Nchi inazama Gavana anapanda pipa muda huu anaelekea wapi ?

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Wadau Gavana wetu nchi inazama na inflation yeye na JK wanapanda mapipa. Wana JF kuna nani hapo uwanjani aweze kutupa nyeti juu ya huyu jamaa anaenda kutumia wapi mapesa yetu ? Msaada wenu najua JF imetapakaa kila kona basi tujue akirudi shilingi yetu itakuwa juu au ni siasa tu ?
 
Ooooo.....wewe upo wapi now????
Gavana huyu isije ikawa anaondoka kama BALALI?????
 
Kutokuwa na umoja wa kuamua mambo kwa pamoja ndio utatufanya kuwa maskini milele na hata milele Tz let us be the unit 2kemee hawa mafisadi
 
Jamani bado niko mbali jamani ila nimepata habari hizi msafari mrefu umeingia airport eti anasindikizwa Gavana ana safari jamani .Ana enda wapi kuna mwenye kujua ? Hakuna JF hapo uwanjani ?
 
Aemeenda ku - sign, nafikiri tutaaminishwa ni mkutano.
Wacha tusubiri......... BOT had never been clean, muulize Mkono.
 
Aemeenda ku - sign, nafikiri tutaaminishwa ni mkutano.Wacha tusubiri......... BOT had never been clean, muulize Mkono.:......:.......................................kuna hii issue ya noti mpya tuiangalie sana leo miezi sita noti ya zamani bado inadunda tena iko bora zaidi,nimeona leo kova kadaka noti mpya feki lundo lakini yet no body to be accounted for!Waheshimiwa wabunge hasa chadema muiaddress hii kitu nchi moja noti mbili mbili, why?
 
Back
Top Bottom