Nchi anaishikilia nani kwa sasa?

Mambo!
JK yuko nje, Pinda yuko nje, Bilal naye yuko nje.
Hata baadhi ya mawaziri wako nje ya nchi, swali langu nani anaishikilia Tanzania kwa sasa?

Hilo nalo swali mkuu?Kwan hujui cku zote nchi inaongozwa na RIZ?
 
Kama wote hawapo na nchi inasonga, kuna haja gani ya kuwa nao.!
 
Awepo rais asiwepo wala hakuna kinachoharibika maana ni kama tunajiendesha na kujiongoza wenyewe siku zote.
 
JF bwana!!
Kwa nini awe Madamu Supika? Je Mhe Dkt Mohammed Shein hawezi kuwa ndo ameshikilia husukani hapa?
 
Ukiona hauoni tofauti kati ya kuwepo au kutowepo kwa mtu, ujue hafanyi majukumu yake sawasawa.
 
Mapolisi ndo wameachiwa na wamepewa ruhusa ya kuua yeyote atakaeleta mchezo, najivunia kuwa mtanzania.
 
Mambo!
JK yuko nje, Pinda yuko nje, Bilal naye yuko nje.
Hata baadhi ya mawaziri wako nje ya nchi, swali langu nani anaishikilia Tanzania kwa sasa?

Jamani huyo mzee yuko wapi? mbona siku hizi simsikii kabisa?
 
Nchi imewekwa kwenye autopilocy ( no pilot inside) liwalo na liwe ni vihere here vyenu kuwachagua
 
Wawepo ama wasiwepo yote sawa tu. Mana hata wakiwepo hawafanyi chochote chema kwa watz, bora wakatembee waone aibu na wajifunze kwa wenzao kukoje...!! 2015??
 
Back
Top Bottom