Nay Wa Mitego amchana Gigy Money!

tutamsikia kakamatwa China,maana ndio malimbukeni wanapoangukia kisa Masogange alikamatwa SA,basi wenyewe wana m beat kwa kukamatiwa China na poda
 
Kuna Siku nilimuona pale bamaga akiwa na vibinti f'lani hivi viwili pamoja na mwandishi wa GPL nusura nimfuate.. Tako analo kweli acheni kupotosha hapa... Mtoto ngozi yake ni nzuri na laini sana, ingawa sura yake ipo kama walivyo wasichana wengi wa mbeya

Kwan wasichana mbeya ndo sura zao zikoje??,,,acha dharau mtoto wa kiume
 
Watu weusi bhana, na roho zetu nyeusi, mmemsema binti na hamchoki? Mbona yupo vizuri tu...acheni roho mbaya jamani.
 

Attachments

  • image.png
    image.png
    153.3 KB · Views: 528
  • image.png
    image.png
    137.5 KB · Views: 393
  • image.png
    image.png
    344.6 KB · Views: 464
  • image.png
    image.png
    212.7 KB · Views: 406
  • image.png
    image.png
    178.4 KB · Views: 407
preta saidia tena hizo attachments maana zimegoma wallahi

Ngoja nimuite HARUFU aje azipambanue.......maana hata mimi niliyeziweka niliziona mwanzo.......Ila sasa sizioni tena.......na nilimwambia Invisible lakini akasahau.......swala la picha kuonekana ni gumu kwa kweli.......
 
Back
Top Bottom