo watendewa kazi.
Njiwa umenena,mimi linanikeraa pale washiriki wanapojitangaza wanawakilisha nchi.. kwa nini wasiende kule kama wao binafsi
Akihitimisha hoja za bajeti ya Wizara yake 12/08/11 Dr. Nchimbi amesema kuwa kipindi cha Big Brother ni kero na serikali haikuingi mkono. Wakati akisema hayo wabunge wengi walionekana kupiga madawati yao ikimaanisha kuwa wanaunga mkono. Kwangu mimi nimejiuliza:
1. Waziri Nchimbi na hao wabunge waliolalamika kuhusu Big Brother walikijuaje? Ina maana wamekuwa wanakiangalia siyo?
2. Mambo mengi yaliyo kwenye big brother yana tofauti gani na mambo tunayoona huku mitaani hususani watoto wa vigogo?
1. Ni dhahiri waziri na hao wabunge wamekuwa wakiangalia big brother na ndipo walipoona kasoro na athari zake na ndo maana wanapinga, tungewaona mataahira au malimbukeni kama wangekuwa wanapinga kitu ambacho hawajakiona!
2. kama mambo yanayofanyika big brother yanashabihiana na yale ambayo wewe unasema unayaona mitaani, tunachopima hapa ni maudhui ya mambo hayo kama yana faida kwa jamii au la! mitaani kuna umalayai, ujambazi, matumizi ya dawa za kulevya,wizi n.k kwa maana yako wewe, kwa kuwa haya yanafanyika mitaani basi tuyahimize kwa kutengeneza vipindi kwenye vyombo vya habari ili kushawishi jamii kufanya mambo hayo? yanafanyika mitaani kwa kuwa watu wamekosa maadili. Ina maana wewe kwa akilii zako utafurahia mwanao akiiga tabia hizo just because tabia kama hizo ziinafanyika na kuonekana mtaani kwako!?
Wala huhitaji kuwa na upeo wa mtoto wa chekechea kuona madhara ya tabia hizo kwa jamii! unless otherwise unatumia akili za kuleee aliposema masaburi (za mpododo) ambapo bila shaka na wewe ni mdau wa akili hizo!
Wanajamii!
Pia Ndugu zangu Wahenga wanasema ACHA UNAFIKI ONDOA KWANZA BORITI KWENYE JICHO LAKO NDIPO............ na kwa hili Nadhani NCHIMBI ajiulize matendo yake na ya wenzake kama viongozi yanawapa moral authority kuwashambulia wenzao kuwa wanavunja maadili ya nchi yetu?