Nchemba amshika pabaya Mnyika (leo bungeni)

Mbona unatoa utetezi? Si ungeshauri Kikao cha Kamati Kuu cha CDM kikumbushane kutafuta ushahidi dhidi ya Nchemba na si vinginevyo? Namshauri Mnyika aje humu na aombe mwenye ushahidi ammwagie...hatakosa hakika!

Spell this backward ... sesnoN!!!
 
Niaonavyo mimi Kauli za wabunge wa CHADEMA zinazowapelekea kutakiwa kuthibitisha ni uchokonozi tu. Mnyika na wenzake watakaposhindwa kuthibitisha na kuadhibiwa watahoji ushahidi wa Lema kuhusu PINDA kulidanganya bunge.
 
Nilimwona Mwigullu pale STARTV Jumapili iliyopita akidai amemsamehe Mh Mnyika kwa kauli yake ile Bungeni. Kumbe ilikuwa geresha tu! Kinachonishangaza ni nguvu mpya za Mwigullu bungeni kwa sasa. Kazitoa wapi? Zinatokana na nini? Chaguzi ndogo mbili tu za Igunga na AruMeru Mashariki zimempa nguvu hii ya sasa?
 
Hivi Eng Stella Manyanya aliposema chadema wanahusika na mgomo wa MaDR kuna sehemu yeyote spika alitaka udhibitisho? kama aliuumba basi mjika nae apeleke wake!

muda huu wa saa sita na dkk 50 mbunge wa iramba mh. Nchemba amemshika pabay mh. Mnyika bungeni. Nchemba baada ya kuchangia ktk wizara ya maji, amemkumbusha mwenyekiti wa bunge mama mhagama kuwa leo ndiyo siku ya saba na ya mwisho ambazo mnyika alipewa kuthibitisha kuwa nchemba anahusika na wizi wa EPA. Mwenyekiti amemuomba asizungumzie suala hilo kwa kuwa linashughulikiwa na ofisi ya spika.

USHAURI WANGU KWA CHADEMA

Katika kikao cha kamati kuu ya chadema kinachoendelea, wanachadema wakumbushane kulinda kauli zao bungeni. bunge ni pahala patakatifu! siyo kijiweni. vile nchemba amekumbushia leo, inaelekea anaamii kuwa hahusiki. alijiunga na B.O.T baada ya kashfa ya EPA. na alikua ofisa wa chini. inaelekea suala hili litamkalia pabaya mnyika! tuache kuropoka!

Wakatabahu: wakuziba (mzee wa ukweli unaochoma)
 
hivi nyie mnamjua mnyika au mnamsikia? huwa anajua anachozungumza na anaamini katika usahihi wa anachosema ndo maana alidiriki kumwita kikwete DHAIFU...na imekuwa hivo hata sasa na milele kuwa kikwete ni DHAIFU...Mwigulu ni mwizi na alihusika kuiba pesa za EPA....
 
Chadema si chama makini kama wengi wetu tulivokuwa tukidhani hapo awali......

Umeona eeh!! Hawa jamaa nlikuwa nawaamini sana'ila sasa wamenitoka kbs yaani hawaeleweki kabisa'miluzi mingi humpoteza mbwa ndio CDM sasa wameshapoteana kabisa:ukweli wabongo tumechoka na CCM lakini chama mbadala bado hakipo'hawa wakishika nchi utaona watavyopeana vyeo zaidi ya CCM
 
Mheshimiwa LEMA alikumbushia mara ngapi kuhusu uthibitisho aliotoa kuhusu waziri mkuu ku......
 
Title na story mbona haviendani? Naona we ni mshabiki tu wa siasa za maji machafu, hauna fikra za kutosha za kufaa jamvini!
 
kuweni great thinkers! acheni ushabiki wa kipuuzi. hoja yangu ni kwamba kama nchemba alihusika sidhani kama angeweza kukumbushia leo ili akajiingize kwenye matatizo. angeomba moyoni suala hilo lisitajwe tena! kinacho nishanaza ni yeye kukumbushia akitaka mnyika alete ushahidi! inaonesha kwa haraka kuwa nchemba hajahusika. thats why nimesema kuwa mnyika kashikwa pabaya. tumieni akili kufikiri
 
Chadema si chama makini kama wengi wetu tulivokuwa tukidhani hapo awali......

Umefikia hilo hitimisho kivipi? Je, kuna madai yoyote yametolewa na CDM wakashindwa kuyathibitisha? Unaweza kuleta hapa jamvini hayo madai ili nasi tuungane na hoja yako ya CDM kukosa umakini?
Vinginevyo tukuchukulie tu kuwa u mshabiki wa siasa bila uchambuzi yakinifu au ni ukereketwa wako tu kwa chama kimoja na chuki zako tu kwa CHADEMA.
Shusha huo ushahidi basi.
 
Huyo MZINZI ni MWIZI pia na MNYIKA hana muda wa kuthibitisha kesi ya NGEDERE kwa TUMBIRI aende mahakamani au wafanye KANGAROO JUSTICE wamfukuze bungeni...NYAMBAF.
 
Nauliza hiviiii,jengo ndio takatifu au wabunge ndio watakatifu?
Tulisikia jairo akiwalambisha asali wabunge,kamati za bunge zikilamba asali ya rushwa...
 
muda huu wa saa sita na dkk 50 mbunge wa iramba mh. Nchemba amemshika pabay mh. Mnyika bungeni. Nchemba baada ya kuchangia ktk wizara ya maji, amemkumbusha mwenyekiti wa bunge mama mhagama kuwa leo ndiyo siku ya saba na ya mwisho ambazo mnyika alipewa kuthibitisha kuwa nchemba anahusika na wizi wa EPA. Mwenyekiti amemuomba asizungumzie suala hilo kwa kuwa linashughulikiwa na ofisi ya spika.

USHAURI WANGU KWA CHADEMA

Katika kikao cha kamati kuu ya chadema kinachoendelea, wanachadema wakumbushane kulinda kauli zao bungeni. bunge ni pahala patakatifu! siyo kijiweni. vile nchemba amekumbushia leo, inaelekea anaamii kuwa hahusiki. alijiunga na B.O.T baada ya kashfa ya EPA. na alikua ofisa wa chini. inaelekea suala hili litamkalia pabaya mnyika! tuache kuropoka!

Wakatabahu: wakuziba (mzee wa ukweli unaochoma)

umeharibu uliposema bungeni ni mahala patakatifu....panautakatifu gani ikiwa ndio sehemu ya kutetea mafisadi,kupigana vijembe,kupitisha bajeti mbovu,sheria kandamizi zote zimepitia pale,matusi na kejeli...,labda ungesema bungeni ni sehem ya kupiga porojo na kusaini posho.!!
 
Back
Top Bottom