Nchi ya Qatar yaishinikiza Tanzania kuitambua serikali mpya Libya?

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
Katika pitapita zangu mitaani kwenye mitandao ya habari nimekutana na habari hii. Je kuna ukweli au ni suala linalowahusu wachache?

Nchi ya Qatar imezuia visa kwa Watanzania,baada ya Serikali ya Tanzania kumsupport Muamar Gaddafi na Kutoitambua Serikali mpa ya Libya. Hii ilionyesha wazi wakati raia wa Watanzania wanaoishi nchini Qatar walipojaribu kuwaombea visa familiya zao walioko huko tanzania. Wananchi hao watanzania waliambiwa kua nchi yenu imezuiwa na haipewi visa. hii ni karibu ya miezi sita sasa toka nchi hio isimamishe viza hizo kwa tanzania lakini hakuna ishara au ufuatiliaji wowote ule uliochukuliwa na Serikali hio ya Tanzania kuweza kutatua tatizo hili.Qatar ni nchi ambayo uchumi wake unakuwa kwa kasi zaidi na nchi ambayo inahitaji wafanyakazi kutoka nchi mbalimbali duniani, Qatar tayari huko nyuma ilishakubaliana na Tanzania kuweza kuchukua wafanyakazi kutoka tanzania lakini kwa saga hili lililotokea inaonyesha Qatar itasimamisha kuchukua wafanyakazi kutoka huko na kuchukua wafanyakazi kutoka kenya na nchi nyengine dunini.

Mdau
Sahim Khatib
 
Siwapendi hao Qatar ni basi tu,siwapendi watu wanafiki!

If it was my call hata uhusiano nao ningeuvunjilia mbali!
 
hao Qatar/na serikali mpya ya libya wanacheji? kama tulio kuwa tunapata toka kwa Ghadaffi
 
Siwapendi hao Qatar ni basi tu,siwapendi watu wanafiki!

If it was my call hata uhusiano nao ningeuvunjilia mbali!
Nchi ya Qatar ni ghali hata kuishinda USA kuishi. Je tukiwaamrisha wasivae kanzu na hijabu watatufanyaje kwani?
 
Katika pitapita zangu mitaani kwenye mitandao ya habari nimekutana na habari hii. Je kuna ukweli au ni suala linalowahusu wachache?

Nchi ya Qatar imezuia visa kwa Watanzania,baada ya Serikali ya Tanzania kumsupport Muamar Gaddafi na Kutoitambua Serikali mpa ya Libya. Hii ilionyesha wazi wakati raia wa Watanzania wanaoishi nchini Qatar walipojaribu kuwaombea visa familiya zao walioko huko tanzania. Wananchi hao watanzania waliambiwa kua nchi yenu imezuiwa na haipewi visa. hii ni karibu ya miezi sita sasa toka nchi hio isimamishe viza hizo kwa tanzania lakini hakuna ishara au ufuatiliaji wowote ule uliochukuliwa na Serikali hio ya Tanzania kuweza kutatua tatizo hili.Qatar ni nchi ambayo uchumi wake unakuwa kwa kasi zaidi na nchi ambayo inahitaji wafanyakazi kutoka nchi mbalimbali duniani, Qatar tayari huko nyuma ilishakubaliana na Tanzania kuweza kuchukua wafanyakazi kutoka tanzania lakini kwa saga hili lililotokea inaonyesha Qatar itasimamisha kuchukua wafanyakazi kutoka huko na kuchukua wafanyakazi kutoka kenya na nchi nyengine dunini.

Mdau
Sahim Khatib

Taarifa hii haijakamilika. Nenda ukatafute vizuri sababu za ndugu zako kunyimwa viza. Kwanza unatakiwa kuweka wazi ni aina gani ya viza wameomba, je ni ya ukaazi na kufanya kazi au ya utalii. Haiingii akilini kwa Qatar kuzuia viza kwa watanzania kutokana na msimamo wa Serikali ya Tanzania kuhusu Libya au Ghaddafi. Haiwezekani zaidi kuwa Kenya yenyewe ikubaliwe. Kenya kama Tanzania haijaitambua NTC. Lakini, nenda mbali zaidi ujiulize, mbona Qatar Air inakuja Tanzania tena mara mbili kwa siku? Je, viza kwa wasafiri hao wanatoa wapi? Maana sisi wenzako ambao tumewahi kwenda Qatar tunafahamu fika kuwa viza zao hutolewa kupitia airline yao. Utaratibu huo hutumika pia na UAE. Na kwa vyovyote vile uamuzi huo ungefanyika lazima Serikali yetu ingejulishwa kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na tamko la aina hiyo lingemaanisha kuwa ni tamko la kuvunja uhusiano wa kidiplomasia.
 
Mr. Candid, nadhani ili litakuwa ni suala la wachache, maana hivi ninavoandika niko Qatar, binafsi nina zaidi ya mda ulotaja lakini pia kuna jamaa zangu watatu wamekuja hapa Qatar, mmoja ana miezi 3 na wawili wana wiki 2 na siku 4!!
Na wakati nashughulikia Visa zao sikuona wala kuhisi tatizo lolote!! Sihafiki unachokiongelea mkuu.
"MUNGU IBARIKI TANZANIA"
 
Back
Top Bottom