Jethro
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 2,219
- 370
Wana JF,
Jana Mdau mmoja alinipasha kuwa alikuta na mchezaji maarufu duniani wa mpira wa kikabu a.k.a NBA BASKETBALL DWIGHT HOWARD (Orlando Magic) Arusha AirPort. Akiwa ametokea Monduli kwenda kuona shule mmoja ya wasichana issue ilikuwa ni mabweni na alitoa mchango wake wa kiasi cha Million 90 Tsh,
Cha ajabu mdau huyo alijiuliza maswali mengi iweje huyu bwana kuingia nchini kimya kimya oky sawa kaja kimya kimya ila kampuni iliyo mleta ni Kilombelo Tours ambayo ni changa na inamilikiwa na Ndugu zake Rostam Azzi Aliyekuwa Mbunge wa Igunga.
Sasa huyo D. Howard alikuja kutaliii au alikuja kisiasa au ni kuja ku contribute kwenye community zetu au?
Wadau Munasemaje kuhusu hili????
Karibuni kuchangia