NBC Hawatoi Bank Statement kwa sasa ni AIBU KUBWA Kwa Benki kubwa na Kongwe km hii

saggy

Senior Member
Nov 12, 2008
153
70
Hivi karibuni Banki ya NBC wameanza kutumia mfumo mpya wa Kompyuta/Software kwa lengo la kuboresha
Huduma zao kwa wateja...Heko wa hilo NBC!

KERO KWA WATEJA!![/B]

Kwanini hamtoi Bank Statement kwa muda toka muanze kutumia programu hiyo mpya bila kuomba msamaha
kwa usumbufu mnaowapatia wateja wenu?

Je hamjui kutofanya hivyo ni kuvunja mkataba kati yenu na wateja ambao unaonyesha wazi kwamba mteja
atakuwa na haki ya kupata taarifa ya Account yake/Bank statement kila atakapohitaji?Mtashitakiwa na wateja

Je wateja kama hawawezi kupata Staetement zao,tuna uhakika gani na Usalama wa Pesa za wateja?


SHIME!
NBC Bank kubwa na ya kuigwa mfano,igeni mfano wa Barclays Bank na NMB,Exim na Bank zingine kwa kuanzi
isha mfumo mpya wa kisasa wa ONLINE STATEMENT!

Nina Imani Mkurugenzi umeipata Hiyoooooooo ,ondoa AIBU HIYOOOOOOOOOOOOOOOOO

Mteja wenu mpendwa.
 
mh!!ABSA hawawezi kuchemsha kiasi hiki,yaani wanapitwa hata na NMB,ukiondoa folleni,NMB wana huduma nzuri zaidi,sms mobile banking,luku,and moblie phone credits all from my humble nokia110 ya tochi.

ndo maana account yangu ya NBC ina Tsh 30 elf,siongezi wala sipunguzi,only use it once every 3months
 
Ndugu unashangaa hiyo ya NBC mimi nilienda Barclays kutaka Bank Statement yangu eti wakanambia kila mwezi ni sh 5000 yaani kama unataka statement ya miezi 6 basi 30000 ikutoke nikajiuliza account yangu mwenyewe tena initese? Kesho yake nikaifunga kabisaaa sikutaka shida
 
Mbona Washafulia NBC, kale katwiga kamekua kalemavu siku nyingiiiiiiii, hahahhahhahhahhahhahahhahh badala ya kuboresha huduma wameziharibu, yote haya ni kutokana na ten percent kwa vigogo....
 
Back
Top Bottom