Nchemba amshika pabaya Mnyika (leo bungeni)

muda huu wa saa sita na dkk 50 mbunge wa iramba mh. Nchemba amemshika pabay mh. Mnyika bungeni. Nchemba baada ya kuchangia ktk wizara ya maji, amemkumbusha mwenyekiti wa bunge mama mhagama kuwa leo ndiyo siku ya saba na ya mwisho ambazo mnyika alipewa kuthibitisha kuwa nchemba anahusika na wizi wa EPA. Mwenyekiti amemuomba asizungumzie suala hilo kwa kuwa linashughulikiwa na ofisi ya spika.

USHAURI WANGU KWA CHADEMA

Katika kikao cha kamati kuu ya chadema kinachoendelea, wanachadema wakumbushane kulinda kauli zao bungeni. bunge ni pahala patakatifu! siyo kijiweni. vile nchemba amekumbushia leo, inaelekea anaamii kuwa hahusiki. alijiunga na B.O.T baada ya kashfa ya EPA. na alikua ofisa wa chini. inaelekea suala hili litamkalia pabaya mnyika! tuache kuropoka!

Wakatabahu: wakuziba (mzee wa ukweli unaochoma)

Utakatifu wa Bunge ni nini? Mbona hata huyo Mwigulu huwa anatoa mapovu yake humo bungeni?
 
Yan nilitaka kuona hapo pabaya unapo pasema! Watu tumeangalia bunge vizuri sasa hapo pabaya unapo pasema sipaoni!

We hujui kuwa hakuna ushahidi unao wekwa wazi na bunge?

Wala usitegemee jipya ndugu! Kwani ule wa mzee wa liwalo na liwe ulisomwa?
 
Mbona unatoa utetezi? Si ungeshauri Kikao cha Kamati Kuu cha CDM kikumbushane kutafuta ushahidi dhidi ya Nchemba na si vinginevyo? Namshauri Mnyika aje humu na aombe mwenye ushahidi ammwagie...hatakosa hakika!

kamshika wap hapo sasa mnyika?unafikiri kwa ubongo au makalio wewe
 
muda huu wa saa sita na dkk 50 mbunge wa iramba mh. Nchemba amemshika pabay mh. Mnyika bungeni. Nchemba baada ya kuchangia ktk wizara ya maji, amemkumbusha mwenyekiti wa bunge mama mhagama kuwa leo ndiyo siku ya saba na ya mwisho ambazo mnyika alipewa kuthibitisha kuwa nchemba anahusika na wizi wa EPA. Mwenyekiti amemuomba asizungumzie suala hilo kwa kuwa linashughulikiwa na ofisi ya spika.

USHAURI WANGU KWA CHADEMA

Katika kikao cha kamati kuu ya chadema kinachoendelea, wanachadema wakumbushane kulinda kauli zao bungeni. bunge ni pahala patakatifu! siyo kijiweni. vile nchemba amekumbushia leo, inaelekea anaamii kuwa hahusiki. alijiunga na B.O.T baada ya kashfa ya EPA. na alikua ofisa wa chini. inaelekea suala hili litamkalia pabaya mnyika! tuache kuropoka!

Wakatabahu: wakuziba (mzee wa ukweli unaochoma)

huyo nchemba alishasema mangapi kuhusu viongozi wa cdm na hakuambia alete ushahidi? majuzi yule mkuu wa mkoa alisema cdm inahusika na mgomo wa madaktari alikua na ushahidi? acheni kua waonevu huko bungeni nyie ccm na spika wenu
 
ambazo mnyika alipewa kuthibitisha kuwa nchemba anahusika na wizi wa EPA.
Si kweli. Mnyika hajatajwa, hayo maneno umeongeza wewe!

Nchemba amesema anaomba kukumbusha kwamba leo siku saba zimefika kuhusu suala lililotolewa mwongozo. Mwisho.

Suala gani, na mwongozo gani, anajua yeye na wewe, lakini Mnyika hajatamkwa wala kushikwa pabaya. Umetoa taarifa ya uongo.

Re: Nchemba amshika pabaya mnyika leo bungeni
 
Utakatifu wa Bunge ni nini? Mbona hata huyo Mwigulu huwa anatoa mapovu yake humo bungeni?
Mleta mada anabwabwaja tu hakuna utakatifu mule..sehemu takatifu watu hawapangi njama za kuwanyonya watanzania maskini.
 
Sasa tukisema wewe ni mmoja wa wale waliopitiwa na huyu mzinifu utakataa kweli? Maana sijaona mahali alipomshika kubaya ila inaonyesha kama vile ukimwona mwigulu anaongea basi wewe hoi. Pole.
 
muda huu wa saa sita na dkk 50 mbunge wa iramba mh. Nchemba amemshika pabay mh. Mnyika bungeni. Nchemba baada ya kuchangia ktk wizara ya maji, amemkumbusha mwenyekiti wa bunge mama mhagama kuwa leo ndiyo siku ya saba na ya mwisho ambazo mnyika alipewa kuthibitisha kuwa nchemba anahusika na wizi wa EPA. Mwenyekiti amemuomba asizungumzie suala hilo kwa kuwa linashughulikiwa na ofisi ya spika.

USHAURI WANGU KWA CHADEMA

Katika kikao cha kamati kuu ya chadema kinachoendelea, wanachadema wakumbushane kulinda kauli zao bungeni. bunge ni pahala patakatifu! siyo kijiweni. vile nchemba amekumbushia leo, inaelekea anaamii kuwa hahusiki. alijiunga na B.O.T baada ya kashfa ya EPA. na alikua ofisa wa chini. inaelekea suala hili litamkalia pabaya mnyika! tuache kuropoka!

Wakatabahu: wakuziba (mzee wa ukweli unaochoma)

Unfortunately Mnyika ni mkristo hawezi kukupumulia kisogoni endelea kutafuta wa aina yako na ondoa ujinga hapa save our time na space kwenye jukwaa hili .
 
muda huu wa saa sita na dkk 50 mbunge wa iramba mh. Nchemba amemshika pabay mh. Mnyika bungeni. Nchemba baada ya kuchangia ktk wizara ya maji, amemkumbusha mwenyekiti wa bunge mama mhagama kuwa leo ndiyo siku ya saba na ya mwisho ambazo mnyika alipewa kuthibitisha kuwa nchemba anahusika na wizi wa EPA. Mwenyekiti amemuomba asizungumzie suala hilo kwa kuwa linashughulikiwa na ofisi ya spika.

USHAURI WANGU KWA CHADEMA

katika kikao cha kamati kuu ya chadema kinachoendelea, wanachadema wakumbushane kulinda kauli zao bungeni. bunge ni pahala patakatifu! siyo kijiweni. vile nchemba amekumbushia leo, inaelekea anaamii kuwa hahusiki. alijiunga na B.O.T baada ya kashfa ya EPA. na alikua ofisa wa chini. inaelekea suala hili litamkalia pabaya mnyika! tuache kuropoka!

wakatabahu: wakuziba (mzee wa ukweli unaochoma)

Wewe ni sawa na mwehu tu,hauna tofauti na huyo mzinzi mwenzenu Mchembe Mwigulu!.

Siku inaisha usiku wa 6.00 na siyo mchana. Kwa hiyo usifikiri kuwa kwa vile huyo Bwana Nchemba a.k.a.Mipasho kakumbushia huu mchana basi wewe unaona Mnyika keshashindwa na kashikwa pabaya! Wewe subiri ushahidi wa uhakika kutoka timu ya Wabunge makini wa CHADEMA. Labda nikukumbushe kuhusu LIST OF SHAME KUHUSU ILIVYOTOLEWA ILIKUWAJE.Kuna vigogo wengi walibwabwaja wakidai ni uongo na uzushi wa CDM lakini mwisho wa siku ukweli ulidhihirika na baadhi ya vigogo wa Chama na Serikali ya CCM wako rimande wakisota na kesi zikiunguruma!

Madai kuwa Nchemba wako alijiunga na BOT mwaka 2006 baada ya scandal ya EPA na kuwa alikuwa afisa mdogo si ya kweli. Kumbuka Ernest&Young walipoibua tuhuma hizi walisema wizi huo ulifanyika kati ya 2005/6. Hii ina maana hata Nchemba aliramba na alihusika na wizi huo. Hata kama alikuwa ni afisa wa cheo kidogo ujue kuwa kwenye wizi mkubwa wa kifisadi hata makarani wanao tayarisha na kuandika vocha na hundi huwa wanahusishwa kwenye wizi huo!

Kwa hiyo madai yako ni ya kipuuzi. Nina uhakika kama wataleta nakala za vocha na hundi zilizotumika kulipa hizo akaunti hewa za EPA nina uhakika JINA LA MWIGULU NCHEMBA LITAJITOKEZA KWA VYOVYOTE.

Naamimi CDM watawatumia hao hao wafanyakazi watiifu na waaminifu waliosaidia kupatikana kwa nyaraka zilizoibua swala la EPA kwa mara ya kwanza. Kamanda Mnyika tunakuaminia na utaleta data za uhakika na pengine ndiyo maana wana mpango wa kukuua ili wakuzibe mdomo.

Washindwe katika Jina la Bwana Yesu. Amen!

muda huu wa saa sita na dkk 50 mbunge wa iramba mh. Nchemba amemshika pabay mh. Mnyika bungeni. Nchemba baada ya kuchangia ktk wizara ya maji, amemkumbusha mwenyekiti wa bunge mama mhagama kuwa leo ndiyo siku ya saba na ya mwisho ambazo mnyika alipewa kuthibitisha kuwa nchemba anahusika na wizi wa EPA. Mwenyekiti amemuomba asizungumzie suala hilo kwa kuwa linashughulikiwa na ofisi ya spika.

USHAURI WANGU KWA CHADEMA

Katika kikao cha kamati kuu ya chadema kinachoendelea, wanachadema wakumbushane kulinda kauli zao bungeni. bunge ni pahala patakatifu! siyo kijiweni. vile nchemba amekumbushia leo, inaelekea anaamii kuwa hahusiki. alijiunga na B.O.T baada ya kashfa ya EPA. na alikua ofisa wa chini. inaelekea suala hili litamkalia pabaya mnyika! tuache kuropoka!

Wakatabahu: wakuziba (mzee wa ukweli unaochoma)

Kweli wewe ni Wakuziba,unavuja!
 
Leo alikuwa ameweka bastola upande wa kulia wa paja lake angalia vizur kweny tv, alikumbushia hivyo ili iwe tayar kumlipua bastola mtu
 
muda huu wa saa sita na dkk 50 mbunge wa iramba mh. Nchemba amemshika pabay mh. Mnyika bungeni. Nchemba baada ya kuchangia ktk wizara ya maji, amemkumbusha mwenyekiti wa bunge mama mhagama kuwa leo ndiyo siku ya saba na ya mwisho ambazo mnyika alipewa kuthibitisha kuwa nchemba anahusika na wizi wa EPA. Mwenyekiti amemuomba asizungumzie suala hilo kwa kuwa linashughulikiwa na ofisi ya spika.

USHAURI WANGU KWA CHADEMA

Katika kikao cha kamati kuu ya chadema kinachoendelea, wanachadema wakumbushane kulinda kauli zao bungeni. bunge ni pahala patakatifu! siyo kijiweni. vile nchemba amekumbushia leo, inaelekea anaamii kuwa hahusiki. alijiunga na B.O.T baada ya kashfa ya EPA. na alikua ofisa wa chini. inaelekea suala hili litamkalia pabaya mnyika! tuache kuropoka!

Wakatabahu: wakuziba (mzee wa ukweli unaochoma)

Sasando kamshika wapi babaya wewe
 
Imemkalia vibaya mnyika kama jamaa atakomaa ...........bila kutoa ushahidi itakula kwake
 
Kumbe ndio maana lema katolewa ubunge, wameogopa angekumbushia ushahidi wake dhidi ya pinda!
 
muda huu wa saa sita na dkk 50 mbunge wa iramba mh. Nchemba amemshika pabay mh. Mnyika bungeni. Nchemba baada ya kuchangia ktk wizara ya maji, amemkumbusha mwenyekiti wa bunge mama mhagama kuwa leo ndiyo siku ya saba na ya mwisho ambazo mnyika alipewa kuthibitisha kuwa nchemba anahusika na wizi wa EPA. Mwenyekiti amemuomba asizungumzie suala hilo kwa kuwa linashughulikiwa na ofisi ya spika.

USHAURI WANGU KWA CHADEMA

Katika kikao cha kamati kuu ya chadema kinachoendelea, wanachadema wakumbushane kulinda kauli zao bungeni. bunge ni pahala patakatifu! siyo kijiweni. vile nchemba amekumbushia leo, inaelekea anaamii kuwa hahusiki. alijiunga na B.O.T baada ya kashfa ya EPA. na alikua ofisa wa chini. inaelekea suala hili litamkalia pabaya mnyika! tuache kuropoka!

Wakatabahu: wakuziba (mzee wa ukweli unaochoma)
Chama Cha Mabwepande in action!
 
Back
Top Bottom