Nazidi kukata tamaha, nifanyeje?!

Jerda

Member
Nov 8, 2010
48
2
takiribin mwez wa 3 sasa kuna mtu nampenda kutoka moyoni klila cku anaishia kunitext mara hi, gd9t, thinking of u, n.k na me huwa najtahd kujibu text zake kulingana na alichonitext, japo roho inaniuma 7bu nampenda, ndani ya hicho kipindi amekuja kama mara 3 kunisalimia, japo anaishia kupiga story zakawaida na kuondoka, na me n mtoto wa kike inaniwia ngumu kumapproach.............! some time anaua band mara hi my special one, hapo nashindwa kumusoma anakuwa na maana gan?? pale ninapojitahidi kusahau tex hiyo gd9t, najkta kuamua kuvumilia tena na kuwa na mahope, anahtesa sana nafsi yangu.........!
 
Vunja ukimya jaribu ku attract attention yake before it's too late to catch.
 
takiribin mwez wa 3 sasa kuna mtu nampenda kutoka moyoni klila cku anaishia kunitext mara hi, gd9t, thinking of u, n.k na me huwa najtahd kujibu text zake kulingana na alichonitext, japo roho inaniuma 7bu nampenda, ndani ya hicho kipindi amekuja kama mara 3 kunisalimia, japo anaishia kupiga story zakawaida na kuondoka, na me n mtoto wa kike inaniwia ngumu kumapproach.............! some time anaua band mara hi my special one, hapo nashindwa kumusoma anakuwa na maana gan?? pale ninapojitahidi kusahau tex hiyo gd9t, najkta kuamua kuvumilia tena na kuwa na mahope, anahtesa sana nafsi yangu.........!

Mwambie tu dada angu...we subiria waje wajanja wakombe mzigo...
 
Kwani what else do u want, kama anakuja kwako mara zote hizo na kama ana kutext na ku express feeling zake ina maana anakupenda. Wewe ndo unashindwa kumalizia kufunga goli. Unasubiri penalt. Shauri zako dk 90 zikiisha utajilaumu.
 
ngumu kweli ila kama keshakuwa wako vunja ukimya mwambie unachotaka, unaweza kuta anaogopa kukwambia labda upo kilokole hv
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kwani what else do u want, kama anakuja kwako mara zote hizo na kama ana kutext na ku express feeling zake ina maana anakupenda. Wewe ndo unashindwa kumalizia kufunga goli. Unasubiri penalt. Shauri zako dk 90 zikiisha utajilaumu.
mtoto anataka muhogo apewe asipewe?
 
takiribin mwez wa 3 sasa kuna mtu nampenda kutoka moyoni klila cku anaishia kunitext mara hi, gd9t, thinking of u, n.k na me huwa najtahd kujibu text zake kulingana na alichonitext, japo roho inaniuma 7bu nampenda, ndani ya hicho kipindi amekuja kama mara 3 kunisalimia, japo anaishia kupiga story zakawaida na kuondoka, na me n mtoto wa kike inaniwia ngumu kumapproach.............! some time anaua band mara hi my special one, hapo nashindwa kumusoma anakuwa na maana gan?? pale ninapojitahidi kusahau tex hiyo gd9t, najkta kuamua kuvumilia tena na kuwa na mahope, anahtesa sana nafsi yangu.........!

Penye nia Pana njia, kama hauioni njia nakushauri vuta subra ijitokeze maana wakati mwingine mambo yanayojitokeza huwa kuna sababu.
Inawezekana kabisa hata jamaa anakuhitaji ila nae anapata wakati mgumu kuanza.
Huwezi jua unaepushwa na jambo gani hadi mambo yasiende kama yalivyo pangwa.
Kwa sie tunae amini Mungu na kumtegemea atuongoze, tunaamini jambo jema na zuri huja pasipo kua na vikwanzo na hata kama vikwazo vipo, ufumbuzi nao unakuwepo pembeni ni jukumu lako kuutumia ila kama huoni ufumbuzi basi hapo kuna walakini.
Nakushauri usilazimishe japo umeishatamani, vuta subra kuna sababu ya msingi hapo utaiona baadae.

ongezea na za kwako...byeeee!
 
takiribin mwez wa 3 sasa kuna mtu nampenda kutoka moyoni klila cku anaishia kunitext mara hi, gd9t, thinking of u, n.k na me huwa najtahd kujibu text zake kulingana na alichonitext, japo roho inaniuma 7bu nampenda, ndani ya hicho kipindi amekuja kama mara 3 kunisalimia, japo anaishia kupiga story zakawaida na kuondoka, na me n mtoto wa kike inaniwia ngumu kumapproach.............! some time anaua band mara hi my special one, hapo nashindwa kumusoma anakuwa na maana gan?? pale ninapojitahidi kusahau tex hiyo gd9t, najkta kuamua kuvumilia tena na kuwa na mahope, anahtesa sana nafsi yangu.........!

mapenzi yana run dunia.........................
mwanamke akipenda, ujue kapenda kweli...........................
(Ali kiba)
 
mimi nadhani wewe ndio humuelewi unatakiwa na wewe umuentertain au unataka mtu aanze vipi embu tuambie ni sign gani unasubiria kitendo tu cha kukufikiria kisha kuchukua hatua ya kukutumia text tena sa nyingine na maneno mazuri unataka nini zaidi wewe mvute karibu kisa siku tu atakuja na kukueleza,
 
duh! Nadhan wapaswa uvunje ukimya, mweleze ukweli kwake ushafika. Pole kwa kuteseka roho, uckate tamaa..
 
usikate tamaaa mweleze ukwli unampenda n kuna kitu unamis kama ni mwelewa n ana mapenzi ya kwl juu yako utaona mabadiliko tu wrre nt at all
 
Hivi ni lazima mwanaume ndo amuanze mwanamke??
jamani hiyo haki sawa mbona haizingatiwi??
huko beijing mlienda kufanyaje??
 
mbona kumpata simple dada,nawewe zuga zile mic u,mpige sim saa 8 nane hivi usiku jifanye umemmic,asubuh asubuh mtumie sms hat ya kujua kama ameamka salama,yaan kuwa unique,muda wa kula muulize kala nin,sms zisizo kuwa na maana ya moja kwa moja,ili akuulize,muweke busy juu yako,ulokole tupa kule utakosa uhondo.
 
Huyo kaka nay anakupenda, jitahidi nawe kumtext usisubiri akuanze yy tu, hata hivyo miezi 3 si mingi, just wait, subira ya vuta heri.
 
Go get him girl before someone else does and you end up regretting.Mimi mpenzi wangu wa kwanza alinitongoza yeye ni vitu vya kawaida sana.
 
Dada,ni bora uwe mkweli kama uhusiano ufe lakini umesema kilicho moyoni mwako,ukikaa na mawazo utajisababishia maradhi ya moyo bure,ni bora kujaribu ukashindwa kuliko kuacha!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom