Kwa hili natofautiana na Chadema na NCCR-Mageuzi, hapa wanatafuta umaarufu kwa bei chee, hivi mnafahamu kiasi wanachokigomea? posho ya kikao kwa taarifa yenu ni Tshs70,000 kwa siku, kwanini wasigomee Milioni90 za magari? Tusishabikie upuuzi NCCR sasa wanaonyesha hawana mwelekeo hiyo hoja ya Zitto ni ya kitoto sana, kama ana machungu na wananchi kwananini asigomee M90 au angechukua awapelekee. au tatizo liko wapi angepokea posho za vikao na angezipeleka kwa wananchi? Kwa wabunge wakomavu(wengi wapo CCM). Wanapokea hizo posho na wanawapelekea wananchi kimyakimya bila kujitangaza magazetini. Hata hivyo simlaumu sana zito nasikia kiumri bado ni kijana mdogo sana hivyo watu wazima tunawajibika kumshauri
hiv ni kwanini usijishangae wewe unaitetea hiyo sh 70,000 ya posho? Ni kweli ni kiasi kidogo lkn kwann nyie magamba hamtaki kukiachia pamoja na udogo wake?