Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
Ngoma nd'o inataka kuanza..tuone Lebron, Wade na Bosh kama wanaeza ku-gell katika gemu!
Gemu inachezwa TD Waterhouse Garden,Boston.
Lebron fires the 1st basket.
Half-time Houston wanaongoza 62 - 51.
Mkuu, hii iliishaje? Hawa LA Lakers walienda Palau kujipima na Regal FC Barcelona wakapoteza kwa 92-88,Phil Jackson akadai Regal Barca hawana ubavu wa ku compete NBA,japo Kobe alimkanusha