NBC Mastercard na vitu online

Fofader

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
860
293
Wakuu naomba msaada kwa anayejua. Je ni kweli NBC debit mastercard inaweza kutumiwa kununua vitu online, hususan apps za iphone?
 
kweli inawezekana wakuu mimi nanunua mara kwa mara hasa domain name na hosting so inawezekana hata kwa simu app. ila kwa vitu ambavyo unaweza vishika phyisical ni ishuuuuuuuuu....posta tz wanazingua sana.....japo wameanza kujirekebisha...juzi nimenunua spea za lcd tv kwa ebay jamaa kanitumia kwa standard air maill inatakiwa ifike ndani ya 4 to 5 working days cha ajabu hadi sasa hakijafika.bado nafatilia na jamaa anasema ameshatuma na tracking no ninayo.

so inawezekana mkuu kama ni malipo ya softwares na vingine ila sio vitu vya kushikika. sijui wengine mna experience gani
 
Naunga hoja ya Sharobalo,zaidi tujue na tukubali kuwa mfumo huu niwa kigeni hapa kwetu.Hivyo kama kuna ucheleweshaji/kuwahi vema tukaliweka akilini wakati unaingia ktk ulimwengu huu,tukumbuke miundo mbinu yetu siyo mizuri ktk kukabiliana na changamoto za mitandao kama hii.....tuvumilie,ipo siku!!
 
Nawezaje kupata hiyo NBC Mastercard? bila shaka ni lazima niwe na account fulani NBC, kuna masharti yoyote?
 
Mimi nimenunua app ya iphone kutoka App. Store.
Unapofungua account yako unahitajika kuset payment method ambayo inaweza kuwa kwa kutumia mastercard, visa n.k. Utakuwa prompted kuingiza card no. na security code. Kumbuka security code sio password yako ila inapatikana kwenye card yako.
Nawasilisha.
 
but napendekeza kununua account ya paypal kwanza kwa kutumia hizo master card zenu. Online kuna watu computrer kama wamezigundua wao wakijua tu account yako hata password yako hawana shida nayo wanakomba mahela yote. Pay pal ni nzuri zaidi unakuwa una credit kama vile vocha .unauziwa idadi ya vocha kwa dolla. So unapotaka kununua kitu unachagua nataka kulipia kwa paypal utaingiza paypal account yako watakata credt kulingana na kiasi ya bei ya kitu unachotaka kununua. www.payppal.com/tz
 
vipi kuhusu CRDB VISA CARD...kuna aliyejaribu?

Mimi ni mtumiaji wa hii card(CRDB VISA CARD) wa miezi kadhaa sasa. Unaweza kufanya manunuzi online bila zengwe,muhimu ni kwanza wasiliana na tawi lolote la CRDB, uombe wa activate hiyo card yako ya VISA iweze kufanya online purchases.
 
but napendekeza kununua account ya paypal kwanza kwa kutumia hizo master card zenu. Online kuna watu computrer kama wamezigundua wao wakijua tu account yako hata password yako hawana shida nayo wanakomba mahela yote. Pay pal ni nzuri zaidi unakuwa una credit kama vile vocha .unauziwa idadi ya vocha kwa dolla. So unapotaka kununua kitu unachagua
nataka kulipia kwa paypal utaingiza paypal account yako watakata credt kulingana na kiasi ya bei ya kitu unachotaka kununua. www.payppal.com/tz

exactly, there you are.
 
kweli inawezekana wakuu mimi nanunua mara kwa mara hasa domain name na hosting so inawezekana hata kwa simu app. ila kwa vitu ambavyo unaweza vishika phyisical ni ishuuuuuuuuu....posta tz wanazingua sana.....japo wameanza kujirekebisha...juzi nimenunua spea za lcd tv kwa ebay jamaa kanitumia kwa standard air maill inatakiwa ifike ndani ya 4 to 5 working days cha ajabu hadi sasa hakijafika.bado nafatilia na jamaa anasema ameshatuma na tracking no ninayo.

so inawezekana mkuu kama ni malipo ya softwares na vingine ila sio vitu vya kushikika. sijui wengine mna experience gani

Siku nyingine tuma kwa DHL, posta ni wezi sana...na hapa simung'unyi maneno, kitu chochote cha electronic na hata vitabu wanakwiba.
 
Jamani posta zetu mbona haziaminiki sasa? Tufanyeje? hatuwezi kuishi bila kupokea vifurushi lakini kama hawaaminiki tena what next?? bora kulivunja shirika na kuunda jingine.
 
Back
Top Bottom