Nchi moja tena maskini lakini marais watano (5) ~ Tanzania!

Wewe mpumbavu kweli, hivi unataka rais adumu miaka 50 ndo uone kuwa tunaendelea? Watu wanapigania muhula uwe mmoja tu wewe unataka kutuletea upupu wako humu. Nyie ndo vibaraka mnaotaka kutumia kuiharibu katibat na kuleta machafuko.

Pumbavu mwenyewe!!!
 
Inabidi kwenye katiba ijayo turekebishe. Mfano mie sioni umuhimu wa makamu wa rais kabisaa hasa ukiwa na waziri mkuu.

Hapo tu ndo nakata tamaa na vyama vya kisiasa Tanzania. Ni mzigo sana kule wastaafu na familia za hawa makamu wa rais! Nchi moja makamu wa rais watatu! Wote wa nini?

Hii nchi viongozi wote mafisadi tu.
 
Hivi usipoelewa jambo lazima utukanne? Hoja ni kwamba kwa umaskini wetu si tungebana matumizi kwa kunguza idadi ya marais. Maana wote wana nyumba, magari, walinzi, mishahara,wasaidizi, nk. Kwa mtizamo wangu naona kama tunajimasikinisha zaidi na kupeana ulaji.
 
Kweli hii nchi inasikitisha kama sio kushangaza.Ila dawa ni kuwaondoa magamba madarakani. MKOLOSAI anastahili BAN pia ni vyema akapimwe AKILI
 
Wewe mpumbavu kweli, hivi unataka rais adumu miaka 50 ndo uone kuwa tunaendelea? Watu wanapigania muhula uwe mmoja tu wewe unataka kutuletea upupu wako humu. Nyie ndo vibaraka mnaotaka kutumiwa kuiharibu katiba na kuleta machafuko.

umekurupuka! Inaonyesha upeo wako ni mdogo sana, na unaakili za ki magamba. Mpumbavu ni wewe!
 
daaahh, huyu mkolosai nyani kweli, kasababisha mada haijachangiwa, tum-cuf kwenye chama chetu, hana haja ya kujitetea
 
daaahh, huyu mkolosai nyani kweli, kasababisha mada haijachangiwa, tum-cuf kwenye chama chetu, hana haja ya kujitetea

Huyu mkolasai katumwa kuja kuichakachua hii hoja ona sasa hoja inashindwa kujadiliwa
 
Wewe mpumbavu kweli, hivi unataka rais adumu miaka 50 ndo uone kuwa tunaendelea? Watu wanapigania muhula uwe mmoja tu wewe unataka kutuletea upupu wako humu. Nyie ndo vibaraka mnaotaka kutumia kuiharibu katibat na kuleta machafuko.

nafikiri hukumuelewa ana maana gani na hii imenifanya nikuone wewe kuwa si makini ndugu yangu. jitahidi kusoma na kuelewa maana ya vitu na si kumtukana mtu anaetoa mawazo yake kwa usahihi. maraisi watano kwa maana ya rais na makamu wake hapa bara then rais na makamu wawili zenji. plz!
 
Wewe mpumbavu kweli, hivi unataka rais adumu miaka 50 ndo uone kuwa tunaendelea? Watu wanapigania muhula uwe mmoja tu wewe unataka kutuletea upupu wako humu. Nyie ndo vibaraka mnaotaka kutumia kuiharibu katibat na kuleta machafuko.

Pole pole MKUUU...
 
kwa kweli hii made ni nzuri sana na ni eye opener kwa wengi wetu. tulikuwa hatujalifikiria hili swala kwa undani.
Hii ni kweli kabisa, there is dublication of responsibilities, bila sababu yoyote. Pia, vyeo vingi hapo ni vya kisiasa zaidi, hasa cha makamu wa Rais. Bila ya kuwa na muungano, choe cha Bilal kisingekuwepo.
 
Wewe mpumbavu kweli, hivi unataka rais adumu miaka 50 ndo uone kuwa tunaendelea? Watu wanapigania muhula uwe mmoja tu wewe unataka kutuletea upupu wako humu. Nyie ndo vibaraka mnaotaka kutumiwa kuiharibu katiba na kuleta machafuko.

Attitude is little thing that makes a big difference! Mkuu hapa umeendeshwa na masaburi kucoment!
Kama sio kweli futa kauli hii ili urejee kwenye hali yako ya siku zote otherwise umepoteza credibility maana kila mtu anayo haki ya kutoa maoni kwa mujibu wa serikali ya kichwa chake na hakuna anayetakiwa kuhodhi maoni ya mtu mwingine. Ilishawahi kusemwa na waziri mkuu wa uingereza Sir Winston Churchill miaka ya nyuma kuwa Courage is what ittakes to stand up and speak but is also what it takes to sit down andlisten.
Sir Winston Churchill

Hivi ndugu zangu kuwa na marais watano katika nchi maskini kama Tanzania ni kuongeza utawala bora ua ni kujiongezea umasikini. Zanzibar kuna marais 3 na muungano 2 je huu si mzigo kwetu. Katiba mpya itupe suluhu ktk hili.
Samahani ndugu mtoa hoja,hv umetumia kigezo gani kuwajumuisha ma-makamu wa rais katika urais?kimajukumu je ni kweli wanafanana?makamu wa rais so far naona kazi yake ni kutembea na mkasi wa kukatia utepe katika ufunguzi wa shughuli flani au majengo mbalimbali.Pia kama umewajumuisha basi sema ma-rais sita (6) muweke na Pinda maana makamu wa pili wa serikali ya mapinduzi ndiye waziri kiongozi au kwa serikali ya muungano ndiyo waziri mkuu.Hivyo sema sasa marais sita siyo wa 5.Kuna point ulitaka kuisema lakini hebu jipange upya utuletee hoja iliyokwenda shule zaidi!!
 
midomo ya uongo ni chukizo kwa bwana bali watendao uaminifu ndio furaha yake. mwanadamu mwenye busara husitiri maarifa bali moyo wa wapumbavu hutangaza upumbavu. mkono wa mwenye bidii utatawala bali mvivu atalipishwa kodi. mwecheni huyo mpumbavu abaki na upumbavu wake anaeita watu wapumbavubila kusoma mada
 
some people have a very long way to go before they can qualify to call themselves great thinkers
 
Back
Top Bottom