NBAA result for May 2012 are out

Unatoa takwimu zinazoilinda kada hii ya uhasibu, We have ethics and Standards that need to be adhered to. Quality is the major goal. Heri wafaulu 1% kuliko 99% wenye elimu za kuunga unga vyuoni. HUYU NDO MSEMA KWELI.....

"Proud to be an Accountant"

kwa hiyo wwale waliofaulu kwa kubahatisha hawajumlishwi nini na chengine au bado kale kamchezo kao kakutaka wanahitimu 200 bado kapo nini..
poleni sana mnaotafutia cpa (t) makazini mtakufa bure..
 
Bro vitabu vipo, kuhusu Executorship kuna kitabu kinaitwa jina hilohilo EXECUTORSHIP kimechapishwa na ACCA kama huna muda wa kwenda pale hata mimi ninayo copy yake waweza nitafuta, Humu kuanzia page 1 hadi 168 ni concepts na mifano mifupi ya kutosha. After that ndo Q&A ambapo vijana wengi humeza majibu na akikuta hola tayari kaferi.....

Umeina enh. Combuka ACCA wanacommand the same level na NBAA, kwa nini wanafunzi wa NBAA watumie study guide za body ingine? kwa nini mnashindwa kutengeneza study guides zenu wenyewe kama na nyie hamcopy na kupaste? on top of that, executorship ni somo la kisheria zaidi, sasa kama the only source ni ya kutoka Uingereza hauni kama huo ni muendelezo wa kukopy na kupest kulikotapakaa kwenye kila nyanja ya maisha yetu, sintoshangaa ukiniambia kwamba hata taratibu na sheria za mirathi nchini zimekopiwa kutoka uingereza.

Je bado, umebakiwa na uhalali wa kuwasimanga wengine?
 
Hahahahaaaa seminar ni kila mtu anatakiwa so kutoenda kwa mwanafunzi ni jeuri dhidi ya elimu yake mwenyewe na ndo maana kuna watu hunyang'anywa CPA

Out of point, haujajibu swali uliloulizwa, achilia mbali kwamba kwenye post yangu sijatumia hata mara moja neno seminar, ila inaonekana umekalili kwamba professional development kwenye uhasibu inaishia kwenye ku accumulate CPE hours kwa kuattend seminars, naomba ujielekeze kwenye hoja yangu tafadhali.
 
Every accountant knows about the seminars conducted by or recomended by the board. Centres are approved as well, so kinachoendelea ni kwamba Wanafunzi hawahudhulii seminars. Pia NBAA inashauri kijana kusoma for 9months kabla ya kufanya pepa, leo hii wanasoma 3months na ndo maana wanaishia kukariri maswali. Wakusaidieje kijana?[/QUOTE]

Denying for the sake of the same won't do any good now may be a note of advise to candidates we might go on like this for the next 5 hours without any constructive mechanisms to candidates especially graduates who i suppose are in for the tier come Nov 2012.As a pro.accountant what would you appeal to candidates?
On an another note, haven't you thought of setting up your tuition centre so that you could groom the young ones or instructing/teaching minds has never been your way of life?
I for one can tell most pro.accountants are selfish in disseminating the know how in their field especially to junior accountants.
 
Wadau,
Najiandaa kujiunga Na chuo kimojawapo hapa Bongo kwa ajili ya November, ni chuo gani kiko reliable hapa bongo?

Watu wamezoea sana kwa Msasira, lakini naona kama nae anafundishia mazoea tu!!
 
Wadau,
Najiandaa kujiunga Na chuo kimojawapo hapa Bongo kwa ajili ya November, ni chuo gani kiko reliable hapa bongo?

Watu wamezoea sana kwa Msasira, lakini naona kama nae anafundishia mazoea tu!!
Nakushauri uende hapo mnazi mmoja kuna Jamaa anaitwa Edson, yuko safi sana, ila naona anaanza kuchuja sababu darasa linaanza kumzidia, wanaenda wanafunzi weeeeengi sana, i belive ufanisi unapungua kwa sababu hii pekee
 
Ahaa,
Thanks kaka, natia timu leoleo
 
Vijana someni mtaipata tu..punguzeni longolongo na kutishana..na ukiipata unamshukuru Mungu na kuiona ya kawaida 2.
 
Naomba umshauri huyo mtu atafute kozi nyingine kwani hiyo ya uhasibu haiwezi!!! Inaonekana anataka kulazimisha fani kitu ambacho si kizuri kwake na taifa kwa ujumla!! Hujasikia habar za kuanguka kwa majengo yanayojengwa na mainjinia feki????!!!! Mambo kama hayo ya kulazimisha fani ndio yatasababisha wahasibu feki!!!

Baba mtu acha kubisha kama mtu ambaye siyo muelewa mimi nadhani NBAA wana matatizo makubwa katika mfumo wao mzima wa mitihani na hata usahihishaji.Mbona watu wa fani za Udaktari, Uhandisi, Sheria sioni wakilalamika kama walivyo watu wa accounts.Pia mfumo wa kutunga mitihani ni kama sekondari yaani anayetunga mtihani humfahamu lakini mbona vijana wanapata hata Div. 1 ya 3 points.Lakini ukiona performance report ya NBAA inasikitisha hata hao waliopata hiyo CPA ni kama wamebahatisha na ndio maana almost 99% walipata pass yaani C.Kama huamini zaidi fanya utafiti utaamini ninachokuambia angalia kuanzia sylabus zao na jinsi wanavyotunga mitihani na hata usahihishaji wao utakubali nini ninachokuambia.
 
Wanafunzi 1,800 ‘washikwa miguu’ NBAA Send to a friend
Thursday, 05 July 2012 20:22
0digg

Hadija Jumanne
WATAHINIWA 1,845 kati ya watahiniwa 3,857 waliofanya mitihani ya Uhasibi na Ukaguzi wa Hesabu nchini(NBAA) Mei mwaka huu, watarudia mtihani huo baada ya kufanya vibaya katika mtihani huo.Watahiniwa 797 sawa na asilimia 31 ndio waliofaulu mitihani hiyo huku watahiniwa 1,845 sawa na asilimia 47 wanatarajia kurudia mitihani hiyo baada ya kufeli.

Akitoa taarifa hiyo juzi jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa bodi hiyo, Pius Maneno alisema watahiniwa 797 sawa na asilimia 31 ndio waliofaulu katika mitihani ya Uhasibu na Ukaguzi wa mahesabu kwa mwaka huu.

“Watahiniwa 797 sawa na asilimia 31 wamefaulu mtihani wa uhasibu na ukaguzi wa hesabu huku watahiniwa 1,215 watarudia mtihani huo na wengine 1,845 sawa na asilimia 47 hawakufanya mtihani, ”alisema.
Maneno alisema matokeo ya mitihani hiyo yalitangazwa baada ya kukaa kikao cha 155 cha wakurugenzi wa bodi hiyo.

Pia watahiniwa 259 wamefaulu mitihani ya shahada ya juu ya Uhasibu nchini yaani CPA na idadi hiyo inafanya wahitimu waliofaulu mitihani ya CPA kufikia 4,135 tangu mitihani hiyo ianzishwe mwaka 1975.

Maneno alisema katika ngazi ya uandishi na utunzaji wa hesabu( ATEC 11) watahiniwa 35 kati ya 127 walifaulu mtihani huo huku watahiniwa 57 wakitarajia kurudia mtihani huo.

Mkurugenzi huyo aliongeza kuwa katika ngazi ya awali ya mitihani ya uandishi na utunzaji wa hesabu (ATEC 1), watahiniwa 37 kati ya 110 walifauli mitihani hiyo sawa na asilimia 33.

Vile vile katika ngazi ya Module E watahiniwa 319 kati ya 2161 walifaulu mtihani huo huku katika ngazi ya mwisho watahiniwa 258 kati ya 1026 sawa na asilimia 25 ndio wamefaulu mtihani huo.

Sanjari na matokeo hayo pia bodi hiyo ipo katika mchakato wa kubadilisha mitalaa ya masomo ambapo mitalaa mipya itaanza Novemba mwakani na hatua hiyo inalenga kuboresha mfumo wa masomo.

Vile vile bodi hiyo imepanga Novemba 6 hadi 9, mwaka huu watahiniwa wote waliofanya vibaya katika mitihani yao kurudia na matokeo yatawekwa katika tovuti ya bodi .

CHANZO: http://www.mwananchi.co.tz/habari/4-habari-za-kitaifa/24530-wanafunzi-1800-washikwa-miguu-nbaa
 
.......Ni kweli mitihani yote ya NBAA ni migumu sana ila ukiweka nia basi miaka michache ijayo utafanikiwa kufika kileleni na kuwa CPA (T)...Kila la heri kwa wote ambao mnanuia kufanya mitihani hiyo November mwaka huu na May, 2013.

Amin, rabbil laalamin! Inshallah Mola aikubali dua yako njema.

Nakushauri uende hapo mnazi mmoja kuna Jamaa anaitwa Edson, yuko safi sana, ila naona anaanza kuchuja sababu darasa linaanza kumzidia, wanaenda wanafunzi weeeeengi sana, i belive ufanisi unapungua kwa sababu hii pekee

Kaka sasa haiwezi kua kupungua huko ufanisi kunafanya nae awe ndio wale wale tu??
 
Kaka sasa haiwezi kua kupungua huko ufanisi kunafanya nae awe ndio wale wale tu??

Mkuu ufanisi unapungua kwa maana ya kwamba kiwango au idadi ya wanafunzi wanaoelewa wakati anafundisha inapungua kila idadi ya wanafunzi wanapoongezeka. Kama unazielewa micro economic theories vizuri utakuwa unanielewa vizuri lakini yeye mwenyewe anaendelea kuwa vizuri zaidi.
 
Ok, kama wamjua personally waweza kutoa mobile namba zake watu wamuendee hewani kujua mambo mbalimbali,
kumfungia safari mpaka mnazi mmoja na foleni hizi za dar yaweza kua worthless.

meanwhile mnazi mmoja kubwa kaka, kwa atakaetaka kwenda pale, labda pia kumsaidia sir. burn na wengineo ni jengo gani?
 
Mnazi Mmoja shule ya msingi Opposite na makao makuu ya Chama cha Magamba
Contacts
Edson Leonce
Computer Science, CPA (T), PGDTM, CPB (T)
0713 437 660

Stanley
Bcom, CPA (T), MBA
0713400419
 
Mnazi Mmoja shule ya msingi Opposite na makao makuu ya Chama cha Magamba
Contacts
Edson Leonce
Computer Science, CPA (T), PGDTM, CPB (T)
0713 437 660

Stanley
Bcom, CPA (T), MBA
0713400419

Duh,
Kumbe karibu Na hapo, ntatafuta pengine bwana.
Mi Na hilo jengo mbalimbali mkuu,
Au kuna njia ya kuzungukia upande wa pili wa Barabara ya Bibi Titi???
 
Duh,
Kumbe karibu Na hapo, ntatafuta pengine bwana.
Mi Na hilo jengo mbalimbali mkuu,
Au kuna njia ya kuzungukia upande wa pili wa Barabara ya Bibi Titi???
Usiogope magamba yenyewe unafikiri yanaonekana mchana, ukifika pale unaweza ukadhani ni nyumba ambayo hairuhusiwi watu kuitumia sababu kuna shauri la madai linaendelea mahakamani.Papwekeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom