nchi imenichosha!

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
wana jf kwa kweli tangia nizaliwe sijapata shinda ndani ya wiki moja kama wiki hii. nilikumbwa na msukosuko wa mabomu nikakaa mbali na home kwa siku tatu. leo nimetoka nikaenda kituo cha mafuta wakaniwekea mafuta machafu gari yangu ninayoitegemea imekufa engine sijui nianzie wapi? kwa kweli nchi imefika pabaya
 
Je,ulipiga kura? Kama ndio ulimchagua nani katika uraisi? Katika ubunge? Na udiwani? Kama ulichagua kutoka CCM,then you deserve what you are suffering,na bado.

Ila kama hukuchagua kutoka CCM,pole sana mkuu. Jaribu kushawishi ndugu zako,rafiki zako na majirani zako kua saa ya ukombozi ni sasa,undoeni hofu(kufa na kupata majeraha/ulema ni kiungo katika mapambano ya ukombozi) na muwe na moyo wa uthubutu. Kisha muungane na waTZ wengine wenye uchungu na nchi katika maandamano ya kuutoa utawala huu dhalimu. Kwa pamoja kama raia tuungane,na si kusubiri vyama vya siasa vianzishe mapambano haya.
 
Back
Top Bottom