Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,604
Nimeikuta hii pahala, inatoka kwa shabiki Trail Blazers;
"I dislike the Warriors for so many reasons but you can not hate on their chemistry and the way they play ball. So amazing!"
Bado naendelea kumtafuta mtu aniambie kwa nini hasa haipendi hii timu! Huyo hapo juu anasema tu haipendi kwa sababu nyingi tu ingawa hazitaji. Naomba msaada...
Nzi, Raimundo karibuni.
Mimi siipendi GSW kwa sababu inashinda mara kwa mara, so kufungwa kwao hata mara moja mi nafurahi tu.
Kama nilivyokuwa siipendi Man U ya mwaka 1998/1999, Barcelona, Arsenal ya kina Thiery Henry; kuna thrilling feeling naipata pale timu ngumu kufungwa inapofungwa na nakuwa nawapa credits underdogs wanaosumbua wakubwa.
Imagine washabiki wa ligi ya EPL walivyofurahi Leicester kuchukua ubingwa, basi hiyo ndo sababu kuu, ila hasa hasa inasababishwa na washabiki wa timu husika kujigamba sana.