W Wanyamtura Member Jan 23, 2012 23 1 Aug 6, 2012 #1 Mnyama huyu ni mtamu sana kama kuku au ktm wanaotumi tumewafaidi sana maeneo ya bagamoyo na wami Attachments IMG-20120730-00057.jpg 856 KB · Views: 213 IMG-20120730-00060.jpg 337.8 KB · Views: 152 IMG-20120730-00062.jpg 294.1 KB · Views: 119 IMG-20120730-00064.jpg 850.1 KB · Views: 123
peri JF-Expert Member Mar 22, 2011 2,579 1,164 Aug 6, 2012 #3 lol, dunia ina mambo. Mlikosa kitoweo au?
W Wanyamtura Member Jan 23, 2012 23 1 Aug 6, 2012 Thread starter #4 Kanyapini said: Njaa mbaya, kula hadi reptilia. Click to expand... Ninyama kama nyama nyingine na siku ukionja wewe sizani kama huta hacha kula
Kanyapini said: Njaa mbaya, kula hadi reptilia. Click to expand... Ninyama kama nyama nyingine na siku ukionja wewe sizani kama huta hacha kula
W Wanyamtura Member Jan 23, 2012 23 1 Aug 6, 2012 Thread starter #5 peri said: lol, dunia ina mambo. Mlikosa kitoweo au? Click to expand... Wala nyama zipo ila ya chatu ni tamu ni pm unipe contact nikuletee kipande cha kuonja kama upo dar
peri said: lol, dunia ina mambo. Mlikosa kitoweo au? Click to expand... Wala nyama zipo ila ya chatu ni tamu ni pm unipe contact nikuletee kipande cha kuonja kama upo dar