NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Curry is going to be one of the great shooters iff he continues with this pace for at-least 3 to 4 seasons.
He is definitely the best shooter ever to appear on the face of the Earth. ..And I am talking about now including the past shooters..you name it..
Hivi unajua Larry Bird was ranked 3rd all time best shooters..yet he had only less than 450 3-pointers in his entire career.? .
It's not only about the volume....the level of difficulty,time taken(clutch),Rate,efficiency and how you create them come into effect. ..
 
ALL TIME 3PT LEADERS IN A SINGLE SEASON
1. Stephen Curry 286 2014-15 GSW
2. Stephen Curry 272 2012-13 GSW
3. Ray Allen 269 2005-06 SEA
4. Dennis Scott 267 1995-96 ORL
5. Stephen Curry 261 2013-14 GSW
6. George McCloud 257 1995-96 DAL
7. Jason Richardson 243 2007-08 CHA
8. Peja Stojakovic 240 2003-04 SAC
9. Klay Thompson 239 2014-15 GSW
10. Stephen Curry 232 2015-16 GSW (35 games to go)

DEAR HATERS:LEARN TO APPRECIATE WHAT YOU HAVE,BEFORE TIME MAKES YOU APPRECIATE WHAT YOU HAD
Mzeeiya, hakuna ubishi kwamba Shitsu ni 3 pointer wa kipekee, na takwimu zinamwonyesha hivyo. Sasa, aendelee kufanya hivyo consistently. Na baada ya kustaafu, bila shaka atajulikana kama GOAT katika 3 point shooting.

Tatizo langu ni washabiki wengi wa Curry ni kumgeneralise kama GOAT katika basketball. Hiki ndicho tunachotofautiana. 3 point shooting ni sehemu tu ya basketball. Na kama unavyofahamu, GOAT wengi ni all rounders: better offensively na defensively, na siyo tu katika eneo fulani la mchezo.

Kama ninavyosemaga humu, of course ni maoni yangu, na wala siyo authoritative, consistency ndiyo u-determine GOAT. Na hivyo ndivyo Curry anapaswa kufanya. Bado ana misimu zaidi ya mitano kucheza. Na akicheza katika kiwango hiki cha sasa mpaka anakaribia kustaafu, hakuna shaka anaweza kuingia hata kwenye top 20 ya GOAT.
 
Curry is never among the greatest ALL AROUND players...But he is among the greatest to ever play..he has revolutionized the game his own way..Just like the way MJ,Magic..wilt Lbj etc did their way..Never before witnessed. .
Though different sports..Messi is among the greatest footballers to ever live..yet he play zero defense(very little)..furthermore. .he has never won a World Cup..But what makes him great is his unique impact never seen before.
.The same case applies to Curry..
 
Curry is never among the greatest ALL AROUND players...But he is among the greatest to ever play..he has revolutionized the game in his on way..Just like the way MJ,Magic..wilt Lbj etc did their way..Never before witnessed. .
Though different sports..Messi is among the greatest footballers to ever lived..yet he play zero defence(very little)..furthermore. .he has never won a World Cup..But what makes him great is his unique impact never seen before.
.The same case applies to Curry..
He will be among the greatest to ever play if he does what is doing now consistently. Sijui kwanini hutaki kuona hoja ya consistency! Kabla yake, Ray Allen alikuwa anachukuliwa kama the best shooter. Walikuwepo akina Iverson na jinsi walivyo-change basketball (kwa kuwa na kwa kwa kucheza street-like ball handling katika games, and of course hata off court kwa kubadili uvaaji wa wachezaji). Na kabla ya Ray kulikuwa na best shooters pia. Ina maana, best shooters come and go. Yes, kwa sasa Curry ni the best shooter. Kuwa the greatest, he needs to prove it consistently, and not just out of the 2 seasons.

Kuna debate ya namna ati basketball inavyokuwa soft siku hizi kutokana na mabadiliko ya sheria za fouls n.k. Ati kunapelekea wachezaji kuwa na nafasi sana ya kushoot n.k. Hata wachezaji kama Mourning, Mutombo, Ewing n.k. hawapo tena. Na hata wakitokea kwa sheria za sasa, hawatoweza kukaba kama walivyofanya hao wajomba. Na kama unafuatilia mwenendo ya basketball siku hizi, 'mabig' ni kama hawapo au hawana nafasi tena. Basketball inabadilika sana sasa. Huu ni mtazamo tu lakini.

Again, linapokuja suala la impact, mazee hapa pia nina shida kidogo. Kama ninavyoulizaga humu: hiyo impact yake kwenye timu ilikuwa nini kabla ya msimu wa mwaka jana na mwaka huu? Siyo kwamba ameanza ligi mwaka jana, alikuwepo na he isn't a rookie! He has been in the league for 7 seasons. Sasa hata ukimlinganisha na Messi, naona unamkosea heshima Messi. Messi anafanya wonders since he was a kid! Dunia nzima ilijua kuna mtoto anaitwa Messi atakuja kuwa balaa. And he is proving that; most inportantly, he is doing big consistently. Yes, Curry will go down as one of the greatest, if he does it consistently.

Mfano wako wa soccer na basketball naona kama siyo sawa. Kwanza ukiangalia tu ukubwa wa eneo la kuchezea katika michezo hiyo na idadi ya wachezaji, utaona ni namna gani ilivyo ngumu kuwa all rounder kwenye soccer. Kuna playing positions nyingi kwenye soka kunakopelekea ugumu wa wachezaji kuwepo kwenye positions nyingi wakati wa mchezo. Kwenye basketball ni rahisi sana kuwa all rounder kama utajijenga kuwa hivyo, of course bila kusahau kama una physique na talent pia.
 
He will be among the greatest to ever play if he does what is doing now consistently. Sijui kwanini hutaki kuona hoja ya consistency!
he ''IS'' among the greatest to ever play,however,that does not make him the GOAT,or No.1,2,3,etc(n/b..''Among)
Year Team GP GS MPG FG% 3P% FT% RPG APG SPG BPG PPG
2009–10 Golden State 80 77 36.2 .462 .437 .885 4.5 5.9 1.9 .2 17.5
2010–11 Golden State 74 74 33.6 .480 .442 .934 3.9 5.8 1.5 .3 18.6
2011–12 Golden State 26 23 28.2 .490 .455 .809 3.4 5.3 1.5 .3 14.7
2012–13 Golden State 78 78 38.2 .451 .453 .900 4.0 6.9 1.6 .2 22.9
2013–14 Golden State 78 78 36.5 .471 .424 .885 4.3 8.5 1.6 .2 24.0
2014–15Golden State 80 80 32.7 .487 .443 .914 4.3 7.7 2.0 .2 23.8
Career 416 410 35.0 .471 .440 .900 4.1 6.9 1.7 .2 20.9
All-Star 2 2 27.0 .333 .238 1.000 6.0 8.0 1.0 .0 13.5
naomba uniambie ,amecheza 7 seasons so far,,,based on above stats huoni hoja ya ''consistency''?..really?..Infact he has been improving in almost every statistical category

Kabla yake, Ray Allen alikuwa anachukuliwa kama the best shooter. Walikuwepo akina Iverson na jinsi walivyo-change basketball (kwa kuwa na kwa kwa kucheza street-like ball handling katika games, and of course hata off court kwa kubadili uvaaji wa wachezaji). Na kabla ya Ray kulikuwa na best shooters pia. Ina maana, best shooters come and go. Yes, kwa sasa Curry ni the best shooter. Kuwa the greatest, he needs to prove it consistently, and not just out of the 2 seasons.
shooting?...he has done it consistently since entering the league....
9652484_orig.jpg

Kuna debate ya namna ati basketball inavyokuwa soft siku hizi kutokana na mabadiliko ya sheria za fouls n.k. Ati kunapelekea wachezaji kuwa na nafasi sana ya kushoot n.k. Hata wachezaji kama Mourning, Mutombo, Ewing n.k. hawapo tena. Na hata wakitokea kwa sheria za sasa, hawatoweza kukaba kama walivyofanya hao wajomba. Na kama unafuatilia mwenendo ya basketball siku hizi, 'mabig' ni kama hawapo au hawana nafasi tena. Basketball inabadilika sana sasa. Huu ni mtazamo tu lakini
sikatai mabadiliko ya sheria tangu 1994 yamebadili hii game kwa kiasi fulani toka kuwa too physical(ikiwemo hand checking) mpaka pick and rolls kwa wingi.The term ''soft'' is subjective..remember right now NBA has more talents than at any other particular period..Wanaoiona ''too soft'' si hoja ya msingi,ni kama wale wanaodai tHE GREATEST OF THE 90's were overated because that was an expansion era(timu kadhaa zilianzishwa kipindi hiko hivyo kukosa ushindani).Again I refute it

Again, linapokuja suala la impact, mazee hapa pia nina shida kidogo. Kama ninavyoulizaga humu: hiyo impact yake kwenye timu ilikuwa nini kabla ya msimu wa mwaka jana na mwaka huu?
Remember GSW began to rebuild in 2011/12 season,And Rebuilding takes time...Hapo ni baada ya kuwauza Kina Monte Elis na kumchukua Bogut,.wakamdraft Klay T,Mwaka uliofuata wakawadraft Green,HB na Ezeli(CORE PIECES)..msimu wa 2012/13 wakaingia 2nd round ya playoff,2013/14 wakafanikiwa kuingia 1st round ya playoff..by then there future was already destined..sasa sijui hiyo kauli ya misimu miwili tu ndio GSW imekuwa timu nzuri mnaitoa wapi...Imemchukua Curry misimu sita kupata MVP AWARD yake ya kwanza na Ring...wakati imemchukua lebron miaka sita/saba kupata MVP yake ya Kwanza na zaidi imemchukua miaka 9(TISA) na kufuata ready made superstars kwa kuhama timu ili apate Ring yake ya kwanza..(LEBRON still among my favourite players,its not a bash,just to make a point)

Siyo kwamba ameanza ligi mwaka jana, alikuwepo na he isn't a rookie! He has been in the league for 7 seasons. Sasa hata ukimlinganisha na Messi, naona unamkosea heshima Messi. Messi anafanya wonders since he was a kid! Dunia nzima ilijua kuna mtoto anaitwa Messi atakuja kuwa balaa. And he is proving that; most inportantly, he is doing big consistently. Yes, Curry will go down as one of the greatest, if he does it consistently.
rejea stats za Curry halafu uniambie kwa nini si consistent so far..
Nilileta hoja ya Messi kwa kuwa mnaodai Curry not being among the greatest ni kuwa ''he is not all around player''...hapo ndipo nikammithilisha na Messi ambaye bado wapo watu wanaoamini he is a big time liability in defense,/kucheza kwa kiwango kile nje ya Barcelona...
...

Mfano wako wa soccer na basketball naona kama siyo sawa. Kwanza ukiangalia tu ukubwa wa eneo la kuchezea katika michezo hiyo na idadi ya wachezaji, utaona ni namna gani ilivyo ngumu kuwa all rounder kwenye soccer. Kuna playing positions nyingi kwenye soka kunakopelekea ugumu wa wachezaji kuwepo kwenye positions nyingi wakati wa mchezo. Kwenye basketball ni rahisi sana kuwa all rounder kama utajijenga kuwa hivyo, of course bila kusahau kama una physique na talent pia.
this wasnt necessary..I got you anyway...
 
he ''IS'' among the greatest to ever play,however,that does not make him the GOAT,or No.1,2,3,etc(n/b..''Among)
Year Team GP GS MPG FG% 3P% FT% RPG APG SPG BPG PPG
2009–10 Golden State 80 77 36.2 .462 .437 .885 4.5 5.9 1.9 .2 17.5
2010–11 Golden State 74 74 33.6 .480 .442 .934 3.9 5.8 1.5 .3 18.6
2011–12 Golden State 26 23 28.2 .490 .455 .809 3.4 5.3 1.5 .3 14.7
2012–13 Golden State 78 78 38.2 .451 .453 .900 4.0 6.9 1.6 .2 22.9
2013–14 Golden State 78 78 36.5 .471 .424 .885 4.3 8.5 1.6 .2 24.0
2014–15Golden State 80 80 32.7 .487 .443 .914 4.3 7.7 2.0 .2 23.8
Career 416 410 35.0 .471 .440 .900 4.1 6.9 1.7 .2 20.9
All-Star 2 2 27.0 .333 .238 1.000 6.0 8.0 1.0 .0 13.5
naomba uniambie ,amecheza 7 seasons so far,,,based on above stats huoni hoja ya ''consistency''?..really?..Infact he has been improving in almost every statistical category

shooting?...he has done it consistently since entering the league....
9652484_orig.jpg

sikatai mabadiliko ya sheria tangu 1994 yamebadili hii game kwa kiasi fulani toka kuwa too physical(ikiwemo hand checking) mpaka pick and rolls kwa wingi.The term ''soft'' is subjective..remember right now NBA has more talents than at any other particular period..Wanaoiona ''too soft'' si hoja ya msingi,ni kama wale wanaodai tHE GREATEST OF THE 90's were overated because that was an expansion era(timu kadhaa zilianzishwa kipindi hiko hivyo kukosa ushindani).Again I refute it

Remember GSW began to rebuild in 2011/12 season,And Rebuilding takes time...Hapo ni baada ya kuwauza Kina Monte Elis na kumchukua Bogut,.wakamdraft Klay T,Mwaka uliofuata wakawadraft Green,HB na Ezeli(CORE PIECES)..msimu wa 2012/13 wakaingia 2nd round ya playoff,2013/14 wakafanikiwa kuingia 1st round ya playoff..by then there future was already destined..sasa sijui hiyo kauli ya misimu miwili tu ndio GSW imekuwa timu nzuri mnaitoa wapi...Imemchukua Curry misimu sita kupata MVP AWARD yake ya kwanza na Ring...wakati imemchukua lebron miaka sita/saba kupata MVP yake ya Kwanza na zaidi imemchukua miaka 9(TISA) na kufuata ready made superstars kwa kuhama timu ili apate Ring yake ya kwanza..(LEBRON still among my favourite players,its not a bash,just to make a point)

rejea stats za Curry halafu uniambie kwa nini si consistent so far..
Nilileta hoja ya Messi kwa kuwa mnaodai Curry not being among the greatest ni kuwa ''he is not all around player''...hapo ndipo nikammithilisha na Messi ambaye bado wapo watu wanaoamini he is a big time liability in defense,/kucheza kwa kiwango kile nje ya Barcelona...
...

this wasnt necessary..I got you anyway...
Mkuu wangu sana Tyta ndio maana nasema kama mtu you are based on google stats kuwa makini kuangalia miaka unayogoogle... Kwanza kusema huu ni msimu wa pili wa Stephen Curry kuwika ni uongo na upotoshaji usio na maana... Name Point Guards thats shooting above 46% from the field between 2009 upto now... Very few, Stephen Curry has never been below that since he was drafted... Sio CP3 wala Westbrook (ambao mnasema ndio best Point Guards now) ambao wamewahi shoot above 46% tangia wameingia NBA... Mbaya zaidi Curry shooting percentage imekua ikiongezea every year ukiacha zile ambazo aliumia akakaa nje kwa kipindi kirefu...

Pia wanasema Curry ameshine only this two years... hahahahha... Name me any Western Conference player ambaye amekuwa a All Star Starter kwa miaka mitatu mfululizo beside him (Curry)... Kuanzia 2013/14 amekua an All Star Starter ambapo kila mwaka starters wanabadilika lakini yeye anabaki pale pale.. Hiyo ni miaka mitatu mfululizo anaonyesha he is playing his game on his own level na hakuna any sign that he will slow down...

Kuna mtu anasema Curry alikuwa wapi since he was drafted, hahahaha hajui hiyo timu anayoishangilia na huyo anayemshangilia alicheza misimu 7 bila ring, akahama kwenda kwenye ready made team akacheza msimu wa nane akakosa akaja kupata ring msimu wa 9... Ila anamjudge Curry ambaye amepata ring kwenye msimu wa 6 kwenye timu ile ile ambayo alikuwa drafted na most of the starters (4 out of 5) ni watu ambao walikua drafted na hiyo timu sio super stars au all stars ambao huyo wanayemwita King ndio aliwataka ashinde ring (Wade, Bosh, Allen) na ambao anawahitaji sana ashinde nyingine (Kyrie, Love na anamtaka Wiggins)....

Ni mpuuzi pekee (naomba Raimundo na King Shaat mnisamehe) atakayesema Curry hafai chochote kwasababu imemchukua misimu 6 kushinda ring wakati huyo anayemsifia ilimchukua misimu 9 tena kwa kuhama timu ili kuchukua ring...
 
Sijaona aliyezungumzia S. Curry kuwa namba 23 katika all time list ya espn..
Kwa maana hii baada ya msimu kuisha atakuwa ndan ya top 20, misimu miwili baadae?
 
Harrison Barnes hajaniangusha...Suti kaliii...ndani ya white house...
Si ndio Clinton alienda kwa mamake hapa majuzi... He was raised to be a politician.. alafu na ule mwili wake lazima suti imtoe... Kuna moja alivaa kwenye harusi ya Andre na Christina (kama nipo sahihi) ilimtoa mbaya kabisa..
 
Sijaona aliyezungumzia S. Curry kuwa namba 23 katika all time list ya espn..
Kwa maana hii baada ya msimu kuisha atakuwa ndan ya top 20, misimu miwili baadae?
Akishinda ring beating Cavs this season anadeserve kuwa kwenye all time top 20 bila kusubiri...
 
Mkuu wangu sana Tyta ndio maana nasema kama mtu you are based on google stats kuwa makini kuangalia miaka unayogoogle... Kwanza kusema huu ni msimu wa pili wa Stephen Curry kuwika ni uongo na upotoshaji usio na maana... Name Point Guards thats shooting above 46% from the field between 2009 upto now... Very few, Stephen Curry has never been below that since he was drafted... Sio CP3 wala Westbrook (ambao mnasema ndio best Point Guards now) ambao wamewahi shoot above 46% tangia wameingia NBA... Mbaya zaidi Curry shooting percentage imekua ikiongezea every year ukiacha zile ambazo aliumia akakaa nje kwa kipindi kirefu...

Pia wanasema Curry ameshine only this two years... hahahahha... Name me any Western Conference player ambaye amekuwa a All Star Starter kwa miaka mitatu mfululizo beside him (Curry)... Kuanzia 2013/14 amekua an All Star Starter ambapo kila mwaka starters wanabadilika lakini yeye anabaki pale pale.. Hiyo ni miaka mitatu mfululizo anaonyesha he is playing his game on his own level na hakuna any sign that he will slow down...

Kuna mtu anasema Curry alikuwa wapi since he was drafted, hahahaha hajui hiyo timu anayoishangilia na huyo anayemshangilia alicheza misimu 7 bila ring, akahama kwenda kwenye ready made team akacheza msimu wa nane akakosa akaja kupata ring msimu wa 9... Ila anamjudge Curry ambaye amepata ring kwenye msimu wa 6 kwenye timu ile ile ambayo alikuwa drafted na most of the starters (4 out of 5) ni watu ambao walikua drafted na hiyo timu sio super stars au all stars ambao huyo wanayemwita King ndio aliwataka ashinde ring (Wade, Bosh, Allen) na ambao anawahitaji sana ashinde nyingine (Kyrie, Love na anamtaka Wiggins)....

Ni mpuuzi pekee (naomba Raimundo na King Shaat mnisamehe) atakayesema Curry hafai chochote kwasababu imemchukua misimu 6 kushinda ring wakati huyo anayemsifia ilimchukua misimu 9 tena kwa kuhama timu ili kuchukua ring...
Man, as long as you haven't direct that at me, fam we are cool!
 
Chief, kupoteza mchezo si moja ya matokeo tu! Mimi sioni ni namna gani kunaendana na ulichokisema. Wakishinda mechi ijayo utasemaje tena? Mbona unakuwa kama siyo mwanamichezo?
Well, let's wait and see...
Meanwhile...​

160204152555-president-obama-with-warriors-020416.home-t1.jpg

According to Obama, the Warriors have completely revolutionized the game of Basketball​
 
Hizi mbio huku Warriors vs OKC ni raha sana.... But is there a team with better ball movement than the Warriors or even close?
 
We were chasing them all the First Quarter till the final 2 minutes when we took the lead, now on the second we are up by 20.... teh teh teh teh give my boys that ring already..
 
Eti bado wapo watu wana doubt uwezo wa Warriors! Kweli tunatofautiana sana katika kuusoma huu mchezo. Hawa vijana ni raha kuwaangalia hata kama huwapendi.

Hata Kama hawatachukua kombe Safari hii lakini wameleta msisimko ambao ni tofauti sana na wenzao. Huyu Steph Curry hakuna wa kulinganishwa naye hata kwa mbali katika kutungua vikapu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom