Nay Wa Mitego amchana Gigy Money!

Sijui mshauri wake nani huyo binti jinsi anavyolionyesha hilo tako huko instgram halafu halina hata mvuto lilivyokuwa jeusi angelipaka basi hata colorlight cream kama wenzie .
 
image-png.329100
 
Wanaume wenzangu mnaemponda huyi dem akiwapa hamkongi nyoyo? Au maneno tu? Tuwaache wanawake wapondane wao kwa wao,maana ndivyo walivyo,sisi tuwe wasomaji tu.
 
Nyie mnaomnangia sura jameni, mbona giggy sio mbaya kihivyo?
Mi naonaga yupo kawaida tu kwakweli!
 
Back
Top Bottom