Mweh..Alipongezwa na nchi ya Visiwa vya Commoro tu maana alisaidia kumweka madarakani rais wake alipokuwa kwenye hatari ya kupinduliwa
Toka uchaguzi umepita na "rais" kupatikana, sijasikia salamu za pongezi kutoka kwa nchi rafiki kama ilivyozoeleka toka zamani, au vyombo vya habari Havitangazi