NBAA wametoa matokeo ya mitihani wa mwezi May

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,191
103,715
Wakuu NBAA wametoa matokeo ya pepa nzito zilizofanyika May 2015. Ni suala la aibu kwa sasa ukiingia website ya NBAA unakutana na kituko web haifungiki ''Account Suspended''.

Jamii Forums ni kila kitu, niombe kuwa mwenye nayo atutupie humu ili twende sawa!

Matokeo ya mitihani ya national board of accountants and auditors (nbaa) iliyofanyika mwezi May yametoka rasmi.

80TH EXAMINATIONS RESULTS NOVEMBER 2014
GENERAL STATISTICS ANALYSIS OF EXAMINATION RESULTS
EXAMINATIONATEC IATEC IIFOUNDATIONINTERMEDIATEFINALTOTAL
NO.%NO.%NO.%NO.%NO.%NO.
ENTRIES1641001221004061003,5931002,1611006,446100
ABSENTEES53.032.54110.143011.91506.962910.5
CANDIDATES WHO SAT15997.011997.536589.93,16388.02,01193.15,81789.5
PART PASSED3522.04537.813436.790428.695347.42,07135.6
PASSED7949.73529.420355.671822.740520.11,44024.7
FAILURES4528.33932.8287.71,54148.765332.52,30639.6
TOTAL1591001191003651003,1631002,0111005,817100

View attachment 263400

View attachment 263401

View attachment 263402

View attachment 263403

View attachment 263404

View attachment 263406

View attachment 263407

Matokeo ya mitihani ya national board of accountants and auditors (nbaa) iliyofanyika mwezi May yametoka rasmi.

80TH EXAMINATIONS RESULTS NOVEMBER 2014
GENERAL STATISTICS ANALYSIS OF EXAMINATION RESULTS
EXAMINATIONATEC IATEC IIFOUNDATIONINTERMEDIATEFINALTOTAL
NO.%NO.%NO.%NO.%NO.%NO.
ENTRIES1641001221004061003,5931002,1611006,446100
ABSENTEES53.032.54110.143011.91506.962910.5
CANDIDATES WHO SAT15997.011997.536589.93,16388.02,01193.15,81789.5
PART PASSED3522.04537.813436.790428.695347.42,07135.6
PASSED7949.73529.420355.671822.740520.11,44024.7
FAILURES4528.33932.8287.71,54148.765332.52,30639.6
TOTAL1591001191003651003,1631002,0111005,817100

View attachment ATEC LIST NBAA.pdf

View attachment ATEC1 NBAA.pdf

View attachment ATEC11 NBAA.pdf

View attachment CPA LIST NBAA.pdf

View attachment FINAL NBAA.pdf

View attachment FOUNDATION NBAA.pdf

View attachment INTERMEDIATE NBAA.pdf
 
cpa mwaka huu nyingi sana, watu 600, sio mchezo

kichaa pekee ndiye anayeamini mwaaka huu zimetoka nyingi, kwani kichaa huwa haangalii idadi ya watu waliofanya mwaka huu kichaa pia anahisi sensa ya mwaka 2002 ndiyo inatumika kichaa pekee ndiye hajui tanzania ina watu zaidi ya million 45. Hivyo atasema wametoka wengi kwangu mimi hawajatoka wengi kama maoni ya vichaa
 
Upeo wako wa kufikiri ni mdogo sana. Unadhani kutukana ndo kunakuongezea hoja, na wasiwasi na kiwango chako cha elimu.Jenga hoja, sio kutukana hovyo.
 
Haha! Unataka attachments nini nitatuma! Nyau wew
 
kichaa pekee ndiye anayeamini mwaaka huu zimetoka nyingi, kwani kichaa huwa haangalii idadi ya watu waliofanya mwaka huu kichaa pia anahisi sensa ya mwaka 2002 ndiyo inatumika kichaa pekee ndiye hajui tanzania ina watu zaidi ya million 45. Hivyo atasema wametoka wengi kwangu mimi hawajatoka wengi kama maoni ya vichaa
Unachotukania ni nini hasa
 
Back
Top Bottom