Nchi inayumba wakati serikali iko likizo

Apr 3, 2012
28
7
Tulianza na watu kutekwa,vyombo vya habari vinavyotetea wananchi kunyanyaswa vikifungiwa,wananchi kuuawa kimnyama na then Malawi kuivimbia serikali yetu,yote hayo ni matukio ambayo serikali haikushtuka na sasa ni vikundi vya kihuni kuchoma nyumba za ibada lakini serikali yetu bado iko likizo na haijashtuka kuona hali si shwari bali wanaendelea kuwa mapumzikoni tu nchi za wenzetu
 
Unampigia mbuzi gitaa,wenzako wako Oman kupepesa macho huku wakiacha midomo wazi kushangaa wenzao walivyojenga vitu vyao wao mpaka leo IKULU aliyooacha mjerumani ndio wanalingia,wewe na mimi ndio tutaweza kuifanya nchi yetu irejeshe heshima yake
 
Kikwete na serikali yake na ccm ipo kwa ajili ya kudhibiti mwanahalisi, chadema, waandishi wa habari wanaosema ukweli, wanaharakati kama ulimboka...lkn uhalifu huu wa kiislamu kwao freshi kwa sababu wamepanda wao wenyewe na wamesubiri sana matunda yake....
 
Serikali imeishiwa mbinu za kutawala na pia ccm inakaribia expire date yake!.......hakuna anayewajibika
 
Back
Top Bottom