Nchemba anatumiwa, CHADEMA na NCCR kuweni makini

Anajua hana lake Iramba 2015. Wapi jembe Dr. Mkumbo Kitila! CDM Wilimpi mayo?
 
Jamaa anawanyima usingizi, si mlikuwa mnajifanya nyie ndio waongeaji wazuri bungeni, sasa kapatikana saiz yenu. Naona topic za Nchemba zimejaa humu JF.
 
Uropokaji ule ni dalili ya kukosa hoja na kushindwa. Damu za watu waliowatendea unyama zinawarudia.
 
Mimi sijaona tofauti ya kufikiri kati ya nchemba na lusinde,nchemba hata elimu haijamkomboa anabwabwaja kama mtoto bungeni,nimeshaanza kunote watu wa kuwapeleka mahakamani 2016 mmojawapo ni nchemba, lusinde,ridhiwani na {zomba }natafuta id yake ya ukweli.[matumizi ya rangi ya mezingatiwa] wenye red wanapewa priority.
 
Anajua hana lake Iramba 2015. Wapi jembe Dr. Mkumbo Kitila! CDM Wilimpi mayo?
wee unaota ndoto wewe,, huyo Kitila wala hajulikani kule Iramba. Hta kama hatapata Mwigulu,, si Kitila wa kuwa mbunge kule kwa sasa,, ana kazi ngumu. Yapo majembe ya ukweli na yapo kimya tu kwa sasa.....kaulizie.
 
Mimi sijaona tofauti ya kufikiri kati ya nchemba na lusinde,nchemba hata elimu haijamkomboa anabwabwaja kama mtoto bungeni,nimeshaanza kunote watu wa kuwapeleka mahakamani 2016 mmojawapo ni nchemba, lusinde,ridhiwani na {zomba }natafuta id yake ya ukweli.[matumizi ya rangi ya mezingatiwa] wenye red wanapewa priority.
wanapobwabwaja Sugu,Lissu, Mnyika na wengine utasikia mnasema "MAJEMBE HAYO" sasa kapatikana wa kuwapeleka chugachuga mnalilia lia. Go Nchemba GO!!!!!!!
 
Jamaa anawanyima usingizi, si mlikuwa mnajifanya nyie ndio waongeaji wazuri bungeni, sasa kapatikana saiz yenu. Naona topic za Nchemba zimejaa humu JF.
Umeona eeeh? hawana hamu na NCHEMBA,, ZITAJAA TOPICS ZA nCHEMBA TU HUMU....WANAMPA UMAARUFU WAO WENYEWE HAHAHAH, teh teh teh!!! kwi kwi kwi!!!
 
Wakimwacha atajisifu... hoja zake za kitoto na kipumbavu lazima zizimwe papo hapo...
 
bora yeye alikubali kushindwa...kuna chama kimoja ambacho kinaamini haki imetendeka kinaposhinda chenyewe tu,, la sivyo maandamano, na hasira za kike....upuuuzi mtupu!!
 
yaani huyu kijana ni mdogo lakini mambo yake yanatia aibu,utadhani mzee ambaye amechoka kufikiri inasikitisha sana,sijui kama anajua anatuboa watz,lakini sishangai maana nasikia anatabia ya kiherehere toka akiwa shuleni,sasa sijui huko bot alikuwa akifanyaje kazi kwa stahili hiyo
 
Mkuu labda nikwambie tu kwa siku mbili tatu hapa jinsi nilivyoona anavyojadiliwa na wananchi wa kawaida kwenye daladala, vijiweni nk ni hakika hata wananchi wa kawaida wamemdharau sana na hasa ccm.
Siyo huko tu hata wasomi wamemchoka wenzake aliosoma nao wanamdharau,hivi wenzake aliosoma nao wanampango wa kwenda kumtoa jimboni maana wakati anataka kugombea aliwashirikisha halafu hivi sasa wanaona ni pumba tupu inawauma sana
 
Jamaa anawanyima usingizi, si mlikuwa mnajifanya nyie ndio waongeaji wazuri bungeni, sasa kapatikana saiz yenu. Naona topic za Nchemba zimejaa humu JF.
Hamnyimi mtu usingizi isipokuwa anaongea sana pumba halafu anatumia kodi zetu,wenzake wanaongea vitu venye maana kwa watz.utafikiri kachanganyikiwa,kama ndo wamemuweka basi wanajiaribia wakae chonjo 2015,sasa tumechoshwa na upuuzi wao
 
Jamaa anawanyima usingizi, si mlikuwa mnajifanya nyie ndio waongeaji wazuri bungeni, sasa kapatikana saiz yenu. Naona topic za Nchemba zimejaa humu JF.

unapotoka sana ndugu yetu. Kwa mtazamo wako anachoongea Nchemba bungeni kina manufaa kwako? Ni lini kazungumza hoja?
 
Back
Top Bottom