Nazikumbukia hizi ndege za ATC

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,106
2,504
Focker 27
Boeing 737 kulikuwa hizi chapa ya majina ya vivutio maana tulipachika kwa majina ya

1. Boeing Ngorongoro
2. Boeing Kilimanjaro
3. Boeing Serengeti

ATC ya wakati huo ilikuwa raha kweli!
 
Back
Top Bottom