Nchi ilivyokuwa ngumu mpaka Mbwa washambulia mahindi mabichi shambani

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Mbwa wamevamia Kata ya Old Korogwe Wilayani hapa na kula mahindi mabichi na kuzusha hofu kwa wananchi kwamba huenda wakasababisha jaa.Mjumbe wa serikali ya Mtaa wa Old Korogwe, Kasimu Lupatu wamefanya uharibifu mkubwa baada kula mashina 936 ya mahindi kwenye shamba la mtu mmoja aliemtaja kwa jina moja la Musa. Mwenyekiti alisema hii hali hatuielewi, mbwa kula mahindi tunaona ni kitu cha ajabu wakati yakiwa shambani, wanashambulia mahindi mabichi kwa kuyaangusha na kuyala na hata mimi nilifuatwa kuwashuhudia, alisema Lupatu mjumbe wa mtaa wa Old Korogwe. Pia alifanya utafiti kwenye kwenye kijiji cha Mabatini walikuta kinyesi cha mbwa hao kikiwa ni mahindi na magunzi hivyo kujiridhisha kwamba wanakula mazao hayo.SOURCE: MWANANCHI JUN 18 2011
 
Hao wanaweza kuwa ni mbwa nyani kwn hapo panasifika kwa mambo (MANGULO) itaishi hapo hapo Korogwe.
 
Hii ya mbwa kuharibu mashamba ni Kali..hebu fanya upelelezi hao mbwa wanashambulia mashamba ya wanachama Wa chama gani, isije ikawa siasa ndani ya mambo ya ki na nihii ...basi jaribu kuomba msaada Wa mbunge wao ambaye ni Professor Wa ujuzi Wa mambo fulani...ila bahati mbaya antennae zinaweza zisishike vizuri kama mashamba yaliyoharibiwa na mbwa ni ya wana chadema Kwani yeye yuko upande mwingine..lakini bunge letu la safari hii limetimia Profession zote!
 
Isijekuwa ni watu Hali imekuwa mbaya kwao ya chakula kwakuwa ni wataalamu wa mambo wakajigeuza angalao (wapate riziki) simnajua tena king wao yupo madarakani lakini hawajali (MTAONAMENGI MPAK MAGAMBA YAISHE)
 
MAGAMBA ........ACHILIENI KWA AMANI MAMBO NIKWELI YAMEWASHINDA (ingawa mkuu bado anadanganywa ) nawalio mzunguka.
 
Si unajua "mbwa" huko Tanga anaweza kuwa kitu chochote kile pengine kuna mtu anavuna kwa kutumia ujuzi wake ala yanawezekana hayo
 
Back
Top Bottom