Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,097
hakuna atakayejiuzulu hapo...sio utamaduni wa walafi wa madaraka,mwinyi alitakiwa ajiuzulu matokeo yake kabadilishiwa wizara...hajiuzulu mtu,..
Kwa njaa waliyoipata Baba yake alipojiuzulu 1975 unadhani na yeye yuko tayari kuikabili?