NCCR nao wakataa posho za vikao Bungeni

kwa hili natofautiana na chadema na nccr-mageuzi, hapa wanatafuta umaarufu kwa bei chee, hivi mnafahamu kiasi wanachokigomea? Posho ya kikao kwa taarifa yenu ni tshs70,000 kwa siku, kwanini wasigomee milioni90 za magari? Tusishabikie upuuzi nccr sasa wanaonyesha hawana mwelekeo hiyo hoja ya zitto ni ya kitoto sana, kama ana machungu na wananchi kwananini asigomee m90 au angechukua awapelekee. Au tatizo liko wapi angepokea posho za vikao na angezipeleka kwa wananchi? Kwa wabunge wakomavu(wengi wapo ccm). wanapokea hizo posho na wanawapelekea wananchi kimyakimya bila kujitangaza magazetini. hata hivyo simlaumu sana zito nasikia kiumri bado ni kijana mdogo sana hivyo watu wazima tunawajibika kumshauri
mkuu hapo kwenye red iwaje wapokee kiuwazi halafu wapeleke kimnya kimnya kwani kuna agenda gani kupeleka kimnya kimnya mkuu!!halafu kumbe umesema ni mtu mzima mbona sasa unatumia makalio badala ya ubongo kufikiria??
 
Chadema ni kama caterpiller linachonga barabara then magari yanafuatia kupita.
 
Hauwezi kuikataa posho kisha ukaielekeza iende wapi! Inarudi kwa anayekulipa hiyo posho. Na kama posho hii ipo kisheria ni makosa. Posho ni hiyari ya anaekulipa. Akitaka anaiondoa hata bila kukuuliza. Nawaomba Wabunge wetu wakatae makubwa zaidi ya haya na yapo wanayajua.
 
Wewe jamaa bana!! But anyhow, vyovyote iwavyo, CCM jueni tu kuwa mshapigwa bao 2015!!
Sijakataa hilo, kinachotakiwa ni hoja ndugu yangu. hata wewe jichunguze hapa ni jukwaa la great thinkers kwa hii comment yako jipime kama unastahili kuwepo humu jamvini, maana hutoi hoja umekaa kishabiki zaidi
 
Acha kuchanganya mambo million 90 unazosema si posho bali ni mkopo ambao mbunge anakopeshwa nahuwa anakatwa kwenye mshahara wake na posho wanayokataa ni pesa ambayo mbunge analipwa kwa kazi ileile aliyotumwa na wananchi nakulipwa mshahara nandio Zitto ameikataa

Tatizo unachangia kitu usichojua, Katika M90, Milion45 ni mkopo na Milioni45 ni bure zitalipwa na Serikali, fanya uchunguzi usiwe shabiki nazungumza kitu ninachokifahamu.
 
Wacha kuwa mjinga Tshs.70,000 x 350 =24,500,000.00 haziwezi kuleta mabadiliko hata kwenye wizara ya afya? nadhani na wewe ni mmoja wa hayo magamba na ndio maana umekuwa kipofu na kiziwi. pole zako fisadi wewe.

Kama hoja ya zitto ni ya kitoto toa yako ya kikubwa tuione na tuisikie.

Maisha mapya naunga mkono hoja yako ya magari kwa wabunge .asante.

Delabuta; Nimepata shida kuielewa hoja yako ya kwanza hapo juu ila baada ya kusoma hizo zinazofuata nikaona ulikuwa unamjibu MwanaCCM ila uliacha alama ya kuuliza. Nimeiweka kwa red. Je ni sawa? Asante.
 
Kwa hili natofautiana na Chadema na NCCR-Mageuzi, hapa wanatafuta umaarufu kwa bei chee, hivi mnafahamu kiasi wanachokigomea? posho ya kikao kwa taarifa yenu ni Tshs70,000 kwa siku, kwanini wasigomee Milioni90 za magari? Tusishabikie upuuzi NCCR sasa wanaonyesha hawana mwelekeo hiyo hoja ya Zitto ni ya kitoto sana, kama ana machungu na wananchi kwananini asigomee M90 au angechukua awapelekee. au tatizo liko wapi angepokea posho za vikao na angezipeleka kwa wananchi? Kwa wabunge wakomavu(wengi wapo CCM). Wanapokea hizo posho na wanawapelekea wananchi kimyakimya bila kujitangaza magazetini. Hata hivyo simlaumu sana zito nasikia kiumri bado ni kijana mdogo sana hivyo watu wazima tunawajibika kumshauri
Kama Kaposho kenyewe ni kadogo kihivyo, mbona Mheshimiwa sana Chiligati anapiga kelele mpaka mishipa ya shingo zote inamsimama huku mate yakiruka mdomoni kuzitetea asiondolewe!

Mbona Wasira amedai kwamba zikiondolewa zitaondoa uwajibikaji kwa Wabunge wa CCM!

Wewe acha ujinga AMKA! Gamba wee!!
 
M90 ni mkopo 70,000 ni fedha riali.

Kwa akili yako unataka wananchi wachukue M90 ili serikali iwadai baadaye??

Mkopo ni mkopo.
Uikikopa shs10 utalipa shs10 ukikopa shs M90 utalipa Shs M90 + %.
Mkopo si zawadi au tuzo, mkopo ni deni.
Si jambo labole hata kidogo kuwabebesha mkopo wananchi.
Hizo M90 wanazopewa wabunge wanalipa zote mpka centi ya mwisho.

Hata hivyo kwa Tafsiri ya CCM mkopo wa serikali ni zawadi na kamwe si deni.

Kwa hili natofautiana na Chadema na NCCR-Mageuzi, hapa wanatafuta umaarufu kwa bei chee, hivi mnafahamu kiasi wanachokigomea? posho ya kikao kwa taarifa yenu ni Tshs70,000 kwa siku, kwanini wasigomee Milioni90 za magari? Tusishabikie upuuzi NCCR sasa wanaonyesha hawana mwelekeo hiyo hoja ya Zitto ni ya kitoto sana, kama ana machungu na wananchi kwananini asigomee M90 au angechukua awapelekee. au tatizo liko wapi angepokea posho za vikao na angezipeleka kwa wananchi? Kwa wabunge wakomavu(wengi wapo CCM). Wanapokea hizo posho na wanawapelekea wananchi kimyakimya bila kujitangaza magazetini. Hata hivyo simlaumu sana zito nasikia kiumri bado ni kijana mdogo sana hivyo watu wazima tunawajibika kumshauri
 
Wewe kweli kilaza. Kwa taarifa yako 70,000 X Idadi ya wabunge ni 357 =24,990,000 (sawa na Mil25) kwa siku. Hesabu hii haijumlishi idadi ya watumishi wa bunge ambao nao hulipwa posho pamoja na kuwa Dodoma ni mahali pao pa kazi.

Unazungumzia Mil 90 za magari: Kwanza tuweke mambo sawasawa. Kuwa na usafiri kunmwezesha mbunge kuweza kuwafikia wapiga kura wake kwa urahisi. Hata hivyo wabunge wa upinzani walishasema kuwa haiihitajiki kununua magari ya gharama (landcruiser VX). Ila kwa kiburi cha serikali yetu wameendelea kununua magari hayo. Ikiwa Zitto kawaelekeza walipe pesa za posho kweye account ya KDI wamekataa, unafikiri wangesemaje kuhusu magari? Naomba kurudia: Usafiri si anasa - unamsaidia mbunge kuwafikia wananchi. Hoja tunayopaswa kuzungumza ni magari ya aina gani kwa bei nafuu kiasi gani.

Nia ya Zitto Kabwe siyo mbaya, ninapomuona ni mtoto ni pale anapotaka pesa zake ziwekwe kwenye account ya KDI ndipo anakosea kwani kwani kwa kufanya hivyo analiongezea majukumu bunge, kwanini asichukue hiyo pesa na aipeleke yeye? unapomuomba mtu akusaidie kazi fulani tegemea yes or no maana hilo ni jukumu jipya kwa wahasibu wa bunge
 
Kwa hili natofautiana na Chadema na NCCR-Mageuzi, hapa wanatafuta umaarufu kwa bei chee, hivi mnafahamu kiasi wanachokigomea? posho ya kikao kwa taarifa yenu ni Tshs70,000 kwa siku, kwanini wasigomee Milioni90 za magari? Tusishabikie upuuzi NCCR sasa wanaonyesha hawana mwelekeo hiyo hoja ya Zitto ni ya kitoto sana, kama ana machungu na wananchi kwananini asigomee M90 au angechukua awapelekee. au tatizo liko wapi angepokea posho za vikao na angezipeleka kwa wananchi? Kwa wabunge wakomavu(wengi wapo CCM). Wanapokea hizo posho na wanawapelekea wananchi kimyakimya bila kujitangaza magazetini. Hata hivyo simlaumu sana zito nasikia kiumri bado ni kijana mdogo sana hivyo watu wazima tunawajibika kumshauri

Usitake kuchekesha watu asubuhi hii. CCM walivyowapenda sifa wapeleke hela kimya kimya kwa wenyenchi bila kusindikizwa na makamera na waandishi wa habari? Mimi mbunge wangu ni wa ccm mbona sijawahi muona akitugawia hizo hela?
 
mkuu hapo kwenye red iwaje wapokee kiuwazi halafu wapeleke kimnya kimnya kwani kuna agenda gani kupeleka kimnya kimnya mkuu!!halafu kumbe umesema ni mtu mzima mbona sasa unatumia makalio badala ya ubongo kufikiria??

Naomba uthibitishe kwamba mimi natumia makalio kufikiri, usipofanya hivyo na usipopigwa Ban naachana rasmi na JF.
 
Kwa hili natofautiana na Chadema na NCCR-Mageuzi, hapa wanatafuta umaarufu kwa bei chee, hivi mnafahamu kiasi wanachokigomea? posho ya kikao kwa taarifa yenu ni Tshs70,000 kwa siku, kwanini wasigomee Milioni90 za magari? Tusishabikie upuuzi NCCR sasa wanaonyesha hawana mwelekeo hiyo hoja ya Zitto ni ya kitoto sana, kama ana machungu na wananchi kwananini asigomee M90 au angechukua awapelekee. au tatizo liko wapi angepokea posho za vikao na angezipeleka kwa wananchi? Kwa wabunge wakomavu(wengi wapo CCM). Wanapokea hizo posho na wanawapelekea wananchi kimyakimya bila kujitangaza magazetini. Hata hivyo simlaumu sana zito nasikia kiumri bado ni kijana mdogo sana hivyo watu wazima tunawajibika kumshauri

We mjamaa kweli ni Mwana CCM!! kWELI HILI LINAHITAJI USOMI KUELEWA KUWA NI JAMBO JEMA?
Hebu imagine kuna wabunge 300, kila mmoja anapokea 70,000/= kama seating allowances kwa siku, na bunge linakaa kwa siku 10 tu!! Hesabu za haraka haraka zinaniambia kwamba ni shilingi za kitanzania 210,000,000/=
Kwa hesabu hiyo ndogo, imagine posho za vikao kwa miaka mitano zanafutwa.....Tutaokoa kiasi gani cha fedha kusaidia shughuli za maendeleo??

Naona gamba bado linakuelemea....
 
Wabunge wetu wagomee mambo ya maana yanayowaumiza waliowachagua sio hivyo viposho ambavyo vipo kikanuni tu. Kwa mfano wagome wenzao kuteuliwa kuwa mawaziri, wagomee ule mradi wa kujengewa nyumba zaidi ya 300 pale Dodoma, wagomee viti maalum vinavyoongezeka kwa kasi ya ajabu,.....
 
kwa hili natofautiana na chadema na nccr-mageuzi, hapa wanatafuta umaarufu kwa bei chee, hivi mnafahamu kiasi wanachokigomea? Posho ya kikao kwa taarifa yenu ni tshs70,000 kwa siku, kwanini wasigomee milioni90 za magari? Tusishabikie upuuzi nccr sasa wanaonyesha hawana mwelekeo hiyo hoja ya zitto ni ya kitoto sana, kama ana machungu na wananchi kwananini asigomee m90 au angechukua awapelekee. Au tatizo liko wapi angepokea posho za vikao na angezipeleka kwa wananchi? Kwa wabunge wakomavu(wengi wapo ccm). Wanapokea hizo posho na wanawapelekea wananchi kimyakimya bila kujitangaza magazetini. Hata hivyo simlaumu sana zito nasikia kiumri bado ni kijana mdogo sana hivyo watu wazima tunawajibika kumshauri
milioni 90 sio posho ni mkopo,wewe unaweza kuchukua mkopo benki halafu ukaenda kulipa mahali?matumizi ya mkopo ni juu yake matumizi sio kweli wabunge wa ccm wanapeleka fedha hizo kimyakimy je unajua kama kuna mfuko wa mbunb=ge wa jimbo na fedha wanazitoa huko?usitake kutuaminisha vitu ambavyo havipo,zitto atabaki kuwa juu kwa sababu ni kijana anayekwenda na fikra za vijana wa sasa sio unakubali tu bila kuchuja,uzembe wa serkali ya ccm ndio unampa zitoo umaarufu na msipokuwa makini hili nalo litawavuruga watarudi kwa tz kuwaambia mnaona posho wanavyojilipa mtapona hapo?badilikeni jamani mbona unachanganya mambo zinazokataliwa ni perdieum,je piga 70,000 mara wabunge 300 mara siku ambazo watakuwa dodoma unapata vitanda vingapi wodini,gloves ,mseto box ngapi zitto kafanya opportunity cost anataka hizo fedha ziwe spent otherwise,
 
Naomba uthibitishe kwamba mimi natumia makalio kufikiri, usipofanya hivyo na usipopigwa Ban naachana rasmi na JF.
Ah! Unataka kususa kwa hilo tu! Kwani katumwa na uongozi wa JF kukutukana? Hiyo ni mbinu ya wengi humu kutaka kukuondoa kwenye hoja unayoisimamia na hasa inapokuwa na ukweli unaoumiza.
 
naomba uthibitishe kwamba mimi natumia makalio kufikiri, usipofanya hivyo na usipopigwa ban naachana rasmi na jf.
hakika wewe mwanaccm hutumii kichwa mimi nadhani unatumia uti wa mgongo kufikiri ndio maana huwezi kuchambua vitu kwa kina upuuuzi kama huu peleka facebook hapa tunataka mijadala ya maana sana,unapokurupuka ndio utapata majibu kama haya,usihame jf ila sio lazima upost thread unaweza kubaki kuwa msomaji tu.
 
*Wabunge wake waandika barua nao wakatwe

*Chama cha NCCR-Mageuzi kimesema kuwa tayari kimeandaa barua ambazo kitaziwasilisha kwa waziri wa Fedha, Bw. Mustafa Mkulo kuelekeza posho za vikao kwa wabunge wanne wa chama hicho zipelekwe kwenye miradi ya maendeleo kwa mkoa wa Kigoma.

**Msimamo huo unaunga mkono hoja ya kambi rasmi ya upinzani bungeni inayoongozwa na Chadema ambayo tayari imeweka msimamo huo.

*Pia wanapendekeza posho zote zikatwe kodi ili kuongeza mapato ya ndani kwa ajiri ya miradi ya maendeleo.

Source: Majira Jumatatu juni 13 2011

hawana ujanja Mwenyekiti wao Zitto akisema wao wanafuata mara moja
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom