NBC customer service

MANGAZINE

Member
Oct 8, 2012
8
3
Vipi jamani waliofanya writen interview ya customer service erolink ya NBC wameitwa tena kwa oral???????
 
washaanza na kazi mwee pole mkuu

Hahahahaha Courtesy bwana wewe ni mkali, yaani wewe kila sehemu mtu anapoomba kupata update ya interview iwe oral au written wewe unamwambia kuwa washaanza kazi du hata kutia moyo ndugu yangu ina maana upo pande nne za dunia
 
Sasa kama wameshaanza kazi asimwambie hahaha haya bwana hawajaanza kazi subiri utaitwa eeeeh
 
Hahahahaha Courtesy bwana wewe ni mkali, yaani wewe kila sehemu mtu anapoomba kupata update ya interview iwe oral au written wewe unamwambia kuwa washaanza kazi du hata kutia moyo ndugu yangu ina maana upo pande nne za dunia

namzingua kijana hahaha!!let me tell you onething mkuu,jf wengine tunaingia kuburudika
so kama kila kitu mtu akikiongea una chukulia serious unaweza kufa kabla ya wakati
 
kuna mchizi namfahamu kamaliza training juzi na hao nbc,na hivi sasa kapangiwa branch mlimani city sijui
so brother keep on waiting watakuita next batch
 
Ukipata ajira hiyo boresheni huduma kwa sasa NBC huduma mbovu
 
Back
Top Bottom