NCCR waingizwa mkenge na CHADEMA!!!

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
Baada ya makubaliano waliyokubaliana nccr na chadema kuwaomba waondoe kesi ya jimbo la kawe na kukubaliana kuwa watawashirikisha katika baraza kivuli la upinzani sasa NCCR wameachwa solemba ya masiku ya hivi karibuni kiongozi wa kambi ya upinzani kufanya mabadiliko lakini hakuwashirikisha wabunge wa NCCR.

Je, kitendo hicho kinachukuliwa kuwa ni ubinafsi wa chadema, kwa kuwa wachaga wanagwa vita kwa ubinafsi je chama hicho nacho kinalikumbatia hilo?
 
Weka makubaliano yao vinginevyo nijute kujibu umbeya wa mtaani ambao hautakuwa na tofauti na ile silly season part ii ya Muhindi iliyo chezwa na suleko.
 
Mkigoma: ujengapo hoja weka kiambatanishi zaidi ya hapo hamna kitu, bali zile zile beti tulizozoea kuzisikia chama cha ukabila,udini,ukanda,ukoo nk.Twasonga mbele hatuyumbishwi nanyi,kwani twajua upo,mnafanya nini na kwa sababu gani.
 
Unayajua vizuri hayo makubaliano au unaongelea ushabiki?ni kifungu gani cha makubaliano kilichovunjwa?
 
msitumie kichwa kufuga nywele kazi ya kichwa ni kufikiri na kuweka kumbukumbu mmeishasahau kuwa wameyaongea makubaliano yao na tumeyasikia kati ya slaa na sam ruhuza katibu mkuu wa NCCR. kweli vichwa vya panzi haviweki kumbukumbu.
 
hayo makubaliano yalikuwa baina ya nccr na ccm si cdm na yalikamilika kwa mkiti wao kupewa ubunge wa mezani. Hivi jana mbatia naye alitoka nje ya ukumbi wa bunge?
 
Kwa hiyo inaonekana jamaa hana kumbukumbu sahihi!ingekuwa vema tuonyeshwe hiyo memorundum of understanding ili tuweze kujadiliana kwa hoja badala ya ushabiki usiokuwa na tija!
 
Uongo mwingine bana unaweza tu kuzungumzwa kwenye vijiwe vya kahawa, makubaliano walifanya Dr Slaa na James Mbatia, Mbatia kama ninavyo mjua ni Mchaga, sasa kama Wachaga ni wabinafsi, iweje anawajibika kuteua baraza la mawaziri kivuri ambaye naye ni Mchaga amwache Mchaga mwenzie? hiyo Equation yako sio sahihi, nenda uka derive nyingine au peleka kijiweni au kule kwingine ambako huwa watu wanaona kinyume nyume!
 
Baada ya makubaliano waliyokubaliana nccr na chadema kuwaomba waondoe kesi ya jimbo la kawe na kukubaliana kuwa watawashirikisha katika baraza kivuli la upinzani sasa Nccr wameachwa solemba ya masiku ya hivi karibuni kiongozi wa kambi ya upinzani kufanya mabadiliko lakini hakuwashirikisha wabunge wa NCCR, je? kitendo hicho kinachukuliwa kuwa ni ubinafsi wa chadema, kwa kuwa wachaga wanagwa vita kwa ubinafsi je chama hicho nacho kinalikumbatia hilo?

JF sio kijiwe cha kahawa we mbwiga.
 
Hoja yako haina mashiko. Mimi nilifikiri umejenga hoja kuwa Bw Mbatia amewekwa kwenye baraza jipya la mawaziri kivuli kwa kuwa yeye ni mchagga pia, kama kweli unaamimi CDM ni cha Wachagga.
 
Awa cdm mim cwaelew kabisa manake wamewaacha cuf coz wapo serikalin z'bar aya nccr,tlp na udp mbn amuwapi uwazir kivuli?
 
Uongo mwingine bana unaweza tu kuzungumzwa kwenye vijiwe vya kahawa, makubaliano walifanya Dr Slaa na James Mbatia, Mbatia kama ninavyo mjua ni Mchaga, sasa kama Wachaga ni wabinafsi, iweje anawajibika kuteua baraza la mawaziri kivuri ambaye naye ni Mchaga amwache Mchaga mwenzie? hiyo Equation yako sio sahihi, nenda uka derive nyingine au peleka kijiweni au kule kwingine ambako huwa watu wanaona kinyume nyume!
Duh!this is a controversial statement,can you please paraphrase the same to make it clear!
 
msitumie kichwa kufuga nywele kazi ya kichwa ni kufikiri na kuweka kumbukumbu mmeishasahau kuwa wameyaongea makubaliano yao na tumeyasikia kati ya slaa na sam ruhuza katibu mkuu wa NCCR. kweli vichwa vya panzi haviweki kumbukumbu.

Heri kichwa cha panzi kisichoweka kumbu kumbu ambazo hazipo kuliko kichwa cha "mwenye akili" kama wewe na Werema anayerusha mipasho ya Taarabu bungeni badala ya sheria
 
baada ya makubaliano waliyokubaliana nccr na chadema kuwaomba waondoe kesi ya jimbo la kawe na kukubaliana kuwa watawashirikisha katika baraza kivuli la upinzani sasa nccr wameachwa solemba ya masiku ya hivi karibuni kiongozi wa kambi ya upinzani kufanya mabadiliko lakini hakuwashirikisha wabunge wa nccr, je? Kitendo hicho kinachukuliwa kuwa ni ubinafsi wa chadema, kwa kuwa wachaga wanagwa vita kwa ubinafsi je chama hicho nacho kinalikumbatia hilo?

nafikiri wewe unatumia kichwa chako kufugia m-ba badala ya kukitumia kufikiri
 
Baada ya makubaliano waliyokubaliana nccr na chadema kuwaomba waondoe kesi ya jimbo la kawe na kukubaliana kuwa watawashirikisha katika baraza kivuli la upinzani sasa Nccr wameachwa solemba ya masiku ya hivi karibuni kiongozi wa kambi ya upinzani kufanya mabadiliko lakini hakuwashirikisha wabunge wa NCCR, je? kitendo hicho kinachukuliwa kuwa ni ubinafsi wa chadema, kwa kuwa wachaga wanagwa vita kwa ubinafsi je chama hicho nacho kinalikumbatia hilo?

Zitto@work
 
Back
Top Bottom