Nchi inamshinda JK - Heche (Mkiti wa BAVICHA)

Kwa kifupi, nchi yetu haina rais!

Nakumbuka nilipokuwa mdogo, Dingi na maza walipokuwa safarini, hapo home kila m1 wetu alikuwa bosi. Hakuna wakutoa amri maana haitafuatwa! Ndio ninavyoiona TZ ya sasa!

Hatuna raisi!

u a very right because his presence or absence neither makes sense to us as citizens cause if he can not speak at this crisis when wil he ever speak?does he know his responsibilities?he needs to speak and addres the emergency issues even shortly,

huyu mkuu wa kaya anafanya maamuzi taratibu huku akiwaachia watu wengine wafanye maamuzi magumu halafu walaumiwe na yeye awaruke ili aonekane hana kosa mfano mzuri ni ishu ya ngereja na dowans.

kwa hiyo wakuu kilichobaki akishamaliza kula raha anaeza kuja kujenga kijiji chetu cha ujamaa na woga usiokuwa na maana..

Ujumbe mzuri, ngoja niende nje ya mada kidogo. Huyu bwana anaishi kwa kaka yake pale mori hadi sasa hajaweza kupata nyumba ya kuishi. Vipi kiongozi mkubwa kama yeye aendelee kufugwa na kaka yake?
Nasikia wewe ni mke wa kaka yake kweli? na kama ni kweli ujinga wako ni mkubwa sana, nenda kanye ulale, tuache watu wenye akili tujadili mambo yanayohusu nchi yetu

Nchi imeshamshinda miaka mingi huyu (2007/2008) ndio maana hapa jamvini kulikuwa na mjadala mkali sana kama alistahili kupewa tena nafasi ya kugombea kama mgombea wa CCM. Nchini pia kulikuwa na mjadala mkali sana kuhusu hili ambalo lilisababisha Malecela atoe kauli kwamba CCM wana "utamaduni" wa kumuachia Rais toka chama chao amalize awamu zake mbili. Utamaduni ambao, kwa maoni yangu, hauitakii mema nchi yetu. Iweje mtu (kiongozi )avurunde kiasi hiki lakini bado aachiwe kuendelea kuwepo madarakani!? Huu ni upumbavu wa hali ya juu. Lazima Watanzania tuwe na utaratibu pale ambapo kuna ushahidi wa kutosha kuonyesha kushindwa kwa yule aliyekuwa madarakani kuongoza nchi yetu kumshinikiza ili aachie ngazi badala ya kumuacha aendelee kuwepo madarakani ili kutimiza utamaduni wa "kuachiana" ili mhusika amalize awamu zake mbili na wakati huo huo nchi ikienda mrama.

To be honest nchi inayumba mno na huwa tujifunze ktk hili kuwa hasa sisi tunaotafuta maisha tu ya kawaida. The way unavyotafuta pesa ndivyo utaishi na kutumia hizo pesa. Hata kama unasoma angalia usiwe ombaomba sana jikite kwa mtu anaekusomesha, hii maana yake ni kuwa jamaa wakati anaingia mahali patakatifu alitumia sana hela ambazo inawezekana nyingi zilikuwa sio safi.This tyme hao waliompatia pesa amewatosa this way wanamjeruhi coz wen u remember hata Pinda aliwahi sema kuna watu wakiwafuatilia nchi itayumba kiuchumi.Wtz sisi ni wanafiki na waoga huku mitaani kila m2 anaponda lakini wkt wa uchaguzi m2 akipewa bk 2 tu anachagua chama. Na ukisema habari za kuuponda utawala huu wanasema rais hapendwi coz of dini yake lakini matatizo haya yanatukumba wote. Huyo Heche ajue kuwa huu muda sio wa kutuambia jamaa nchi imemshina ishamshinda kitambo.Tatizo watu hawapigi kura na ndo walalamishi waliowengi.Na watu wanaoishi dar ndo wanafiki wakubwa coz wanaipenda mno ccm ndo maana hata majimbo mengi wanashinda ccm hapa mjini ilitakiwa pawe mfano kwa majimbo yote kwenda upinzani

Hakuna mkuu duniani na mbinguni ila ni mungu pekee ambaye amemteua Jakaya mrisho kikwete kuliongoza taifa letu hili lenye upendo, udugu, amani na mashirikiano. taifa ambalo lina demokrasia watanzania leo wapo huru kutoa maoni yao, kupinga, kukosoa serikali yao tofauti na huko nyuma watz ilikuwa ni dhambi kumsema Rais, au kumpinga, kukosoa. Nmshukuru mungu nimekuwepo katika tawala zote nne za nchi hii, mbali na utawala wa kwanza ambapo demokrasia ilikuwa hakuna kabisa,awamu ya pili mzee huyu atakumbukwa kwa kuasisi mfumo wa vyama vingi na alitoa ruhsa kwa kila mtu kufanya atakalo ilimradi usivunje sheria ya nchi. awamu ya tatu, huyu ameondoka na doa nadhani halitaweza kuondoka katika kumbukumbu ya kichwa chake, pale tu ulipomalizika uchaguzi wa mwaka 2000, alipiga marufuku ya mikutano ya kisiasa akitaka aachiwe atekeleze ilani ya chama chake, ndipo cuf walipoitisha maandamano ya kupinga uchaguzi wa znz na kauli ya Rais ya kuzuia shughuli za kisiasa, januarv 26 na 27/ 2001 na kuuliwa watu zaidi ya 75.awamu ya nne, lakini utawala huu umekuza demokrasia kwa kiasi kikubwa mno, watu wanasema Rais wetu ni legelege si legelege vunja sheria ndio utajua kuwa ni legelege au si legelege ndio maana viongozi wa dini walishushiwa ufunuo kuwa jakaya ni chaguo la mungu leo nimesadiki maneno yao kwa kuwa ni kiongozi mwenye hekima na busara japo kuna watu wanataka kuchafua sifa ya taifa letu hawataweza kwa taifa hili lipo mikononi mwa mungu. Tunamuombea dua mungu ampe afya na nguvu ili aweze kutekeleza majukumu yake ya kila siku

Sio mungu ni Mungu

Nasikia wewe ni mke wa kaka yake kweli? na kama ni kweli ujinga wako ni mkubwa sana, nenda kanye ulale, tuache watu wenye akili tujadili mambo yanayohusu nchi yetu
Hii haiondoi ukweli kuwa anapaswa ajitegemee. Huwezi kuwa kiongozi wa taasisi kubwa kama Bavicha alafu unakuwa kula kulala eboh?!

...kama sio juhudi zakoMkweere na mgawo ungetoka wapiiiiii?

...kama sio juhudi zako Mkweere na mafuta yangekwisha liniiii?

...kama sio michongo yako Mkweere na kina shimbo wangekua wapiiiiii?

...kama sio usanii wako Mkweere Ufisadi na gutter politicians wangekuwa wapiiiii?

...kama sio ulegelege wako Mkweere foleni kwenye petrol station zingetoka wapiiiii?

...kama sio usanii wako Mkweere na umaskini ungezidi vipiiiii?

...kama sio ujanja wako Mkweere shilingi ingeporomoka vipiiiiiiii?

...kama sio bora liende Mkweere serikali ingeyumbishwa vipiiiiiii?

...kama sio ushikaji wako Mkweere uchumi wetu ungeporomoka vipiiiii?

...kama sio kutokujali kwako Mkweere vidumu na magaloni mtaani vingetoka wapiiiiii?

Hakuna mkuu duniani na mbinguni ila ni mungu pekee ambaye amemteua Jakaya mrisho kikwete kuliongoza taifa letu hili lenye upendo, udugu, amani na mashirikiano. taifa ambalo lina demokrasia watanzania leo wapo huru kutoa maoni yao, kupinga, kukosoa serikali yao tofauti na huko nyuma watz ilikuwa ni dhambi kumsema Rais, au kumpinga, kukosoa. Nmshukuru mungu nimekuwepo katika tawala zote nne za nchi hii, mbali na utawala wa kwanza ambapo demokrasia ilikuwa hakuna kabisa,awamu ya pili mzee huyu atakumbukwa kwa kuasisi mfumo wa vyama vingi na alitoa ruhsa kwa kila mtu kufanya atakalo ilimradi usivunje sheria ya nchi. awamu ya tatu, huyu ameondoka na doa nadhani halitaweza kuondoka katika kumbukumbu ya kichwa chake, pale tu ulipomalizika uchaguzi wa mwaka 2000, alipiga marufuku ya mikutano ya kisiasa akitaka aachiwe atekeleze ilani ya chama chake, ndipo cuf walipoitisha maandamano ya kupinga uchaguzi wa znz na kauli ya Rais ya kuzuia shughuli za kisiasa, januarv 26 na 27/ 2001 na kuuliwa watu zaidi ya 75.awamu ya nne, lakini utawala huu umekuza demokrasia kwa kiasi kikubwa mno, watu wanasema Rais wetu ni legelege si legelege vunja sheria ndio utajua kuwa ni legelege au si legelege ndio maana viongozi wa dini walishushiwa ufunuo kuwa jakaya ni chaguo la mungu leo nimesadiki maneno yao kwa kuwa ni kiongozi mwenye hekima na busara japo kuna watu wanataka kuchafua sifa ya taifa letu hawataweza kwa taifa hili lipo mikononi mwa mungu. Tunamuombea dua mungu ampe afya na nguvu ili aweze kutekeleza majukumu yake ya kila siku

Daah! Mungu tuondole watu aina ya huyu bwana ili tusije shuhudia mauaji ya ndugu zetu nchi itakapochafuka kwasababu yao. Mungu akubariki mkuu

CDM msipokua makini umtaingia mkenge.

Huyu mshikaji anatafuta kufukuzwa CCM, ili aingie CDM kuisambaratisha.

Hiyo ni mbinu mkakati ambayo ni planned.

Ujumbe mzuri, ngoja niende nje ya mada kidogo. Huyu bwana anaishi kwa kaka yake pale mori hadi sasa hajaweza kupata nyumba ya kuishi. Vipi kiongozi mkubwa kama yeye aendelee kufugwa na kaka yake?

Kama huyo kaka yake ana nyumba nyingi hapo kwenye compound yake kwa nini akateseke na kodi huko wakati kuna nyumba ya bure. Hv mkuu umekosa kabisa pointi nyingine ya kuweka hapa au ndo tuseme akili imechoka kiasi cha kushindwa kupambanua ngano na pumba.

Ujumbe mzuri, ngoja niende nje ya mada kidogo. Huyu bwana anaishi kwa kaka yake pale mori hadi sasa hajaweza kupata nyumba ya kuishi. Vipi kiongozi mkubwa kama yeye aendelee kufugwa na kaka yake?

Henche ni fisadi na anae bisha hamjui huyu mtu ! anatumiwa na mafisadi

Nchi imeshamshinda miaka mingi huyu (2007/2008) ndio maana hapa jamvini kulikuwa na mjadala mkali sana kama alistahili kupewa tena nafasi ya kugombea kama mgombea wa CCM. Nchini pia kulikuwa na mjadala mkali sana kuhusu hili ambalo lilisababisha Malecela atoe kauli kwamba CCM wana "utamaduni" wa kumuachia Rais toka chama chao amalize awamu zake mbili. Utamaduni ambao, kwa maoni yangu, hauitakii mema nchi yetu. Iweje mtu (kiongozi )avurunde kiasi hiki lakini bado aachiwe kuendelea kuwepo madarakani!? Huu ni upumbavu wa hali ya juu. Lazima Watanzania tuwe na utaratibu pale ambapo kuna ushahidi wa kutosha kuonyesha kushindwa kwa yule aliyekuwa madarakani kuongoza nchi yetu kumshinikiza ili aachie ngazi badala ya kumuacha aendelee kuwepo madarakani ili kutimiza utamaduni wa "kuachiana" ili mhusika amalize awamu zake mbili na wakati huo huo nchi ikienda mrama.

Ww kweli mchicha mwiba, ushauri wa Malecela ndio unatuletea hapa? unamjua malecela vizuri ww ? uliza ma seneta watakuhabarisha

KIKWETE ni msanii wala si rais kama ni rais wa hili Taifa basi ni rais wa matapeli,wala rushwa,mafisadi,majambazi,na rais wa matajiri wakubwa waliobobea,na maskini wa chini sana wasiojua lolote mbele wala nyuma ambao wakipewa kanga,viremba,na chupi zilizoandikwa nembo za CCM HUWA WANAFURAHIA NA WAKIONA HUWO NDIYO UKOMBOZI WAO WA UMASKINI KUAGA.

kwa hiyo na ww kumbe ni jambazi, mla rushwa etc, asante kwa kutujuza

tatizo la umeme atasema yeye sio Meli wa EWURA wala muuza mafuta

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom