Nchi anaishikilia nani kwa sasa?

Kama hujui inaongozwa na nani waambie Wamalawi wachukue ziwa lote.
Uraisi ni taasisi sio mtu mmoja kama baba katika familia. Nchi sio familia.
Kuna Usalama wa Taifa, Kuna jaji mkuu, Kuna JWTZ.
Enyi watanzania msiwe na wasiwasi nchi yenu iko salama na viongozi wenu wako salama.
 
.... Viongozi wetu wanapenda sana per diem. Wanahudhuria hata mikutano ambayo wangeweza kuwatuma maofisa wa serikali. Na uzuri, hakuna wa kuwauliza wamepata nin ktk hiyo mikutano-ni kama wanaenda shopping tu!
 
Nani aliye kudanganya kwamba nchi hii ina kiongozi?

Kama hujui inaongozwa na nani waambie Wamalawi wachukue ziwa lote.
Uraisi ni taasisi sio mtu mmoja kama baba katika familia. Nchi sio familia.
Kuna Usalama wa Taifa, Kuna jaji mkuu, Kuna JWTZ.
Enyi watanzania msiwe na wasiwasi nchi yenu iko salama na viongozi wenu wako salama.
 
Ingekuwa Mali ni raha iliyoje kwa magenerali wa jeshi maana wanachukua nchi kiulaini bila tatizo.
Tuna mfumo mbaya sana wa kiuongozi maana kuwaacha viongozi wote kuwa nje ya nchi ni hatari sana.
 
Mambo!
JK yuko nje, Pinda yuko nje, Bilal naye yuko nje.
Hata baadhi ya mawaziri wako nje ya nchi, swali langu nani anaishikilia Tanzania kwa sasa?

Jaribu kupindua ndiyo utajua
 
Kama hujui inaongozwa na nani waambie Wamalawi wachukue ziwa lote.
Uraisi ni taasisi sio mtu mmoja kama baba katika familia. Nchi sio familia.
Kuna Usalama wa Taifa, Kuna jaji mkuu, Kuna JWTZ.
Enyi watanzania msiwe na wasiwasi nchi yenu iko salama na viongozi wenu wako salama.
hivi umeshajiuliza yule mama katudharau kiasi gani kwa kutangaza kujitoa kwenye mazungumzo??? Na inakuwaje hii imetokea baada ya kukutana na jk? We acha kutegemea siku zilizopita za nchi hii

Kamanda wa Jeshi la Tanzania ametangaza kuwa TZ inalinda mipaka yake sasa na Malawi walinde yao. Acha mchezo wewe na TZ umeenda lakini maeneno ya mbeya?
 
Yani mpaka sasa sijapata jibu nani anaiongoza tz
kiukweli hata mimi nahitaji kujua
kwa anayejua naomba anijuze
 
Back
Top Bottom