Nchi yazidi kutangazwa!!

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,493
2,247
Mwanamuziki Cheryl Cole alidondoka kwenye photo shoot baada ya kula Holiday Bongo, vipimo vinasema Anofelesi wamefanya kweli!

t1larg.cheryl.cole.gi.jpg

News today says malaria has hit pop singer Cheryl Cole. The popular Brit was on a visit to Tanzania in June, and now she is battling the disease.
 
Naam nina gazeti la jana la Daily Mail na kwenye ukurasa wa mbele kabisa kuna picha moja tu yenye kichwa hichi cha habari EXCLUSIVE: CHERYL STRUCK DOWN WITH MALARIA SEE PAGE THREE na hapo ukurasa wa tatu kuna kichwa cha habari hichi CHERYL HIT BY TROPICAL BUG ambapo parandesi ya kwanza inasomeka hivi CHERYL COLE IS IN HOSPITAL WITH MALARIA AFTER A HOLIDAY IN TANZANIA (Hizo herufi kubwa hapo mwisho ni msisitizo wangu)
 
I just think Kang decided to deliver a sarcastic headline following a much contentious and seemingly unproductive visit by the Brazilian team to Tanzania. Is it fair, the media be the judge!
 
Huyo ni cerebirty ndiyo sababu lakini watalii wengi sana wanapata malaria wanapokuja nchi za tropic zenye maambukizi ya malaria.. kuna taarifa ya watalii wengine wanaambikizwa ugojwa wa malale unaoambukizwa na mbung'o kwenye mbuga zetu kwa hiyo malaria sio ajabu sana
 
Nawashangaa sana waTZ kwa kujipendekeza kwa weupe mbona wao mafua ya ndege na nguruwe yakiwachapa sisi tunaenda huko na hawaandiki kama sisi tunavyo andika? Kwani nani asiyejua kwamba kwenye tropical countries kuna magonjwa ya kuambukizwa na wadudu kutokana na hali ya hewa ya joto na unyevu kipindi kirefu cha mwaka?

Ndo maana kukawa na vaccination card issues pale unapotembelea nchi nyingine!! Tena yeye ashukuru kama hajakumbana na HIV live.
 
pole mama, ndiyo TZ hiyo! Tumia chandarua chenye ngao safari nyingine ukija mamaaaaaaaaa:A S tongue:
 
Back
Top Bottom